africa

  1. G

    JamiiForums Tanzania East Africa Radio kwanini mlikatisha mahojiano na Mzee Bantu?

    Jana katika kipindi cha jioni alikuwepo mtu mmoja aliyejitambulisha kama Bantu. Alikuwa ameanza kuzungumzia jinsi alivyouona uchaguzi wa Serikali za Mitaa uliopita. Alikuwa anaongea maneno ya kweli na adimu sana kuyasikia kwenye media zetu. Muda mfupi nilitoka nje ya gari kidogo, kurudi...
  2. JamiiForums Tanzania Yanga tumepewa heshima tuliyoililia

    Kila kitu kimekuwa kibaya gafla mitaa ya jagwani na watu wengi wakiangaika kutafuta mbuzi wa kafara, mara kocha kawai kufutwa kazi mara simba wanacheza mechi zetu mara wachezaji awajitumi, wameridhika n.k Lakini hawajui, hiki ndicho kinawatafuna yanga, msimu ulioisha tumeshuhudia yanga ikiwa ya...
  3. JamiiForums Tanzania VIDEO: Mtanzania akimkimbia traffic police Zimbabwe katika harakati za kuingia South Africa

    Watanzania tunatia huruma Sana ukiiona video hii ni aibu we mtu anakimbilia porini hata hajali huko porini atakutana na nini. JIANDAE KUKUTANA NA HAYA KAMA UTAHAMIA NCHI ZA WATU BILA PASIPOTI UTAISHI KAMA DIGI DIGI Papers ni za muhimu Sana kwenye nchi za watu tusihamie kienyeji sana Ona huyu
  4. JamiiForums Tanzania Ukitaka kujua kuwa Afrika hatuwezi mfano ni mdogo tu usafiri wa mwendokasi nao umetushinda ni mateso

    Amani kwenu Mwendo kasi ni mateso Mwendo kasi ni maumivu Mwendo kasi ni majonzi Mwendo kasi ni utungu Wazungu njoon mtutawale tena sisi hatuwezi jaman YESU njoo Africa tunateseka jaman
  5. JamiiForums Tanzania Kitu gani kiliwafanya wazungu wa zamani waweze kuishi Afrika maporini lakin hawa wazungu wa leo hawawezi na wameshindwa?

    Aman iwe kwenu watumishi Wazungu wa zamani tulizoea kuwaona vijijin maporini kabisa wa kifanya kazi Hasa kazi kama utawa, upadre, udakitari, kilimo, na hata uwindaji Hakika waliweza na walifanikiwa Lakin basi kitu gan kimewakumba hawa vijana wa leo wa kizungu kushindwa kumudu kuishi Africa ...
  6. G

    JamiiForums Tanzania Matangazo ya Mganga Radio Free Afrika

    Wakuu habari. Niko nasikilizia hapa radio Free!. Kuna kipindi Cha mganga anajinadi kuwa kama una tatizo lolote yeye atakusaidia kulitatua kwa kupiga namba ya sim Aliyoitoa. Anasema kama unashida na Hela, cheo yeye anaweza kukusaidia. Najiuliza hapa nikienda kwa huyo mganga na nisifanikiwe...
  7. JamiiForums Tanzania Umasikini ambao upo nchi za Africa ni umaskini bandia na sio umasikini unaotokana na Mazingira au umasikini halisi

    Umasikini ambao tunao katika bara la Africa ni umasikini bandia na sio kwamba unapatikana Kutokana na Mazingira. Katika post hii nitamui-invite ndugu Robert Heriel Mtibeli ambaye aliwahi kuzungumzia hili jambo . Umasikini - ni hile hali ya mtu kushindwa kukidhi mambo makuu matatu ambayo ni...
  8. JamiiForums Tanzania Hatimaye Tanzania yaipiku Kenya katika FIFA - Football ranking - CAF Zone, Rasmi Tanzania na Uganda ndiyo Giants wa soka East Africa

    Je, huu ni Mwanzo wa Tanzania kuwa power house of East africa, Kimichezo na Kiuchumi kama ilivyokuwa mwanzoni mwa miaka ya 80's?
  9. JamiiForums Tanzania Wakuu sikioni chuo Kikuu Dodoma, tuliambiwa ni chuo kikubwa Afrika

    Aah nini kinaendelea au hujuma😎
  10. G

    JamiiForums Tanzania Epuka kuuziwa mbuzi kwenye gunia, Google pixel hairuhusu nchi za Africa kutumia 5g, Tafuta simu nyingine ukitaka ku-enjoy internet

    Yani umejipinda kununua simu kali halafu uanze tena kutumia 4g wakati eneo lina 5g ya kutosha, Ahh wapi aisee !! miyeyusho hio !! Ni tahadhari ya mapema kabisa naitoa, kama unataka kununua google pixel jifikirie mara 2, ukiachana na uadimu na bei pasua kichwa kwenye vioo kusababisha wengi...
  11. M

    JamiiForums Tanzania Simba fans ni kichekesho kumponda Kocha Saed wa Yanga wakati Fadlu wenu aliishusha timu yake daraja Afrika Kusini

