africa

  1. JamiiForums Tanzania Operations Accountant at East Africa Fruits Ltd April, 2024

    About EA Foods East Africa Foods is a food-tech company focusing on efficient distribution of foods from farm to market. It has an extensive operations and logistics team that works around the clock to achieve the highest distribution efficiency in the industry We are currently looking for an...
  2. JamiiForums Tanzania Marketing and Relationship Supervisor (Farmer) at East Africa Fruits Ltd April, 2024

    About EA Foods East Africa Foods is a food-tech company focusing on efficient distribution of foods from farm to market. It has an extensive operations and logistics team that works around the clock to achieve the highest distribution efficiency in the industry We are currently looking for...
  3. JamiiForums Tanzania Senior Accounts Officer at East Africa Fruits Ltd April, 2024

    About EA Foods East Africa Foods is a food-tech company focusing on efficient distribution of foods from farm to market. It has an extensive operations and logistics team that works around the clock to achieve the highest distribution efficiency in the industry We are currently looking for...
  4. JamiiForums Tanzania Bruce Africa bonge la artist ila biography yake nimeikosa hivi ni mtanzania au mkenya?

    Huyu kijana anakuja kwa speed kama vile katupwa kutoka kwa juu Ana nyimbo zake hazichoshi ila naona hajapewa sana airtime me mpaka sasa hivi sijajua ni mtanzania au mkenya?
  5. R

    JamiiForums Tanzania Why are Elections Not Democratic in Africa? Comparisons Comparisons Between the Recent Multi-party Elections in Zimbabwe and Tanzania: soma article

    Why Are Elections Not Democratic in Africa? Comparisons Between the Recent Multi-party Elections in Zimbabwe and Tanzania LIISA LAAKSO University of Helsinki, Finland
  6. JamiiForums Tanzania Orodha ya clabu tajiri zenye dhamani kubwa zaidi Africa

    Most valuable football clubs in Africa as of the 2023/2024 season, by market value 1)- El Ahly sc, Egypt 🇪🇬,30.5 million euros 2)- Mamelodi Sundowns, South Africa 🇿🇦 - 29.15 million euros 3)- Pyramid FC, Egypt 🇪🇬, 21.73 million euros 4)- Orlando Pirates, South Africa 🇿🇦 19.55...
  7. JamiiForums Tanzania Car4Sale Agiza gari kutoka South Africa

    Kupitia uzi huu nitakuwa napost magari ya aina tofauti yanayopatikana South Africa na bei zake. Kama ikitokea mtu yuko interested tutawasiliana ili kujua jinsi ya kukuwezesha kununua gari uitakayo. Nitakua na post gari ambazo zipo kwa dealerships pamoja na ambazo zinauzwa na watu binafsi kwa...
  8. JamiiForums Tanzania Je, Ethiopia kujiunga Jumuiya ya Afrika Mashariki kutaharibu au kuimarisha jumuiya hiyo?

    Ethiopia inataka kujiunga na EAC? Nini madhara na faida? Je Tanzania na Kenya zitakua bado na sauti ndani ya EAC au ndio mvurugano utaongezeka?
  9. J

    JamiiForums Tanzania Skudu Makudubela: Aziz Ki amekataa ofa ya kujiunga na Mamelodi, alisema ligi ya South Africa imeshuka ubora

    Mchezaji wa Yanga kutoka South Afrika, akihojiwa na waandishi kuhusu Aziz Ki amesema mchezaji huyo alimwambia alikataa ofa ya kujiunga na timu za South Africa sababu kuwa ameona ligi hiyo imeshuka ubora, japo hakuelezea kwa kirefu Looks like Stephane Aziz Ki could reject PSL clubs amid reported...
  10. M

    JamiiForums Tanzania Aziz Ki kawavutia sana mashabiki wa mpira huko South Africa

    Kwenye media za michezo huko South Africa kuhusu game ya jana naona mashabiki wa Mamelod na Kaiser chiefs wamepagawa na kiwango cha Aziz Ki. Kila shabiki anashauri klabu chake kimsajili. Kuna mmoja akaenda mbali zaidi kwa kusema sio tu lile goli lililokataliwa bali jinsi alivyo na nguvu za...
  11. JamiiForums Tanzania Goli la Yanga dhidi ya Mamelodi mzozo ni mkubwa South Africa kuliko Tanzania, CAF inapoteza credibility

    Gumzo linaloendelea hapa South Africa kwenye mitandao ni kwamba Yanga ndio wameshinda mechi lakini Mamelodi ndio walionufaika. Nikiweka ushabiki wangu pembeni Mimi huwa napenda Sana kujifunza Vitu nisivyovijuwa. South Africa wapinzani ni Chiefs na Orlando, lakini ukiwafuatilia vizuri unakuta...
  12. JamiiForums Tanzania FT: Mamelodi Sundowns 0-0 Yanga SC | CAF CL Quarter Final | Leg 2 | Loftus Versfeld Stadium | 05/04/2024 (Penat 3-2)

