afisa

Otiko Afisa Djaba (born 21 January 1962) is a Ghanaian politician. Her previous engagement was the National Women's Organizer for the New Patriotic Party. She was also the former minister for Gender, Children and Social Protection.

View More On Wikipedia.org
  1. Kimbesa11

    JamiiForums Tanzania WAZIRI WA ELIMU & OR-TAMISEMI; Tunaomba Elimu iongozwe na viongozi wenye Elimu kubwa kuanzia Mwalimu mkuu hadi mkuu wa shule Ila Afisa Elimu iwe PhD.

    Hili ni pendekezo langu kwenye Dira mpya ya Taifa. Ninashauri viongozi wa idara na taasisi za Elimu nchini wawe na Elimu kubwa. Mfano; unaweza kuta mwalimu anayefundisha ana PhD Ila anaongozwa na mtu mwenye degree au Mwalimu mkuu ana diploma Ila anamuongoza Mwalimu mwenye degree hii haileti...
  2. S

    JamiiForums Tanzania Hatimaye Afisa Muuguzi Msaidizi

    HATIMAYE AFISA MUUGUZI MSAIDIZI
  3. M

    JamiiForums Tanzania Maswali ya afisa utawala yanakuaje?

    Jamani mwenye uelewa wa maswali ya afisa utawala yanakuaje tafadhali?
  4. Pfizer

    JamiiForums Tanzania Waziri Ridhiwani Kikwete afanya mazungumzo mafupi na Afisa Mtendaji Mkuu wa Chama Cha Waajiri Tanzania (ATE) Bi. Ndomba Doran

    Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu-Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu, Mhe. Ridhiwani Kikwete (Mb) amekutana na kufanya mazungumzo mafupi na Afisa Mtendaji Mkuu wa Chama Cha Waajiri Tanzania (ATE) Bi. Ndomba Doran aliyeongozana na Meneja wa Kanda ya Kati wa ATE, Bw. Leonard Mapha...
  5. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Arusha: Afisa Upelelezi (Omary Mahita) akamatwa kwa tuhuma za kumvunja Mguu raia

    Afisa Upelelezi Wilaya ya Arusha Mjini, Omary Mahita anashikiliwa na Polisi kwa tuhuma za kumpiga hadi kumvunja mguu mtuhumiwa wakati wa mahojiano akiwa kituo cha polisi. Askari huyo anatuhumiwa kumvunja mguu wa kushoto Peter Charles (21), mkazi wa Daraja II, jijini Arusha Juni 6, 2024...
  6. A

    JamiiForums Tanzania KERO Walimu Kilwa waliombwa taarifa zao na orodha ya kufanyiwa malipo kutoka lakini hawajalipwa hadi leo. Wanahisi pesa zimepigwa

    Habari gani wadau? Kama mnakumbuka, siku za nyuma kidogo kuna mdau alitoa dokezo kuhusu afisa elimu sekondari Kilwa kudhulumu sitahiki za walimu kama vile malipo ya likizo, malipo ya uhamisho na malipo ya UMISETA. Mdau alieleza hoja kadhaa kinagaubaga kuelezea uhalisia wa tuhuma zake kwa Afisa...
  7. SankaraBoukaka

    JamiiForums Tanzania Prediction: Afisa Aliyatuma Vijana kufanya Uovu Hatoguswa

    Afisa wa jeshi, kama mtu mwingine yeyote mwenye mamlaka, anaweza kutumia vibaya mamlaka yake au mamlaka yake juu ya raia. Matumizi mabaya kama hayo yanaweza kuchukua aina mbalimbali, ikiwa ni pamoja na vurugu za kimwili, unyanyasaji, kulazimisha, au aina nyingine yoyote ya ukatili ambao unakiuka...
  8. Sigonella Island

    JamiiForums Tanzania Afisa Mwandamizi wa Jeshi la Urusi Sergey Shoigu kaingia Iran

    Viongozi Waandamizi wa Jeshi la Urusi wameanza kuingia Iran ikisadikika kua ni katika mikakati ya kutoa code za nuke zana zingine za kimapigano ⚡️Sergei Shoigu has just arrived in Iran. 🚀☢️What is going on? ‼️🇮🇷🇷🇺 Breaking: Sergrey Shoigu, Secretary of the RF security council, has landed in...
  9. ChoiceVariable

    JamiiForums Tanzania Afisa wa serikali adai UDSM ni chuo cha kata, kinazalisha wahitimu wasio na uwezo kiushindani

    Haya mliosoma UDSM wale ambao mnafundishwa na Maprofesa wa Jalapani njooni mbishie huyu mwamba hapa 👇 Bwana huyo kutoka Njombe alikuwa akichangia mjadala wa dira ya Uchumi wa Taifa ya 2050 Pia soma Ofisa biashara atuhumiwa kwa kuikashifu Serikali, Mwenge My Take: Vyuo Vikuu Bora Africa...
  10. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania LATRA: Anayetuhumiwa kuchukua hela za Madereva Bajaj si Mtumishi wa LATRA ni Afisa wa Halmashauri ya Morogoro

    Baada ya Mwanachama wa JamiiForums.com kulalamika kuwa kuna Afisa wa LATRA amekuwa akichukua fedha za madereva Bodaboda na Bajaj ili awalipie faini na malipo mengine ikiwemi ya stika, kisha kutofanya hivyo, mamlaka husika imejibu. Kusoma tuhuma za Afisa huyo bofy hapa ~ Huyu Afisa anaichafua...
  11. A

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Responded Huyu Afisa anaichafua LATRA-Morogoro, anachukua fedha za stika na faini za Madereva Bajaji na kuanza kuwatisha

    Kuna Afisa mmoja wa LATRA Morogoro anafahamika kwa jina la Fadhili, huyu mtu ni hatari sana kwa Vijana wanaoendesha Bajaji, anatutesa sana sisi Vijana na kinachouma zaidi ni kuwa inavyoonekana Wakubwa wake wa kazi wanajua michezo yake lakini nao wapo kimya. Afisa huyu ana mtindo wa kulazimisha...
  12. A

    JamiiForums Tanzania KERO Inashangaza sana: Afisa Elimu adai walimu wanaoomba kuhamia CHAKUHAWATA ni wanaharakati wa vyama pinzani!

