Katika WAZO LA SIKU lililotangulia, tuliona umuhimu wa kuitafuta Furaha, na kuwajali wengine kama malengo muhimu sana kwa Mwaka unaoanza.
Kwavile furaha ni muhimu katika maisha yetu, kamwe tusiifurahie huzuni ya wengine hata ya Adui zetu.
Kama unavyoihitaji FURAHA, basi JALI na furaha ya...