africa

  1. South Africa wanavyotunanga kwa zawadi ya shujaa Majaliwa

    Nilikuwa napita Twitter nilichokutana nacho mpaka ninechoka kabisa. Zawadi ya shilingi milioni moja inachukuliwa kuwa ni mzaha wa karne hii. Soma mwenyewe: Source:
  2. T

    Oppah Clement angekuwa anatokea Africa ya Magharibi sasa hivi angekuwa anachezea Real Madrid W/Barcelona W au Bayern Munich W, Mawakala mbona mmelala?

    Igweeee igweeee!! Nimekaa nikitafakari jinsi gani tunakosa mawakala wa kuwavusha wachezaji wetu kwenda kucheza soka la kulipwa barani Ulaya na Marekani. Nchi yetu imebarikiwa kuwa na mchezaji mahiri sana katika soka la wanawake naye si mwingine bali ni muwindaji wa magoli, Oppah Clement. Huyu...
  3. Hivi ilikuwaje Pepe Kale akaimba ule wimbo wa "Yanga Africa?".

    Anayejua hebu atujulishe kama je Pepe kale alifuatwa na Wadau akapewa dili?. Viongozi/kiongozi mmoja alimpa dili akamlipa?. au ni mapenzi yake binafsi kwa timu ya Yanga?
  4. R

    Kwanini Marais wanaoingia madarakani Afrika wana "uchu" wa kujitambulisha Ulaya, Amerika na Asia but not vice versa?

    Why not vice versa? Mimi nadhani tunahitajiana, lakini picha inaonyesha kuwa sisi tuna uhitaji wao kulio wao walivyo. Tunawezaje kurekebisha hili?
  5. Yanga ilikuwaje wakaitwa Kandambili na Pan Africa wakaitwa Raizoni?

    Mpaka leo wachora katuni hutumia picha ya Kandambili kuwakilisha timu ya Yanga. Nakumbuka ni utani kati ya Yanga na Pan African, ndiyo ulileta jina la Kandambili Yanga na Raizoni Pan African. Raizoni ndiyo vilikuwa viatu vya maana sana zama hizo, na Kandamimbili zilikuwa zinavaliwa na watu...
  6. S

    Namuona Paul Kagame akiwa kama Putin hapa Afrika Mashariki

    Siku akikiamsha hakuna nchi itatia maguu kumzuia. Atateka sehemu yoyote ya nchi yoyote aitakayo hapa East Afrika. Nchi yake iko vizuri kijeshi na muda mwingi wanajeshi wa Rwanda wameutumia vitani. Na nadhani hata nchi zote za East Africa ziunajua umahiri wa kijeshi wa Rwanda ndiyo maana Paul...
  7. Hivi ukoloni Africa utaisha lini. Tazama Rwanda inavyotumiwa na wakoloni kuiibia drc!

    Kipindi Cha ukoloni waafrica tulikuwa tunapigana sisi kwa sisi halafu mzungu ananyakua Mali kirahisi Sana. Mfano mango Sina dhidi ya mango meli halafu mzungu anapita kirahi. Mangungo akalaghaiwa ka mikataba mibovu pia. Sasa Rwanda inatumuwa na wazungu kuwapiga waafrica wenzake i.e Congo ili...
  8. N

    Simba, Yanga na Azam katika hadhi ya nchi tatu za E. Africa

    Hivi eti klabu za Simba, Yanga na Azam ukizipa hadhi ya nchi tatu za East Africa, yaani Kenya, Uganda na Tanzania, klabu ipi itaipa nchi gani. Mimi naanza hivi: Yanga = Kenya Simba = Tanzania Azam = Uganda Karibuni.
  9. M

    Top Ten Developed Cities in Africa....

