act wazalendo

Alliance for Change and Transparency (ACT) (Swahili: Chama cha Wazalendo, lit. 'Party of Patriots') is a political party in Tanzania. It received its permanent registration in May 2014.

View More On Wikipedia.org
  1. R

    JamiiForums Tanzania Msemaji Mkuu wa Chadema, Ndugu ACT Wazalendo amesema kuwa Chadema imepokea ruzuku!

    Inaweza kuwa sahihi, Basi Bwana ACT Wazalendo alete ushahidi usio na mashaka kama payment voucher, cheque iliyolipa hizo hela, acceptance by Chadema official, bank statements and the like! Siyo nembo ya Bwana ACT Wazalendo na maandishi! Erythrocyte
  2. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania TANZIA Habib Mohammed Ali, Mwakilishi wa Jimbo la Mtambwe Kisiwani Pemba(ACT Wazalendo), afariki Dunia

    Habib Mohammed Ali, Mwakilishi wa Jimbo la Mtambwe, Mkoa wa Kaskazini Pemba amefariki Dunia wakati akiendelea na matibabu katika Hospitali ya SAIFEE Jijini Dar es Salaam. Katibu wa Habari, Uenezi, Mawasiliano na Umma wa Chama cha ACT-Wazalendo, Salim Bimani amesema taarifa za mazishi zitatolewa...
  3. J

    JamiiForums Tanzania Lema aseme ukweli alipataje Ukimbizi Canada vinginevyo Zitto Kabwe ataaminika kuwa alinunuliwa

    Jana Rais wa Zanzibar Dkt. Mwinyi ameongea jambo zito sana kuhusu ACT Wazalendo, kwamba ni wapigaji tu walioifilisi Bandari. Nategemea Godbless Lema atafafanua namna alivyopata Ukimbizi. Wednesday, Ubarikiwe sana!
  4. Idugunde

    JamiiForums Tanzania Mnakomaa kwa kelele kibao kwa kiofisi kama hiki, jengeni jengo la maana kama wenzenu ACT Wazalendo

    Kelele kibao kwa kiofisi kama hiki?
  5. J

    JamiiForums Tanzania ACT Wazalendo wataka Zanzibar ipewe mamlaka kamili

    Makamu wa kwanza wa Rais wa Zanzibar Masoud Othman amesema Chama chake cha ACT Wazalendo kinataka Muungano utakaoitambua Zanzibar yenye Mamlaka kamili Masoud amesema hayo kwenye mkutano wa Chama chake huko Nungwi Chanzo: ITV habari
  6. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Zitto Kabwe autaka Urais

    KIONGOZI wa Chama cha ACT Wazalendo, Zitto Kabwe amesema dhamira yake kubwa ya kuwa kwenye ulingo wa siasa ni kuwa Rais wa Tanzania atakayeibadilisha nchi pale ilipo na kupiga hatua kubwa kimaendeleo. Zitto alitoa kauli hiyo jana Dar es Salaam alipohojiwa katika kipindi cha Super Breakfast...
  7. Q

    JamiiForums Tanzania Raia Mwema: Safari ya Halima Mdee na wenzake kuelekea ACT Wazalendo yaiva

    Gazeti la Raia Mwema linaandika, aliyekuwa mwanachama wa Chadema na Mwenyekiti wa BAWACHA na wenzake 18 wanatarajia kujiunga na ACT Wazalendo muda wowote kuanzaia sasa na watazunguka Tanzania nzima kukinadi. Yeye asema, Kwa hiyo tukitambua jambo jema linalofanywa na wenzetu, ni ‘kuinyatia’...
  8. JF Member

    JamiiForums Tanzania ACT Wazalendo na Sekretarieti yake hawajui walifanyalo

    ACT wanaishi katika mkumbo mkubwa sana na wala hawatafika popote kwa maana hawana dila za mbele badala yake wanaangalia nyuma. Kitendo cha ACT Wazalendo kumruhusu kiongozi wake kupambana na marehemu kwenye ziara zake za mikoa minne kwa kisingizio cha kuing'oa CCM hakiwezi kufanikiwa. Hakuna...
  9. USSR

    JamiiForums Tanzania Je, maridhiano ni CCM na CHADEMA au CCM na ACT Wazalendo?

    Vita ya kugombea maridhiano imekuwa kubwa sana hapa Tanzania as if wananchi wanataka hayo maridhiano zaidi ya chakula. Baada ya mbowe kufoka kule mwanza kwamba wao ndio vinara wa kupigania uhuru wa mikutano chini ya maridhiano alipoitwa Ikulu na Rais Samia jana ACT Wazalendo nao wameibuka na...
  10. USSR

    JamiiForums Tanzania Pongezi za Halima Mdee, Zitto na ACT Wazalendo, namuona Mdee aliibukia ACT 2025

    Bado wanauswahiba na zito na bado Halima Mdee ananguvu kisiasa hasa kwa upande wa kina mama hapa nchini hususani Kawe. Yeye na kundi lake wakiibukia wazalendo na wakamomaa wanaweza kuwa chama chenye nguvu zaidi hapa Tanzania maana huyu atahama na Bulaya,matiko na wengine wengi, CHADEMA wanalo...
  11. J

