Abiria (kutoka neno la Kiarabu عبر ˁabara kwa maana ya kuabiri, kuvuka eneo la maji) ni watu wanaosafiri kwa kupanda meli, ndege, gari, basi, pikipiki au treni.
Abiria hutumia vyombo hivyo vya usafiri kama njia ni mbali, au kama hawana usafiri wa binafsi au kama wanapendelea matumizi ya usafiri wa umma kuliko usafiri wao binafsi.
Kwa kawaida wakipanda wanalipia kiasi fulani kama nauli ili mwenye chombo hicho aweze kuwalipa dereva na wahudumu wengine pamoja na gharama za chombo chenyewe na matumizi yake.
TAARIFA KWA UMMA
UFAFANUZI WA USHURU WA BAJAJI KATIKA KITUO CHA MABASI CHA MAGUFULI
Halmashauri ya Manispaa ya Ubungo inapenda kutoa ufafanuzi kwa umma kwamba viwango vya ushuru vinavyotozwa kwa bajaji katika Kituo cha Mabasi cha Magufuli vinatofautiana kulingana na aina ya huduma inayofanyika...
Abiria katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Jomo Kenyatta (JKIA) wamejikuta wakisubiri kwa saa kadhaa huku safari za ndege zikichelewa kutokana na go-slow ya wafanyakazi wa anga.
Video inayosambaa mitandaoni inaonyesha abiria wakiwa na hasira na kuchanganyikiwa, huku baadhi yao wakidai...
TAARIFA KWA UMMA
MABADILIKO YA MUDA KATIKA UENDESHAJI WA TRENI ZA ABIRIA 26 AGOSTI 2026
Kutokana na changamoto za kiutendaji zinazotokana na kufungwa kwa muda kwa njia mbili za reli katika sehemu ya Kapwila-Msanza nchini Zambia na sehemu ya Mwakanga-Mzenga nchini Tanzania, mabadiliko yafuatayo...
Ofisi za Kampuni ya Mabasi ya Machame Investment Arusha waweka huduma ya choo lakini ni ya kulipia hata kwa abiria, unapaswa kulipia Shilingi 300 hata kama una tiketi.
Jambo hili lipo pia katika Ofisi ya Machame Dodoma njiapanda ya Area c, kuna choo ambacho ni cha kulipia nafikiri siyo kitu...
Uamzi wa Chalamila wa juhamishia mabasi yote Stand ya Magufuli ni wa Ovyo mno
Kwa geografia na population ya Dar stand ya Magufuli ni ndogo mno na utazidiwa vibaya mno
1. Mtu atoke Vikundu akapande gari la Mtwara Mbezi Magufuli? Kwanini asipande gari Mbagala
2 Mtu anaenda Tanga, Moshi...
Ongezeko la gharama za usafiri licha ya mafuta kushuka bei limeendelea kuwa changamoto kwa baadhi ya wananchi wanaotumia usafiri wa umma katika shughuli zao za kila siku, huku abiria wakieleza kuwa nauli kubwa inaongeza mzigo wa gharama za maisha.
Baadhi ya abiria wanasema wanalazimika kutumia...
Halmashauri ya Jiji la Dar es Salaam imetoa ufafanuzi kuhusu uendeshaji, utaratibu wa maegesho, pamoja na utozaji wa faini kwa vyombo vya usafiri wa umma, hasa pikipiki za miguu miwili (bodaboda) na miguu mitatu (bajaji), ili kuondoa taharuki na usumbufu kwa madereva pamoja na wananchi.
Akijibu...
Nimefika hapa stendi makondakta wamenivaa kila mmoja anataka nipande gari lake, nikienda huku huyu anazuia njia iki nielekee kwake nikigeuia huyu ananivuta, nimechukizwa na sana watu hawa wamefanya safari yangu kuwa ngumu.
Mbaya zaidi hadi bajaji naona wanagombea watu kifupi ni maumivu tu kwa...
Chalamila anasema, ili kupunguza msongamano wa magari mjini, mabasi yaishie Magufuli stand, halafu wawe na shuttle za kupeleka watu mjini. Hivi mnamwelewa huyu bwana? Basi moja la abiria 45 likifika Magufuli stand litahitaji kwa wastani shuttle mbili ili kufikisha watu mjini. Sasa basi moja kwa...
