africa

  1. A

    JamiiForums Tanzania Ee Afrika! Nakuita bara tukufu lenye watu wabinafsi sana

    Afrika ni wewe uliepewa madini kama dhahabu, almasi, chuma na vito vingi vya thamani. Ni wewe Afrika uliebarikiwa misitu yenye uwezo wa kuzalisha mbao bora lakini ajabu hadi sasa watoto wanakosa madawati shuleni. Afrika ni wewe uliebarikiwa mafuta na ges lakini bado uhakika wa umeme ni tabu...
  2. JamiiForums Tanzania Milioni 20 inatosha gari Afrika Kusini?

    Heshima zenu wakuu! Nimesoma nyuzi kadhaa humu za magari ya South nikajiridhisha kuwa S. A. ni kati ya maeneo sahihi kuchukulia gari, hasa kama unataka kulifuata mwenyewe huko. Naombeni ushauri! Kwa bajeti ya milioni 20, naweza kupata gari dogo kutoka South kwa ajili ya kutumia kwenye...
  3. JamiiForums Tanzania Mkimbizi wa kitanzania kutoka Ukrain kurudishwa Afrika

    Zimedondoka kutoka huko Udachi kuwa mwamba ni miongoni mwa wakimbizi Jero kati ya buku mbili na jiti tatu waliokimbia vita nchini Ukraine. Hawa jero hawana vinyago vya Ukraine, yaani ni raia kutoka nchi nyingine ambao mambo yaliposanuka huko Ukraine, wakaona hii ni golden chance, harudi mtu...
  4. JamiiForums Tanzania Zama za akina John Okello zimerudi Afrika. Kila taifa linahofia Mapinduzi. Ufisadi ndio kichocheo cha Mapinduzi

    Naona ile miaka ya akina John Okello imerudi Afrika Hofu ya akina John Okello imetanda kila kona Huko kenya kuna hofu kubwa imetanda. Hapa bongo leo imetoka kauli tata. Huko Afrika Magharibi ni utata mtupu. Kila rais anahofu kubwa. Je Afrika inawahitaji akina John Okello?
  5. JamiiForums Tanzania Baada ya Mo kumwaga mihela nyuma na kuifanya Simba kuingia Ligi ya Africa Sasa ni kama uongozi haumtaki ili upige mihela ya Africa

    Mo ategemee kabisa kuwekewa vikwazo vya kutosha ili aiache timu viongozi wafaidi maokoto kutoka Africa. Hii inaitwa unahangaika wee kufunga Nyati miguu, mdomo anatulia tuli Alafu ukimaliza wajinga wanakuwahi wanakufunga wewe pia Alafu wanaanza kumkamua maziwa.
  6. JamiiForums Tanzania Ufaransa kuivamia Niger itakuwa ni habari mbaya sana kwa Afrika

    Waafrika walikuwa na mashaka na viongozi wao kama kweli ni viongozi kwaajili ya watu wao au wako kwaajili Yao na mabeberu. Wana makasha kama viongozi wao wanajali maslahi yao wananchi au maslahi ya mabeberu. Kama Ufaransa itaipiga Niger kwasababu ya wanaiger kumkataa kiongozi wao asiyewanuisha...
  7. JamiiForums Tanzania Kiwango cha ujinga kimeongezeka sana Afrika, chanzo ni mitandao ya kijamii

    Ujio wa social media vijana wa Africa wanautumia in negative way tofaut na vijana wa mataifa mengine ili kupiga hatua za kimaendeleo. Yanayoendelea kwenye media hayana uhai kwa kesho ya Africa. Watu mengi ni uharibifu na uchafu tu wa akili kujaza saver ya akili uchafu tu ambao haujengi fikra...
  8. JamiiForums Tanzania Yanga na Klabu bingwa Africa kunani?

    Mimi ni Utopolo Lia Lia nauliza wachezaji na uongozi wa Yanga kunani mechi za Klabu bingwa Africa, kwanini hatufiki makundi? Kwanini tunafungwa na kutolewa mechi za awali? Mchawi ni nani? Mwaka huu kipimo Cha mafanikio iwe sio kuchukua kombe la NBC premier league, Hilo ni Mali yetu tayari ...
  9. JamiiForums Tanzania Kilichopo nyuma ya mzozo wa Niger vs ECOWAS, EU na Nigeria

    Kama ulikuwa unajiuliza Kwanini UN,EU ,NATO, Nigeria na Marekani zipo so aggressive kwa kile kinacho endelea west Africa hasa Niger ngoja sasa nikuambie kwa ufupi. Baada ya mzozo wa Ukraine na Russia nadhan utakuwa unakumbuka EU iliweka vikwazo vya kutonunua gesi ya mrusi , lakini baadae...
  10. JamiiForums Tanzania Africa should neither shift to the new colonial masters nor stay with the old ones. (A Russian move case study)

