africa

  1. T

    JamiiForums Tanzania Mwl. Nyerere: Trying to stop radicalization is creating confrontation Africa must be radicalized for it's better future!?

    Nimekuta mahali kipande hiki cha hotuba ya baba wa taifa kwa tafsiri niliyojaaliwa mimi, ni kuwa mwalimu anasisitiza kwamba kwa afya ya bara la Africa ni tusipanbane na watu wa misimamo mikali kwa sababu kupambana nao kutamaanisha wao pia wajibu mashambulizi. Sasa kama hoja ni hiyo mbona ni...
  2. G

    JamiiForums Tanzania Nawafafanulia vipi wanangu kwamba Israel inalindwa na Teknolojia huku Africa tunamuomba Mungu wa Israel atulinde

    Israel inajilinda na umasikini kwa kuwekeza kwenye elimu ya ubunifu wa teknolojia, hawana madini ardhi yao sehemu kubwa ni jangwa lakini kupitia Teknolojia wana uchumi wa dola bilioni 500 (Trilioni elf 1 na 500) kusanya nchi zote za Afrika Mashariki hatufikii. Kampuni yenye teknolojia kubwa ya...
  3. JamiiForums Tanzania Africa: Estimated financial needs by SDG (Latest Data Year) by Mo Ibrahim Foundation Report

    World Poverty Statistics 2024 Facing the harsh reality of extreme poverty, over 700 million individuals globally survive on under $1.90 per day, a crisis that disproportionately affects children. The goal to eradicate this by 2030 underlines the vital global effort of Sustainable Development...
  4. JamiiForums Tanzania Nchi za Afrika zilizofanikiwa kurusha satelite zao katika anga mbalimbali

    Nchi za Afrika hupeleka satelaiti zao anga za mbali kwa sababu mbalimbali, ikiwemo kufanya tafiti za kilimo na kurahisisha upatikanaji wa huduma za mawasiliano. Ifuatayo ni orodha ya nchi za Afrika ambazo zimefanikiwa kurusha satelaiti zao kwenda anga za mbali. chanzo TRT Soma Pia: Afrika...
  5. JamiiForums Tanzania Je, ni kweli umri unavyozidi kuongezeka Mwanamke hutaka ngono zaidi huku Mwanaume hamu ikipungua?

    Wataalamu tunaomba msaada. Je, ni kweli umri unavyozidi kuongezeka Mwanamke hutaka ngono zaidi huku Mwanaume hamu ikipungua?
  6. JamiiForums Tanzania Viwanja Bora vya mpira wa miguu Afrika

    Top 15 best stadiums in Africa 1)-FNB Stadium: Located in Johannesburg, South Africa 🇿🇦, this stadium has a capacity of 94,736 and is the largest stadium in Africa. It hosted the 2010 FIFA World Cup final between Spain and the Netherlands 2)- New Administrative Capital Stadium: Situated in...
  7. JamiiForums Tanzania Muda huo kuna goli la mama, ila maisha!

    Sio huyu tu wapo wengi wenye shida zaidi ya huyu Mzee nikwamba hamjakutana nao tu ila Mungu atupe akili sisi wa Africa. Kuna post moja niliisoma inasema Tanzania ni nchi pekee ambayo unaenda kufanya kazi ukipata pesa pesa yote inaishia kwenye madeni Kila siku kwasababu pesa imekosa thamani
  8. JamiiForums Tanzania Mkuu wa majeshi wa Uganda, Gen. Muhoozi Kainerugaba, anapanda mbegu gani kisiasa na anatoa ujumbe gani kwa demokrasia ya Afrika Mashariki?

    C&P Mkuu wa Majeshi wa Uganda, Jenerali Muhoozi Kainerugaba, ametangaza rasmi kuwa hatagombea urais katika uchaguzi wa mwaka 2026, isipokuwa ataelekeza nguvu zake jeshini huku akimuunga mkono baba yake, Rais Yoweri Museveni, ambaye anatarajiwa kugombea tena urais mwaka huo. Kupitia akaunti yake...
  9. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kuna nini Africa? Mbona ukamataji na utekaji imekuwa kama maisha ya kawaida?

    Hii ni Kenya baada ya utekaji kukithiri. On Monday, September 30, police officers raided the office of Morara Kebaso, a strong critic of the Kenya Kwanza administration Morara's lawyers followed the Subaru vehicle that ferried him up to the Nairobi Area Police Station Lawyers said police...
  10. JamiiForums Tanzania Azam TV kupewa kuonyesha mashindano ya Club Bingwa Africa na Shirikisho kupitia FTA(ZBC2) je hii channel itakuwa free bila kulipia kwenye decoder zao?