    2nd Leg Match CAF CHAMPION LEAGUE QUARTER FINAL. Mamelodi Sundowns vs Yanga Sc Time: 9:00Pm Stadium: Loftus Versfeld Stadium More Updates following... Kikosi Cha Yanga Kinachoanza Kazini kwetu kuna Kazi. Kikosi Cha Mamelodi Sundowns Kinachoanza. Mpira unaendelea kwa kasi . Timu...
  13. JamiiForums Tanzania Nimegundua idadi kubwa ya Watanzania au Africa tumetumia camera moja kuangalia shuti la Ki Aziz

    Nawaeleza lile sio goli, nimeshangaa kuona viongozi wengi wa Tanzania wakishupaza yanga waandikie barua CAF, Kwaajili ya shuti la Aziz ki katika mechi kati ya yanga na mamelodi. Kwenye angle ambayo nyie wote na mimi lile tunaliona kama limedundia ndani. Ule mpira umedundia kwenye goal line. Na...
  14. JamiiForums Tanzania Kwa uonevu wa wazi dhidi ya goli la Yanga leo, suluhisho ni timu za Tanzania kujitoa mashindano ya Afrika. Na tujitoe kwa staili hii

    Goli limeingia, saa ya refa imelia kuashiria goli limeingia. Read anapokea maelekezo kutoka kwa watu wa v.a.r ( probably watu wa motsepe) Yani hata kwenda kuangalia tu var kimchongo amejistukia amekataa hata kwenda . Dah ushoga mtupu. Suluhisho ni kwa timu za Tanzania kujitoa kwenye...
  15. JamiiForums Tanzania Kocha wa Mamelodi asikitishwa timu yake kukosa support ya mashabiki wa Afrika Kusini

    Kocha wa Mamelodi Sundowns ametoa la moyoni kwenye media za South Africa akielezea kusikitishwa kwake Kwa timu Yao kukosa support ya mashabiki mpaka kufikia wanachukua ubingwa wa PSL last season uwanja ukiwa empty. Katika Kile kinachoonekana dhahiri Leo tena Mamelodi wanacheza kama hawapo...
  16. JamiiForums Tanzania Zimbabwe declares state of disaster over drought sweeping across southern Africa

    President Emmerson Mnangagwa of Zimbabwe made the emergency declaration in a speech on Wednesday and called for two billion dollars (£1.6bn) in humanitarian aid. The Rains seems to be below average rainfalls that they experience causing devastated harvests in large part, causing drought that...
  17. M

    JamiiForums Tanzania Dini za wakoloni hazina maisha marefu Afrika. Watu wameanza kujua ukweli

    Jamaa ameongea maneno makubwa sana. Jamaa Kaniacha hoi mwishoni tu alivyomalizia na stiki ya kutolea meno tunaagiza china
  18. JamiiForums Tanzania Leo nawaomba tuweke Utani wetu pembeni hivi kweli kabisa tunaamini Simba na Yanga zitatoboa CAFCL Kesho Egpyt na South Africa?

    Sitaki kuwa Mnafiki katika hili na niseme tu wazi ( japo najua kuwa Mpira wa Miguu sometimes una Maajabu yake ) kuwa Safari ya Simba na Yanga Kimataifa Kesho ndiyo zinahitimishwa rasmi kwa Vipigo ( Kufungwa ) huko Ugenini na Kutolewa rasmi Mashindanoni.
  19. JamiiForums Tanzania Nchi za Afrika zinazotembelewa na watalii kwa wingi

    Top most visited African countries by Tourists 1)- Morocco 🇲🇦 13.2 million visitors 2)- Egypt 🇪🇬 11.3 million visitors 3)- South Africa 🇿🇦 11.5 million visitors 4)- Tunisia 🇹🇳 8.3 million visitors 5)- Zimbabwe 🇿🇼 6.3 million visitors 6)- Côte d’Ivoire 🇨🇮 7) - Uganda 🇺🇬 8)- Kenya 🇰🇪 9)-...
  20. D

    JamiiForums Tanzania Ubalozi wa Tanzania uliopo Afrika Kusini ubadilishwe, kwa Miaka sasa amna kitu wanafanya

    1. Kuna ndugu alifaliki SA back then, yani tunajua Mefariki kwa kutumiwa picha na anatafutwa ajulikani for a month and so, gari lake likekutwa limepata ajali. mwili aupo, damu tu. Tulihustle sana balozi bila bila. Amna hata coperation. Any way. TUKIO YA LEO YANGA KUKWAMA: same same senerio...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…