Nikiwakilisha Wakazi wenzangu wa Bunju Sokoni, naomba kuwasilisha kero kuhusu huduma ya usafiri wa daladala zinazofanya safari za Morocco hadi Bunju.
Tatizo kubwa linajitokeza hasa nyakati za asubuhi ambapo daladala hizo zinapofika Bunju Sokoni, baadhi ya madereva na makonda huchukua risiti...
Sio ubinadamu wa kawaida unakaa siti ya mbele mfano kutoka Dsm to mwz Kila anachofanya dereva unakiona speed kali na overtakes za kujitoa mhanga unaangalia tu na bado upo kawaida tu. Na wakati wa kurudi unawahi tena siti ya mbele.
Brother unaweza kuvaa mabomu na kujilipua wewe ni gaidi.
Ni Jambo la kushangaza kwamba licha ya maendeleo ya teknolojia na uwepo wa fibers bado abiria wa SGR wanakosa mtandao ndani ya train wakiwa safarini.
Hili ni Jambo la kushangaza na linapaswa kufanyiwa kazi Kwa haraka Sana. Yaani watu tushindwe Fanya biashara zetu kisa tupo kwenye SGR hapana...
Meli ya MV LIEMBA, inayotoa huduma ya usafirishaji wa abiria na mizigo katika Ziwa Tanganyika, inatarajiwa kurejea katika huduma hivi karibuni baada ya kukamilika kwa ukarabati mkubwa ulioanza Julai 2024.
Ukarabati huo umehusisha mabadiliko makubwa ya mifumo na miundombinu ya meli, ikiwemo...
Usafiri wa njia ya SGR unapaswa kusajihishwa na shughuli za kiuchumi za wananchi kwenye vituo inakopitia.
Hali ilivyo sasa abiria hawezi kubeba hata kamzigo ka kilo 20 za mchele, nyanya, mboga wala chochote kinachozalishwa kwenye maeneo inakopita SGR. Kifupi kwenye vituo vya SGR hakuna kuuza na...
Kina huu utaratibu nimeuona kwenye magari ya huku kusini sijui kwingine nako ni hivyo hivyo au la!? Yaani siku hizi gari ina vituo bubu (visivyo rasmi) njiani.
Hatukatai vituo hivyo lakini kinachokera ni kwamba vituo hivyo vinamcontrol kila mtu anayehusika na gari kiasi kwamba nyinyi abiria...
Salam wakuu.
Tuko Mbezi Magufuli bus teminal, Abiria wametelekezwa na wahudumu wa basi la Al-said Dar-Morogoro,
Tumeambiwa gari inakuja saa nane mchana, mpaka mda huu saa kumi na mbili jioni gari hakuna,
Wahudumu waliokata tiketi hawatoi majibu ya kueleweka. Na wote wameondoka hapa hatujui...
Sioni haja ya kila kampuni ya mabasi iwe na kituo chake cha kushushia abiria, inatosha wakiishia kituo kikubwa cha mabasi Mbezi Magufuli itasaidia kupunguza msongamano ktk mji na pia stendi ya Magufuli haitopoteza mapato na wafanyabishara watanufaika.
Pia soma ~ Wamiliki wa mabasi wapewa wiki...
ATCL YAZINDUA SAFARI ZA MWANZA - DODOMA, ABIRIA 1300 KWA SIKU
Shirika la Ndege Tanzania(ATCL), limezindua safari zake za utoaji huduma kati ya Mwanza -Dodoma ikiwa ni kurahisisha safari kwa watumiaji kwa njia ya anga.
Safari hizo zilianza Juni 5,2026, ikitajwa kusaidia wafanyabiashara na...
Wanannchi tunaoishi Moshono, Arusha, tunakabiliwa na changamoto kubwa ya usafiri, hususan nyakati za asubuhi tunapoelekea makazini.
Kwa muda mrefu, bajaji zilikuwa msaada mkubwa katika kuturahisishia usafiri, lakini kwa sasa zimezuiwa kuingia na kufika Moshono kutokana na vikwazo vinavyowekwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.