FT: Al Ahly 1-1 Simba SC (Agg, 3-3)| Africa Football League| Simba yaondolewa kwa Goli la Ugenini

uran

JF-Expert Member
Nov 11, 2013
7,580
10,818
Haijakamilika Mpaka ikamilike.

Leo 24.10.2023 Muda wa saa 11 jioni kwa saa za Africa Mashariki.

Itapigwa Match ya marudiano kati ya hawa mabingwa wa Africa.

Ni Al Ahly ya Misri dhidi ya Simba ya Tanzania.

Ikumbukwe kwenye 1st Leg Iliyopigwa Dar es Salaam 20.10.2023. Timu hizi zilitoka sare ya 2-2.

Tukutane Baadae.

Simba, Nguvu Moja.

Kila la heri Mnyama.

#Nguvumoja

View attachment 2790736
Simba Kikosi.jpeg

Kikosi cha Simba
Game On...

Dakika ya 23'

Al Ahly 0 - 0 Simba Sc

(On Aggregate 2-2)

Bado Timu zote zinashambuliana.

Boko anapoteza nafasi.

Al Ahly wanaingia kwenye box la Simba mara kwa mara...

Dakika ya 24'

Ball Possession

Al Ahly 73% Simba 27%

Al Ahly wanafunga goli. Inakuwa offside

*Game On...

Dakika ya 29'

Al Ahly 0 - 0 Simba Sc

(On Aggregate 2-2)

Kipa wa Al Ahly anapatiwa matibabu

*Game On...

Dakika ya 33'

Al Ahly 0 - 0 Simba Sc

(On Aggregate 2-2)

Dakika ya 37'

Al Ahly 0 - 0 Simba Sc

(On Aggregate 2-2)
Kipa Ally Anapatiwa matibabu baada ya kuumia, aliruka akarudi chini vibaya.

Dakika ya 41'
Al AhlyTEAM STATSSimba
8Shots2
0Shots on target1
74%Possession26%
252Passes93

Mpira unaendelea

Dakika ya 45+6

Bado hakuna timu iliyopata goli

Kipindi Cha Kwanza Kimemalizika.
Al Ahly 0 - 0 Simba..

Simba wanapata goli,

Refa anaisogelea VAR

Dakika ya 68'
Kanoute anaipatia Simba goli la Kuongoza.

Al Ahly 0 - 1 Simba.

On Aggregate 2-3

Dakika ya 74'
Mpira unaendelea

Dakika ya 76'
Al Ahly wanapata goli la kusawazisha

Al Ahly 1- 1 Simba
(On Aggregate 3 - 3)

Dakika ya 79'
Simba wanafanya mabadiliko.
Onana na Miquisonne. Wanaingia kuchukua nafasi za Kibu na Saido
F9NjJRMbQAAre-N.jpeg
Dakika 85'
Mpira unaendelea
Al Ahly 1 - 1 Simba
Simba wanapata kona mbili mfululizo

Dakika 87'
Al Ahly wanafanya mabadiliko hapa

Dakika ya 88'
Al Ahly wanapata kona hapa

Dakika 89'
Kapombe Out
Phiri Inn

Dakika 90'
Zimeongezwa Dakika 6'
Ahly 1 - 1 Simba
On Aggregate 3-3

Dakika ya 90 + 3
Game On
Ahly 1 - 1 Simba
On Aggregate 3-3

Dakika 90 + 4.
Al Ahly wanapata kona

Dakika 90 +5
Inakuwa piga nikupige golini kwa Al Ahly.
Inakuwa offside

Full Time.
Dakika 90 zimekamilika.
Al Ahly 1-1 Simba
On Aggregate 3 - 3
Al Ahly amepita kwa Goli la ugenini.

All the Way to Sem Final.

Hongera Mnyama umepigana kiume.
 
Back
Top Bottom