    Ni vichekesho kwa mbumbumbu eti wanaiponda cv ya kocha mpya wa yanga wakati ajawai kushusha timu daraja kama ilivyo kwa kocha wao fadlu ambae aliishusha Martizburg na akatimuliwa! Kama cv zinakufanya kazi basi Simba wasingemchukua fadlu kwakuwa cv yake ilikuwa ni ya ovyo! Unapochukua kocha...
  12. JamiiForums Tanzania Karibuni Namibia itakuwa kama Kenya, Sudan, Nigeria, South Africa, DRC, Somalia, Ethiopia n.k

    Hizo nchi inajulikana wananchi wao hawaogopi vyombo vya usalama, wapo tayari kupambana hata na wanajeshi au polisi pale wanapoona hawatendewi haki. Kenya tumetoka shuhudia juzi hapa vijana wadogo wanaingia bungeni na kuchoma bunge. Nilichogundua kumbe serikali nyingi za Africa ndizo chanzo cha...
  13. JamiiForums Tanzania Putin achukizwa na Ugaidi. Atangaza kuisaidia Afrika dhidi ya Magaidi

    Rais wa Urusi, Vladmir Putin ameahidi kuzisaidia Nchi Washirika wake Barani Afrika katika Sekta mbalimbali za kuleta maendeleo na amesema ataisaidia pia Afrika kupambana na ugaidi. Rais Putin ameahidi kutoa msaada kamili kwa Bara la Afrika ahadi ambayo ameitoa leo Jumapili katika mkutano kati...
  14. B

    JamiiForums Tanzania Yanga inaenda kutoa ubingwa wa AFRICA

    Leo ni tarehe 7 thursday november 2024,yanga imefungwa mfululizo na Azam na Tabora,hii ni mzuri sana kwa watu wanaojua mpira hii inaitwa the calls,hii itawafanya Yanga wakae sawa kuangalia timu yao wapi panapovuja, Nakuambia hivi the next Yanga baada ya haya matokeo itakuwa Yanga ya hatari...
  15. JamiiForums Tanzania Msiwasingizie Wamarekani mifumo ya kubeba jinsia ya kike katika uongozi Africa, hawahusiki

    Haijawahi kuwa sera ya Marekani chini ya Rais wa Republican au Democrats kuchochea wanawake wapewe madaraka katika nchi za Africa, hili jambo watu wanalirudia rudia sana kuonyesha kwamba Wamarekani wameturubuni Waafrika kuwapa watu uongozi kwa kigezo cha jinsia yao huko wao wakiwa hawafanyi...
  16. JamiiForums Tanzania Inakuaje Marekani ikiwa kinara wa kudai wanawake Duniani haswa Africa wapewe nafasi za uongozi na kuweka kama kigezo Cha misaada ila wao hawako tayari

    Kama Kichwa Cha Habari kinavyoeleza Kuna Nini nyuma ya pazia? Marekani as kiranja wa Dunia anafahamika kama kinara wa kupiga chapuo wanawake kupewa nafasi something which is not bad. Ila Wao Huyu Rais wa 47 hawako tayari kuchagua Rais mwanamke. Ila Africa na uchanga wetu wanaoona it's fare...
  17. K

    JamiiForums Tanzania Tatizo kubwa wa serikali nyingi za Africa na mashariki ya kati

    Baada ya kukaa nchi ya USA kwa muda mrefu pamoja na mapungufu mengi wamefanikiwa sana kwasababu hizi 1. Wana mfumo imara ambao kiongozi yeyote anaweza kushinda na kushidwa 2. Mahakama na mfumo wa sheria mzuri 3. Uhuru na sio uchawa 4. Ubunifu 5. Mfumo wa uchumi ambao ni imara mfano bank kuu yao...
  18. G

    JamiiForums Tanzania Wasanii 17 Bora wa Kiafrika wenye Wasikilizaji Wengi wa Kila Mwezi kwenye Spotify

    Makala haya yanaorodhesha wasanii wa Kiafrika kulingana na wasikilizaji wa kila mwezi wa Spotify (Monthly Spotify Listeners. Kama vile ungedhani, Afrobeats inatawala. Pata full list hapa. In March 2021, Spotify expanded into the African market, making their streaming platform accessible to...
  19. JamiiForums Tanzania Kimenuka! leo hii Wa-south africa wafanya Msako wa kutafuta raia wa kigeni wasio na vibali, Mtanzania apigwa

    Nchini Afrika Kusini, mapema leo hii Polisi na Mamlaka zimefanya msako katika Kituo cha maduka cha "China Mall" jijini Johannesburg, Gauteng, ili kuwatafuta watu ambao huenda hawana vibali vya kisheria au wanaishi nchini kinyume cha sheria. Msako huu uliofanywa na mamlaka za Afrika Kusini...
  20. JamiiForums Tanzania Watangazaji wa Radio Free Africa walikuwa na hatari sana

    Hawa jamaa mapengo yao hayajazibwa mpaka Leo Fedwaa Mohammed Baraghaza Rebecca Mulesi Fedwaa alitisha Sana - katika kuandaa sindano tano za moto Mohammed Baraghaza alitisha katika , jee huu ni uungwana la hasha huu si uungwana . Rebecca Mulesi -katika ushauri wako.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…