Hongera Simba SC Kutinga orodha vilabu bora Afrika

John Gregory

JF-Expert Member
Jul 14, 2019
1,060
1,957
Napenda kutoa pongezi za dhati kwa Simba Sc na uongozi wake kiujumla kwa hatua hii kubwa.
Kwa mujibu wa Orodha ya shirika linalohusika na Takwimu za kimichezo duniani IFFHS, Iliyotoka mapema jana, aimeonyesha vilabu viwili pekee kutoka Tanzania vikiwakilisha vyema.

PlaceLast ClubsCountry / levelPoints
16Al Ahly SCEgypt / 3 /EGY236,5
246Wydad AC CasablancaMorocco / 3 /MAR155,5
372Young Africans SCTanzania / 2 /TAN145,5
453Pyramids FCEgypt / 3 /EGY138,5
583Mamelodi Sundowns FCSouth Africa / 2 /RSA135
6100FAR RabatMorocco / 3 /MAR135
786Raja CA CasablancaMorocco / 3 /MAR131,5
888CR BelouizdadAlgeria / 3 /ALG124,75
9115USM AlgerAlgeria / 3 /ALG109,25
10137Esperance STTunisia / 2 /TUN106
11132Simba SCTanzania / 2 /TAN105
12104Future FCEgypt / 3 /EGY104,75
 
Kwahiyo wa kwanza anaenda kupambana na wa 11..!!!
 
Nani amenuna?
 
Attachments

  • IMG-20230913-WA0022.jpg
    IMG-20230913-WA0022.jpg
    37.1 KB · Views: 7
Kwa mujibu wa Orodha ya shirika linalohusika na Takwimu za kimichezo duniani IFFHS,
Shirikisho ya soka duniani ni FIFA, Africa ni CAF, Tanzania ni TFF, na haya ndio huwa yanaandaa na kusimamia mashindano ya soka katika ngazi husika. Hayo ndio huwa yanafanya kazi ya mpira. Hilo IFFHS la michezo (basketball, volleyball, ndondi, table tennis, vinyoya etc) halina mashindano ya soka linayoyaandaa
 
Ndo maana nimeweka
🐸 🐸 🐸 🐸 🐸 🐸
 
Naiona Yanga palee nafasi ya tatu! Hongera sana Yanga, Hii ikawe mfano na fundisho kwa vilabu vingine Tanzania kama Azam, Kagera Sugar, Simba n.k Kujipanga kuanzia uongozi, uendeshaji na ubunifu katika kuinua vilabu vya Tanzania.Yanga kutinga Nusu fainali Afrika kumeipaisha sana kitakwimu, kutokana na mfumo thabiti wa uongozi, nidhamu,ari ya wachezaji n.k
 
Shirikisho ya soka duniani ni FIFA, Africa ni CAF, Tanzania ni TFF, na haya ndio huwa yanaandaa na kusimamia mashindano ya soka katika ngazi husika. Hayo ndio huwa yanafanya kazi ya mpira. Hilo IFFHS la michezo (basketball, volleyball, ndondi, table tennis, vinyoya etc) halina mashindano ya soka linayoyaandaa
Tunako enda huko mbele hata CAF na FIFA tutawakataa maana hawa IFFHS walikua ndugu zetu kabisa
 
Shirikisho ya soka duniani ni FIFA, Africa ni CAF, Tanzania ni TFF, na haya ndio huwa yanaandaa na kusimamia mashindano ya soka katika ngazi husika. Hayo ndio huwa yanafanya kazi ya mpira. Hilo IFFHS la michezo (basketball, volleyball, ndondi, table tennis, vinyoya etc) halina mashindano ya soka linayoyaandaa
Nyani wa pori la utopolo wanapenda sana sifa za kijinga
 
Napenda kutoa pongezi za dhati kwa Simba Sc na uongozi wake kiujumla kwa hatua hii kubwa.
Kwa mujibu wa Orodha ya shirika linalohusika na Takwimu za kimichezo duniani IFFHS, Iliyotoka mapema jana, aimeonyesha vilabu viwili pekee kutoka Tanzania vikiwakilisha vyema.

PlaceLast ClubsCountry / levelPoints
16Al Ahly SCEgypt / 3 /EGY236,5
246Wydad AC CasablancaMorocco / 3 /MAR155,5
372Young Africans SCTanzania / 2 /TAN145,5
453Pyramids FCEgypt / 3 /EGY138,5
583Mamelodi Sundowns FCSouth Africa / 2 /RSA135
6100FAR RabatMorocco / 3 /MAR135
786Raja CA CasablancaMorocco / 3 /MAR131,5
888CR BelouizdadAlgeria / 3 /ALG124,75
9115USM AlgerAlgeria / 3 /ALG109,25
10137Esperance STTunisia / 2 /TUN106
11132Simba SCTanzania / 2 /TAN105
12104Future FCEgypt / 3 /EGY104,75
🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥
 
Nimeamini kweli uko kwenu wenye akili ni wawili. Taarifa iliyotoka ni timu zilizokusanya pointi nyingi na sio timu Bora.
 
Back
Top Bottom