Otiko Afisa Djaba (born 21 January 1962) is a Ghanaian politician. Her previous engagement was the National Women's Organizer for the New Patriotic Party. She was also the former minister for Gender, Children and Social Protection.
Naitwa Lutamila Malindi Ibrahim, mwanafunzi wa Kigamboni City College of Health and Allied Sciences. Nimesajiliwa kwa namba ya usajili: S3363.0137.2021.
Ninaandika kwa uchungu na hofu kubwa. Mpaka leo hii, tarehe 6 Julai 2025, sijapata boom la nne kutoka HESLB.
Hali hii imenitesa sana...
Anonymous
Thread
afisaafisa mikopo
boom
college
kigamboni
kufukuzwa
mikopo
mwanafunzi
Huduma ya Polisi ya Taifa (NPS) imepokea kwa wasiwasi mkubwa tukio la kupigwa risasi kwa raia asiye na silaha na askari wa polisi aliyekuwa akitumia bunduki ya kudhibiti ghasia, tukio lililotokea katika eneo la biashara kuu jijini Nairobi (CBD) tarehe 17 Juni 2025.
Kufuatia tukio hilo, Inspekta...
Leo nilipokuwa nafuatilia shauri la Bw Lissu kulikuwa na shahidi wa Upande wa Serikali alitoa ushahidi kuhusi shtaka la lissu la makosa ya mtandao.
Ningependa kujulishwa yule shahidi ni mtumishi wa Jeshi la Polisi, Mtumishi wa TCRA au ni mtu binafsi.
Halafu kozi yake ya miezi 2 kutoka kwenye...
Mtangazaji nguli wa medani za Siasa Ndg Aloyce Nyanda ameteuliwa kuwa msemaji wa Chama cha ADC kuanzia leo ambapo uteuzi wake umeanza leo baanda ya Mwenyekiti wa Chama hicho cha Siansa MH. SHAABAN HAJI ITITU kumteua na Ndg ALLOYCE NYANDA, ameomba suala hilo la yeye kukubali ama kukukataa...
"Klabu ya Yanga wao wamefika hapa TFF wameleta barua na kuondoka na wamesema hawana chochote cha kuzungumza na sisi na hata Katibu Mkuu wa TFF, Wilfred Kidao alipomuita CEO wa Yanga wazungumze alikataa, hizi ni taasisi kubwa na sio kila jambo tunapaswa kuandikiana barua kama tunatoa posa"-...
Nikiwa Rais wa Tanzania ntahakikisga nchi nzima inapimwa, na hii kazi ya kupima nchi nzima watapewa waholanzi, wakimaliza Tanzania master planning itakuwa kwenye three dimension na hardcopy watapewa mabolozi, wenyeviti wa mitaa, wakuu wa wilaya, na wakuu wa mikoa ili mwananchi akitaka kujenga...
Kuelekea Vita kuu ya Pili ya Dunia Marekani alikuwa na uhitaji mkubwa sana wa visiwa katika Bara la Asia kwa ajili ya kujenga Kambi zake za kijeshi.Moja ya maeneo yaliyotambuliwa na Marekani ni visiwa vilivyopo karibu na Nchi ya Ufilipino.
Pamoja na kutumia mbinu zote kuwashawishi wakazi wa...
Naomba kuwasilisha maulizo yangu kwa wadau kuhusu sisi maafisa wasaidizi wa hesabu (assistant account officer), ambao tuliomba nafasi za kazi MDAs na LGAs ni lini tutaitwa kufanya interview
kiuhalisia tumekata tamaaa wengi wetu tukifikiria kwamba tumetengwa maana kila kada karibia zote...
Ngoja nikupe mfano kwa kitu nachotaka ku share nawe hapa. Chukulia wewe ni mfanyakazi ambaye tuseme ni msaidizi wa CEO wa kampuni ya AB. Kila kitu kuhusu AB ,mipango ,waajiri pamoja na shughuli zote(safi na chafu) unazijua. Ikatokea kwamba kampuni ya AB unayoifanyia kazi imeajiri kwa siri watu...
Maafisa Usafirishaji (Madereva bodaboda) wametakiwa kupambana dhidi ya vitendo vya rushwa kwa kutokuwa tayari kutumika kwa namna yoyote katika vitendo vya rushwa katika kipindi hiki kuelekea Uchaguzi mkuu 2025.
Wito huo umetolewa leo Aprili 17, 2025 na Mkuu wa Dawati la Elimu kwa Umma TAKUKURU...
Nimemkumbuka rafiki yangu wa utotoni Babu Sikare RIP
Babu Sikare alizaliwa familia ya kishua,baba yake alikuwa mkurugenzi TANESCO,alijulikana mitaa yote ya Msasani,Oysterbay na Masaki.
Vabu Sikare alizaliwa albino na wala hakuogopa kujitambulisha kuwa ni albino,tofauti na yule msemaji wa klabu...
Baada ya kugundua nia yenu ovu mliyokua mmeipanga nikifika makao makuu, sasa kuna jambo mnaniandalia ofisin makao makuu muda huu. Nipo tayari kupokea. Mimi ni kiongozi mwenye address na address yangu inafahamika
Ameandika ktk X yake
Tukiona DRC kajisalimisha kwa USA ili asaidiwe kuwaondoa M23 tusishangae! Je, Putin atakuwa ameingiwa ubaridi sasa?
Habari kamili;
Ukraine imekubali masharti ya mkataba mkuu wa madini na Marekani, afisa mkuu wa Kyiv ameiambia BBC. "Kwakweli tumekubaliana na marekebisho kadhaa mazuri na tunaona...
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan amekutana na kuzungumza na Afisa Mtendaji Mkuu wa Benki ya NMB Tanzania, Bi. Ruth Zaipuna Ikulu Jijini Dar es Salaam tarehe 13 Januari, 2025.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan amekutana na...
Anaandika Remigius Celestine Mjumbe wa Secretarieti CHADEMA Makao Makuu.
===
Mjumbe Baraza Kuu, Mkutano Mkuu na wanachama wote nawasalimu kwa salaamu ya Chama.
Bila kukupotezea Muda naomba kukushirikisha kauli nzito na muhimu kwa wakati huu iliyotolewa na Katibu Mkuu wa Chama Taifa.
Ilikuwa...
Understanding the Role of Clinical Dietitians in Patient Care
Dear Medical Doctors, Nurses & Allied Health professionals.
Heri ya xmass & mwaka mpya!
Introduction
We value your dedication to providing comprehensive patient care. As clinical dietitians, We play a crucial role in supporting...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.