    Reputable Source: The top 10 most developed cities in Africa 1. Cape Town, which is located in South Africa Cape Town, which is located in South Africa, is a city that possesses both jaw-dropping natural beauty and indisputable architectural brilliance. The transformation of this city into...
  10. S

    Naishauri Azam inunue timu ya Pan Africa na jina liwe Azam Pan Africa

    Ndugu wanamichezo wenzangu, nimefikiria na kuja na wazo kuhusu timu ya Azam, kama itawezekana basi viongozi wa Azam wafikirie kuinunua timu ya Pan Africa na jina la timu iwe Azam Pan Africa. Sababu kubwa ya kufanya hivyo ni kwamba Pan Africa bado ipo na ina mvuto lakini uwezo wa kujiendesha...
  11. R

    World Bank Vice President for E& S Africa anatumia vigezo gani kusema Tanzania imefanya "miracles" uchumi wake ni imara despite Ukraine

    Nimeona akisema kuwa Tanzania imefanya vizuri katika uchumi wake, eti tanzania imeshinda mfumko wa bei. Nimepigwa na butwaa. Mwigulu alikuwa anachekela as if ameuweza uchumi wa Tanzania kuwa first class wakati anawaibia watu , wizi kabisa wa fedha za watu kwa tozo! Ujambazi wa Tozo, eti ameweza...
  12. Niulizeni mimi yaliyonikuta Afrika Kusini

    Hello everyone.... Hope U mzima.... :TruE stoRy: Kwa kawaida vijana wengi huwa tuna ndoto ya kuvuka border na kuingia upande wa pili haswa bala la ulaya" nchi za kimagharibi kwa ujumla.... Wala sikuujali ule msemo mkataa kwao ni mtumwa Nilihakikisha nafanya juu chini ili niweze kupata vitu...
  13. Daraja la Busisi ni refu zaidi Afrika Mashariki na Kati

    Ilikuwa kama masihara hivi Hayati Magufuli alipoahidi atajenga daraja la Busisi lenye urefu wa zaidi ya kilomita 3. JPM kama alivyoahidi ujenzi ulianza mara moja. Hapo juu ni ujenzi wa daraja la Busisi likiendelea kujengwa na sasa ujenzi wake umezidi 50%. Pongezi za dhati zimwendee Rais Samia...
  14. This is America not Africa

    Biden is busy funding American proxy war with Russia while his citizens lives on dropouts and sleeping rough. I wonder if organizations for human right are seeing this level of poverty or It's only relevant when its happening in Africa to be considered as an issue? :oops:
  15. The True Wealth of Africa!

    The Citizen Online: Rare ‘fancy vivid pink’ diamond from Mwadui Tanzania sells for Sh133.9 billion in Hong Kong When I hear a few brave African leaders boast about Africa's wealth, I always wonder what they know that the average citizen does not! I then realized that whenever news of...
  16. S

    Katika nchi 35 zilizokataa kupiga kura suala la Urusi kuvamia Ukraine 50% ni za Afrika, ikiwemo Tanzania

    Niliweka thread humu JF kwamba suala la Urusi na Ukraine ni dogo sana kwa mtu asie na ukahaba wa kisiasa wa kufuata bwana atakaekupa maslahi bila kujali utu wa mtu huyo. Nilisema wazi, leo hii wakati tunamkumbuka Nyerere tutafakari angesimamia wapi katika suala la Urusi na Ukraine. Nyerere...
  17. T

    Miamba ya soka ya Africa, Al Ahly wanamfuatilia kwa karibu kocha wa muda wa Simba Sc, Mheshimiwa Juma Guardiola Mgunda ili waweze kuinasa saini yake

    Amani iwe nanyi: Nimepokea taarifa za kushtusha kutoka katika chanzo changu cha kuaminika nchini Misri ikieleza kuwa Rais wa klabu ya Al Ahly, Mahmoud Ibrahim Ibrahim El Khatib ni mfuatiliaji mkubwa wa mechi za Simba Sc na amekuwa akikoshwa na uchezaji wa timu ya Simba toka kocha Guardiola...
  18. Irish Politician Clare Daly Reveals What The EU Is Really Doing In Africa

    Irish Politician Clare Daly Reveals What The EU Is Really Doing In Africa
  19. Simba hana record nzuri na timu za Kusini na Magharibi mwa Afrika

    Simba hana record nzuri na timu za Kusini na Magharibi mwa Africa kulinganisha na Kasikazini. Kama ambavyo yanga hana rekodi nzuri na timu za Warabu. Naongea kiufundi sio kiushabiki Simba alitolewa na timu kutoka Msumbiji, akatolewa na timu kutoka Botswana, akatolewa na Pirate na Kaizer Chief...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…