    CAF wametangaza washindi wa Bid za kuonesha Mechi za Champions League na Kombe la Shirikisho kwa msimu huu. Azam Tv ni Moja ya washindi lakini katika kipengele Cha FTA (Free to Air) Maana yake Mechi za CAF tutaziona kupitia ZBC 2 pekee maana ndio chanel ya Bure hiyo. Sasa najiuliza mpka Leo...
  11. S

    JamiiForums Tanzania South Africa inawezaje kuwa na uchumi mkubwa kiasi hiki wakati vijana karibu wote ni jobless

    Nimewahi kufika South Africa uchumi wa south Africa ni mkubwa mno manake ni nchi iliyondelea sana ila ni nchi yenye jobless wengi mno Roughly ukikutana na vijana 100 bas 36 ni pure jobless .
  12. JamiiForums Tanzania Sijawahi kuona beki mjinga kama Thiery Manzi,unaumizaje mwana Africa Mashariki kikatili

    Jamaa ni kama alitumwa na uto kuwavunja wachezaji wa Simba. Refa nae akawa fair sana yule alitakiwa red card kwa uchezaji wake wa kikatili. Alichosahau yuko Libya kikazi ila huku Tanzania watutsi wenzake wamejazana , dada zake tunawamwagisha maji kwa kale kamchezo ketu huku Ngara. Si ajabu ana...
  13. JamiiForums Tanzania Kwa Udhamini wa Mkutano wa Kimataifa wa Connect2Connect Africa, Helios Towers, Yazidi Kuing'arisha Tanzania, Kitaifa na Kimataifa, Yastahili Pongezi.

    Kampuni ya Helios Towers, inayoongoza kwa miundombinu ya mawasiliano kwa njia ya minara, imepongezwa kwa kuing’arisha Tanzania kitaifa, Afrika na kimataifa, kulikopelekea mkutano wa 8 wa Connect 2 Connect (C2C) Afrika 2024, kuja kufanyikia Tanzania, Hellios akiwa ndie mdhamini mkuu wa mkutano...
  14. JamiiForums Tanzania Kikosi cha club ya Young Africans (Yanga) ndio kikosi bora kwa sasa Afrika

    Nimefuatilia match mbalimbali za ligi ya mabigwa ninaujasiri wa kusema kuwa kikosi hiki cha young african mwaka huu kina balaa zito.. si ajabu kabisa kikailetea tanzania na mpira wetu thamani kubwa sana. Yanga wameonyesha uwezo mkubwa sana uwanjani.
  15. JamiiForums Tanzania President Samia warns foreign diplomats: You can’t tell me what to do, we know what to do!

    President Samia Suluhu Hassan has criticized Western interference in Tanzania's internal affairs and urged foreign diplomats to respect the country's sovereignty. Without naming specific countries, President Samia asserted that Tanzania will not accept directives from any foreign government on...
  16. JamiiForums Tanzania Kumbe raia kumtuhumu mtu kwa mauaji ni kosa la jinai pia!

    Nilikuwa najua kumtuhumu mtu kwa mauaji au mambo mengine mfano fisadi, jambazi n.k akienda mahakamani ni kesi ya madai tu kumbe inaweza kuwa kosa la jinai pia kama anavyoshitakiwa ExMayor
  17. S

    JamiiForums Tanzania Nini kinasababisha Utumishi kuchelewesha kutoa Majina ya Kuripoti kazini?

    Tanzania, mara nyingi, ajira zinatangazwa na waombaji hutakiwa kusubiri kwa wastani wa miezi 2 kabla ya kuitwa kwenye mahojiano. Baada ya mahojiano, waombaji wanapaswa kusubiri tena miezi kadhaa kabla ya kuripoti kazini. Hali hii imekuwa kama desturi katika utumishi wa umma. Kwa mfano, ajira...
  18. JamiiForums Tanzania Sio Tanzania tu, hakuna nchi yoyote Afrika yenye uwezo wa kupambana na Magharibi

    Niweke ukweli ili hata wenye tuakili tudogo wajue sio tu Tanzania hapa Africa nzima hakuna nchi yenye uchumi stable wa kuweza kupambana na kutingishana na magharibi. Bila hata vita za silaha hakuna nchi Africa ya kuweza kupambana na ulimwengu wa magharibi. Ulimwengu wa magharibi ukiamua nchi...
  19. JamiiForums Tanzania CHADEMA wote wanajua kwamba CCM is the best political party in Africa

    Chama Cha Mapinduzi (CCM) ni chama tawala nchini Tanzania na ni moja ya vyama vya kisiasa vilivyodumu kwa muda mrefu barani Afrika. CCM ilianzishwa mwaka 1977 baada ya kuunganishwa kwa vyama viwili, Tanganyika African National Union (TANU) na Afro-Shirazi Party (ASP), ambavyo vilikuwa vikifanya...
  20. D

    JamiiForums Tanzania Hivi ni lazima nikienda South Africa nijue lugha zao nyingine apart from English?

    Habari za muda, ndugu zangu. Nina swali napenda kuuliza: Huenda kuna Watanzania ambao walishawahi kufika Afrika Kusini, au huenda kuna wengine wanaishi huko chini ya Madiba. Napenda kuuliza: Hivi, ukienda Afrika Kusini, ni lazima ujue moja ya lugha kama Zulu, Xhosa, Sesotho, au Afrikaans, au...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…