    JamiiForums Tanzania Zitto Kabwe: Katika ndege 12 alizonunua Hayati Magufuli, ndege 6 hazifanyi kazi, ziko grounded, zina kutu, ingawa tuliambiwa ni mpya

    Zitto ametoa tuhuma nyingi dhidi ya Hayati Magufuli na utawala wake. Mojawapo ni hiyo ya ndege 6 alizonunua Hayati Magufuli kuwa grounded wakati tuliambiwa ni ndege mpya. Nasubiri kusikia kama Serikali au ATCL watakanusha tuhuma hizi. Majibu ya ATCL, soma ATCL: Ndege mbili zina shida ya...
  12. M

    JamiiForums Tanzania Baada ya chama cha ACT Wazalendo kuamua kuwa chawa wa Samia kimepoteza mvuto kwa wananchi

    Baada ya Ujio wa Samia Suluhu Hassan kuwa rais wa Tanzania, kiongozi mkuu wa ACT wazalendo ndugu Zitto Kabwe akautangazia umma kuwa tusimtegemee kuikosoa serikali ya Samia kama tulivyozoea kumuona akikosoa serikali zilizopita(Hasa serikali ya Magufuli). Na kweli ndugu Zitto ameacha kabisa...
  13. A

    JamiiForums Tanzania Anayeielewa ACT Wazalendo naomba anielezee

    Hiki chama hakieleweki kinataka nini na kinapigania nini. Kimekaa kiunjanja unjanja tu. Kimekaa kitabaka (Udini). Mikutano yake imekaa kijanja janja tu. Zitto kiongozi wao mwandamizi haeleweki anapigania nini. Chama hakina sera kabisa. Eti hiki chama nacho kinataka madaraka ya kuongoza...
  14. BARD AI

    JamiiForums Tanzania ACT Wazalendo kuzindua Mikutano ya Hadhara Februari 19

    Siku moja baada ya CHADEMA kuzindua mikutano ya hadhara jijini Mwanza, Chama cha ACT Wazalendo nacho kimetangaza kuanza mikutano yake Februari 19, 2023 jijini Dar es Salaam. Akisoma maamizio ya kamati kuu ya chama hicho iliyoketi jana Dar es Salaam, katibu mkuu wa ACT Wazalendo, Ado Shaibu...
  15. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania ACT Wazalendo yashinda kesi dhidi ya CUF kuhusu mgogoro wa majengo

    Chama cha ACT Wazalendo kimeshinda kesi dhidi ya CUF visiwani Zanzibar. Ni kesi iliyohusu madai ya CUF kuwa baadhi ya majengo yanayotumiwa na ACT Wazalendo ni mali ya CUF. Mahakama Kuu yaweka bayana kuwa CUF haina ushahidi wa nyaraka wa kuonesha wanayamiliki.
  16. M

    JamiiForums Tanzania Picha: Kiongozi wa ACT Wazalendo akijifanya mwema kwa raia kumbe ni mchumia tumbo tu

    Anatafuta kick
  17. J

    JamiiForums Tanzania Wanachofanya ACT Wazalendo ni uthibitisho kuwa huwezi kupata Tume Huru ya Uchaguzi Bila kuwa na Katiba Mpya!

    Msimamo wa Zitto Kabwe na ACT Wazalendo ni kuanza na Mchakato wa Tume Huru ya Uchaguzi halafu Katiba Mpya ipatikane baadae Cha ajabu jana Zitto Kabwe kakimbilia Tunduru nchini Tanganyika na kuwataka Wananchi waamue kama ACT iendelee na SUK au ijitoe Sasa unajiuliza SUK na Tunduru wapi na wapi...
  18. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Zitto: Vikao na Wanachama wataamua tubaki au tutoke SUK

    Kauli ya Zitto imetokana Rais Mwinyi kumteua Mkurugenzi wa Tume ya Uchaguzi Zanzibar (ZEC), ambapo chama hicho kinapinga kwa madai alihsika kuvuruga Uchaguzi Mkuu wa mwaka 2020. Kiongozi huyo wa ACT Wazalendo, amesema kabla ya kuingia Serikali ya Umoja wa Kitaifa (SUK) walienda kwa wanachama na...
  19. Mganguzi

    JamiiForums Tanzania ACT Wazalendo kuleni kilichopo mezani, CCM haiwezi kuwatengenezea njia ya ninyi kushika Dola!

    Nasikia huko Zanzibar kimeumana! Sijajua Othman Masoud na Rais Mwinyi kama wanatazamana usoni kwa sasa. Masoud anaonekana ni mtata sana hata akiwa ofisini sijajua anamshauri vipi Rais Mwinyi. Kilichopo kwa ACT wamshukuru Maalim Seif kwa heshima yake suk imekuwepo. Hiyo haimaanishi CCM...
  20. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Msafara wa Zitto Kabwe wazuiwa Tunduru

    Jeshi la Polisi Wilaya Tunduru limezuia msafara wa Kiongozi wa Chama cha ACT Wazalendo, Zitto Kabwe likidai hawana taarifa ya ziara hiyo. Kiongozi huyo wa upinzani ambaye yuko kwenye ziara ya ujenzi wa chama mikoa ya Kusini msafara wake ulizuiwa ukitokea kata ya Namwinyu kwenda Kijiji cha...
Back
Top Bottom