Historia ya standard five inaanza kwa kasi sana hapo tunaambiwa wakati wazungu wanataka ku colonize Africa walituma maagent watatu wakiwemo.
EXPLORERS, MISSIONARIES NA TRADERS.
Lengo la explorers kuja kupeleleza jinsi Africa ilivyo ili wakirudi wawape taarifa juu ya mambo waliyoona yanafaa kuchuma huko Africa ..lakin wanakuja
Missionaries ambao lengo kuu ni kuleta Dini na kuisambaza kwa kasi huku Africa kwa maana Africa tulikuwa tukiabudu Miti, Mawe, Jua na vitu vingine ambavyo walikuwa wanaomba mahitaji yao kama mvua na baadaye mvua inanyesha lakini walivyokuja wazungu wakasema huu ni uppuzi achaneni njooni kanisani ambapo huko kanisani walipitisha ukoloni kiaina mfano walipreach kwamba sote tupo sawa mbele za Mungu ukiona mwenzako anaashida mpatie usimyime sijui nini wakawapumbaza Ujinga waafrica wakawatapeli kilaini sasa swali ni kwann Waliileta dini Afrika na wao ukiangalia kwao Dini haipewi kipaumbele sana wazungu wengi sana wanafanya mambo ya hovyo mno kama hawamwogopi Mungu na wao ndiyo waliileta dini Afrika saasa inakuwaje hapo yani au usikute mambo ya Dini tumejiongezea kwanini watu zamani walikuwa wanaomba miti mikubwa mvua na mazao wanachinja na mbuzi alaf maombi yao yanajibiwa? Hiyo miti ilitukosea nn mpk tusiendelee kuiomba?
Em weka wazo lako apo