    Juzi kati hapo baadhi ya walimu wanaojitambua halmashauri ya Muleba mkoani Kagera walimwendea mkurugenzi kudai haki yao kuhama CWT kwenda CHAKUHAWATA kwenye makato nafuu (elfu 5 tu haijalishi unapokea ngapi tofauti na CWT wanaokataa 2% ya PAYE yako). Wakiwa ofisini wakiendeleza mazungumzo na...
  13. G

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Afisa Elimu kata ya Kasekese anatumia madaraka yake vibaya, Serikali tunaomba mtuondolee

    Rais Samia salaam! Ni furaha kuona umekuja kutembelea mkoa wetu wa Katavi. Furaha imetuelemea tuliposikia kwamba safari yako ni ya kichama zaidi na sio kiserikali ingawa ni vigumu kutofautisha ukiwa na safari ya kichama na Kiserikali kwakuwa mapokezi na mambo ya itifaki ni yaleyale. Tuachane...
  14. safuher

    JamiiForums Tanzania Mambo ya kuzingatia kwa Afisa MADENI ili kumu"WIN" anayekudai.

    Afisa mikopo anashughulika na kuwapa watu mikopo,hivyo na sisi tunaopokea mikopo hiyo tunayo haki ya kujiita AFISA MADENI. madeni ni katika sababu ya maendeleo kwani moja ya sababu ni kuwa WANAOKUDAI HUKUOMBEA UTOBOE ILI UWALIPE MADENI YAO,na Mungu mara nyingi hujibu dua hizo. usikope kwa...
  15. Tutu kalundji

    JamiiForums Tanzania HONGERA SANA AFISA MTENDAJI WA MTAA WA NYERERE HALMASHAURI YA MJI WA BUNDA

    Sasa unaingia mkoa wa Mara!Utakutana na maandishi yakiwa kwenye hiki kibao mara tu unapoiacha Simiyu na kuingia mkoa wa Mara.Jina la mkoa halijulikani sana ukilinganisha na jina la makao makuu ya mkoa,Musoma.Ndio maana wengi wanajua jina la mkoa ni Musoma!Huu ni mkoa ambao mfumo dume ni mahali...
  16. MK254

    JamiiForums Tanzania Afisa ugavi wa HAMAS auawa na Israel

    An IDF drone carried out a targeted attack on a vehicle carrying Hamas's Lebanon supplies director, Ayman Ratma, in the Bekaa Valley of Lebanon on Saturday, the military reported. Ratma had reportedly helped to direct weapons supplies for Hamas and Jamaa Islamiya in Lebanon. The army said that...
  17. maina23

    JamiiForums Tanzania Afisa Mtumishi Mkuu achana na kulazimisha kutumia nguvu kutumia ESS kama kigezo cha kupanda madaraja watumishi. Kwa sasa nchi iko busy na stationery

    Usome
  18. H

    JamiiForums Tanzania Mkuu wa Wailaya ya Maswa na Afisa Uhamiaji Wilaya ya Maswa acheni kunyanyasa raia i.e:WAHA

    Habarini, Leo tena Afisa Uhamiaji kaendeleza unyanyasaji wake kwa maelekezo ya DC wa Maswa kwa kutuma askari wa uhamiaji kwenda kumkamata raia mkazi wa Malampaka Wilaya ya Maswa kwa kile anachodai siyo raia wa Tanzania ingawa chanzo chake ni kuwepo mgogoro wa ardhi baina ya Baraka Kabezi na...
  19. Mhaya

    JamiiForums Tanzania Mwanajeshi Mstaafu wa Marekani adai Nchi za Afrika zirudishwe kwenye Utawala wa Kikoloni kwa kushindwa kujisimamia zenyewe

    Erik Prince, afisa wa zamani wa Jeshi la Wanamaji la Marekani na mwanzilishi wa kampuni ya binafsi ya kijeshi ya 'Blackwater', hivi karibuni alitoa maoni yake kwamba nchi za Kiafrika zinapaswa kurudishwa kwenye ukoloni kwa sababu viongozi wake wana ufisadi na ubinafsi. Prince alitoa mtazamo...
  20. T

    JamiiForums Tanzania Makonda ampandisha cheo Afisa Mtendaji kuwa msaidizi wa Mkuu wa Mkoa kwa kufuatilia vizuri matatizo ya wananchi

    Habari wakuu, RC Makonda leo kampandisha cheo afisa mtendaji kuwa msaidizi wa mkuu wa mkoa papo hapo baada ya kumona anajua na kuelezea vizuri kero za wananchi wake Afisa kala shavu ofisi ya mkuu wa mkoa, na kesho ana ripoti ofisi ya mkuu wa mkoa. Swali langu atafanya kazi kama nani pale na...
Back
Top Bottom