    By Bondpost, Africa imekuwa na watu wenye fikra tegemezi miaka yote hata hii move ya Waafrika kushabikia China, Russia na North Korea ni sehemu ya muendelezo wa fikra temegemzi. Africans wamefikia sehemu hawawezi kuwa na fikra zao huru na wakajiongoza wenyewe kisiasa, kijamii, kiteknolojia...
  11. JamiiForums Tanzania Fiston Tupwisa Mayele Mchezaji Bora Africa kwa Ligi za ndani ya Africa

    Hello JF, Habari ndio hio Fiston Kalala Tupwisa Mayele ndio Mchezaji Bora wa msimu wa 2022-2023 Kwa Kwa wachezaji wa ligi za ndani ya Africa. Hongera Sana Mwamba, The goal machine that scores with precise instinct and always focused. πŸ™πŸ™πŸ™ Best wishes Mwamba sina ubaya Mimi Simba SC ila...
  12. U

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania The finish of Western authority in Africa

    France's situation on the African landmass has disintegrated essentially as of late, and it has lost a considerable lot of the regions it colonized there for a long time. Western nations, especially France, use security flimsiness to keep up with their tactical presence on the landmass, and...
  13. M

    JamiiForums Tanzania Afrika tunapaswa kubadilisha makanisa na misikiti kuwa viwanda

    Kitu cha kwanza kinachofunga akili na kudumaza jitihada za maendeleo ya mtu mweusi ni imani( za dini na uchawi). Imani haiwezi jenga barabara, jenga hospital, tengeneza gari, Leta siasa safi wa haiwezi ondoa ufisadi n.k Na huu ugonjwa wa dini au imani unatumiwa sana na washindani wetu ili...
  14. JamiiForums Tanzania Je, hiki anacho fanya Russia ni kisasi dhidi ya wale wanao muunga mkono Ukraine hasa Ufaransa?

    Kwa wale wafuasi wa magharibi na baadhi ya wachambuzi wanajaribu kuweka mitazamo yao kuhusu hali aliyonayo Russia pale Ukraine Wengi wamekuwa wakisema Urusi ana hali ngumu na anajaribu kupoteza kila siku, lakini pia tujiulize je vipi kuhusu hali walizonazo zile nchi zinazo toa support kwa...
  15. U

    JamiiForums Tanzania Why do Europeans believe Africa has no history? -Understand the reason today

    Ages for around quite a while back, European-brokers came to Africa to bought Africa's abundance in Gold, Iron and afterward Slave exchange. Over the long haul the Europeans cruised to the African landmass and shared their Eurocentric perspectives on African history and finished up by saying...
  16. A

    JamiiForums Tanzania Gari za kununua South Africa zimetembea Kms sio poa!

    Hizi gari za kununua South Africa MAKABURU na WAZULU wameshazitembelea kilometres za kutosha mpaka sio poa. Kukuta gari imetembea 400,000 kms huko sio jambo geni sijui jamaa wanaendesha kwenda wapi? Ukinunua sawa ila tahadhari ndio hiyo.
  17. U

    JamiiForums Tanzania China put resources into science, innovation support in Africa

    During the previous 10 years, China has seen the jump forward of science and innovation (S&T), the fast improvement of sci-tech advancement capacity, and the unmistakable job that S&T plays underway.<br><br> China has been positioned eleventh among the 132 economies highlighted in the 2022...
  18. U

    JamiiForums Tanzania Russia's monetary issues 'could hamper science manages Africa'

    Aspiration is there yet assets may not be, African scholastics caution in front of highest point.<br><br> African scholastics have cautioned that Russia's desolated economy might battle to satisfy any science and innovation coordinated effort arrangements the nation goes into with Africa at a...
  19. JamiiForums Tanzania Nchi zenye uchumi imara Africa 2023

    Top 10 largest economies on the continent 2023 1)- Nigeria πŸ‡³πŸ‡¬ - $477 Billion 2)- Egypt πŸ‡ͺπŸ‡¬ - $477 Billion 3)- South Africa πŸ‡ΏπŸ‡¦- $406 Billion 4)- Algeria πŸ‡©πŸ‡Ώ - $192 Billion 5)- Morocco πŸ‡²πŸ‡¦ - $134 Billion 6)- Ethiopia πŸ‡ͺπŸ‡Ή - $127 Billion 7)- Kenya πŸ‡°πŸ‡ͺ - $113 Billion 8)- Angola πŸ‡¦πŸ‡΄ - $107...
  20. JamiiForums Tanzania Referring to the theories of peopling of West Africa, Analyze how the peoples were classified

    DAR ES SALAAM UNIVERSITY COLLEGE OF EDUCATION RAMADHANI BARAKA SHALA Email: barakashala551@gmail.com WhatsApp No: +255762301305 Question: Referring to the theories of peopling of West Africa, Analyze how the peoples were classified. The history of West Africa can be divided into five major...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…