Alliance for Change and Transparency (ACT) (Swahili: Chama cha Wazalendo, lit. 'Party of Patriots') is a political party in Tanzania. It received its permanent registration in May 2014.
Utasikia vijana wa CHADEMA wapo Twitter kulalama bila kutumia political sense of morals.
Utasikia wanakomalia mambo ya ajabuajabu tu bila hata kujali juu ya mambo ambayo yatakipaisha chama chetu.
Harakati za kisiasa bila common sense.
Ona wenzetu.
👇
Salaam Wakuu,
Zitto Kabwe na Chama chake cha ACT WAZALENDO, kimeshindwa kujitofautisha na CCM baadaya Ufisadi mkubwa kutokea kwenye Wizara Wanazoongoza.
Serikali ya Umoja wa Kitaifa (SUK), waligawana Madaraka na Vyeo huko Zanzibar.
Mfano: Nassoro Mazrui ambaye ni Naibu Katibu mkuu wa Chama...
Uhusiano wa utawala na chama tawala kwa upande mmoja na vyama vya upinzani kwa upande mwingne, haukuwa wa kuridhisha ukiringanisha na hali ilivyo hivi sasa chini ya Mhe. Rais Samia Suluhu Hassan.
Haikuwa ni hali ya kawaida kuona viongozi wa juu wa kisiasa wenye itikadi tofauti, kuketi pamoja...
Wananchi hawana mbadala wa kuipachikia CCM ila ukweli ni kuwa hawaitaki tena. Sio wazee wala vijana.
Tozo, ufisadi upendeleo umekithiri ndani ya CCM huku raia wakiwa hoi kimaisha.
ACT Wazalendo ni mamluki waganga njaa. Hawapo kwaa ajili ya kumsaidia mwananchi aondokane na utawala usiofaa wa...
Kiukweli huku Bara hawana vichwa kabisa na hata huko Tanzania Visiwani wanatembelea nyota ya maalim Seif (RIP). Nani anawapa nguvu ya kufurukuta hawa ACT Wazalendo?
Baada ya Kikao cha Kamati Kuu kilichoketi jana katika Hoteli ya Golden Tulip, Zanzibar, Timu ya ACT Wazalendo ipo tayari kuwasilisha Maoni ya Chama mbele ya Kikosi Kazi cha Mh. Rais Kuhusu Demokrasia.
Mikononi ni chapisho la Maazimio ya Kamati Kuu Kuhusu Maoni ya Chama Kwa Kikosi Kazi.
Timu...
Huu ndio utabiri wangu kwa wale wabunge waliovuliwa uanachama na Baraza Kuu la CHADEMA.
Hata hivyo, Mama kupitia washauri wake, anaweza kuwapa baadhi yao nafaai za uteuzi serikalini hasa Mdee wakiamini kufanya hivyo ni kuwakomoa CHADEMA wakati ni kuwamaliza kabisa kisiasa wanawake hawa.
Muda...
VIONGOZI ACT WAZALENDO TUNDURU WASHINDA KESI:
Viongozi wa ACT Wazalendo kutoka Mkoa wa Kichama wa Selous (Wenye Majimbo ya Tunduru Kusini, Tunduru Kaskazini na Namtumbo) waliokuwa na kesi ya kushambulia na kujeruhi katika Mahakama ya Wilaya Tunduru wameachiwa huru baada ya kukutwa hawana kesi...
Nimefuatilia Ziara zao hao Act Wazalendo hawana sapoti kabisa. Hata vijiwe vyote muhimu hapa Mwanza wanamponda na kumuona kibaraka wa mafisadi aliyajaa unafiki. Watu wa kanda ya ziwa hawamtaki Zitto kabisa.
Angalia hata ziara zao hazina mvuto Zitto anapoteza Muda kabisa.
👇
TAARIFA YA MIAKA 58 YA MUUNGANO WA TANGANYIKA NA ZANZIBAR.
1. UTANGULIZI
Ni historia ya kupigiwa mfano kwa Taifa letu kwamba tunaadhimisha miaka 58 ya Muungano wetu. ambapo nchi mbili huru, Jamhuri ya Tanganyika na Jamhuri ya Watu wa Zanzibar, ziliungana rasmi siku ya tarehe 26-04-1964...
Mwaka 2019 bank ya dunia ilitangaza Tanzania kuingia uchumi wa kati miaka mitano mapema zaidi kinyume na ilivyokuwa imetabiriwa kwamba itachukua miaka kumi.
Je, kuwahi huku kuingia uchumi wa kati ilikuwa ni matunda ya nidhamu ya uoga? Kama nidhamu ya uoga ina matunda kiasi hiki kwa nini...
Kipindi cha sakata la Membe,Makamba na Mzee Kinana kuhojiwa na kamati kuu Mh Membe pekee ndiye aliyegoma kuomba radhi kwa chama na viongozi kwa madai kuwa hakuna kosa alilofanya na alisema yuko radhi kufukuzwa lakini kamwe hatoomba msamha!
Na kweli Membe alifukuzwa chamani na kukimbilia ACT...
Kwa mfano Kanisa Katoliki wao Mkuu wa Kanisa ni Papa na kila Dayosisi inajitegemea chini ya askofu wake aliyeteuliwa na Papa.
Ila kuna Rais wa baraza la maaskofu (TEC) yeye hutokana miongoni mwa maaskofu lakini hana nguvu kwenye shughuli za kila Dayosisi.
Anglican wao Askofu mkuu anaingia hadi...
Tatizo katika nchi hii Kuna kundi linajiona Lina hatimiliki ya upinzani kwenye siasa za Tanzania, wanawaona wapinzani wote ni mamluki wa watawala isipokuwa wao tu ni wazi kabisa kwa sasa hivi kwamba CHADEMA wameshindwa kufanya siasa bila kumtaja mwamba Zitto.
Tokea miaka ya 2009 Chadema...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.