adhabu

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Serikali imefuta pia adhabu ya 10% inayotozwa na Bodi ya Mikopo kwa wanaochelewa kulipa deni

    Waziri wa Elimu Prof.Joyce Ndalichako leo Bungeni tarehe 4 Mei 2021. Ameiagiza Bodi ya mikopo elimu ya juu kuondoa adhabu ya asilimia 10 ya mkopo inayotozwa na kwa wanafaika wa mikopo elimu ya juu wanaochelewa kulipa mikopo hiyo baada ya miaka miwili kupita tangu kuhitimu kwao chuo. Kwaniaba ya...
  2. Adhabu ya viboko shuleni bado ni halali katika nchi angalau 64. Tanzania inang'ara kwa kutozuia viboko

    Adhabu ya viboko shuleni bado ni halali katika nchi angalau 64! Watoto milioni 246 bado wanakabiliwa na unyanyasaji wa kijinsia Mwanafunzi 1 kati ya 3 huonewa & kunyanyaswa kimwili 50% huripoti vurugu kutoka kwa wenzi wao shuleni. =========== Corporal punishment is a practice that remains...
  3. C

    Mke wangu amekubali nimuadhibu viboko vitano ili yaishe

    Nilivyosafari kuenda kwenye shughuli zangu za biashara takriban mwezi moja na nusu, jana nilirudi nikakuta mke wangu hayupo kasafiri na kuenda kwa Dada yake kukaa huko na nyumbani hamna mtu yeyote kuna giza kote, nikakagua nyumba yote na Kigari changu nikaona vyote viko salama nikamshukuru Mungu...
  4. J

    Unamfahamu aliye na mamlaka ya kutoa adhabu ya viboko shuleni kwa mujibu wa Sheria?

    Mwalimu mkuu ndiye mwenye mamlaka ya kutoa adhabu ya viboko au mwalimu mwingine ambaye atakasimishwa na mwalimu mkuu kwa uangalizi maalum. Tukio la viboko kwa mwanafunzi sharti liwekewe kumbukumbu kwa kuandika jina la mwanafunzi, kosa alilofanya, idadi ya viboko na jina la mwalimu aliyetoa...
  5. Bandari ya Bagamoyo ikijengwa CCM ijindae kwa adhabu pia

    Wakati sakata la gesi ya Mtwara halijaisha CCM kupitia kwa Mwenyekiti wake Mheshimiwa Rais Jakaya Kikwete amesaini mktaba wa kujenga bandari nyingine huko Mbegani Bagamoyo Nyumbani kwa Rais, huku zile za Mtwara na Tanga zikiachwa hoi, CCM ikumbuke kuwa ujenzi wa bandari ya Bagamoyo ni kaburi...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…