abiria

Abiria (kutoka neno la Kiarabu عبر ˁabara kwa maana ya kuabiri, kuvuka eneo la maji) ni watu wanaosafiri kwa kupanda meli, ndege, gari, basi, pikipiki au treni.

Abiria hutumia vyombo hivyo vya usafiri kama njia ni mbali, au kama hawana usafiri wa binafsi au kama wanapendelea matumizi ya usafiri wa umma kuliko usafiri wao binafsi.

Kwa kawaida wakipanda wanalipia kiasi fulani kama nauli ili mwenye chombo hicho aweze kuwalipa dereva na wahudumu wengine pamoja na gharama za chombo chenyewe na matumizi yake.
  1. Mafyangula

    JamiiForums Tanzania Moto ulivyozua hataruki kwa abiria daladala ya Gongolamboto Masaki

    Abiria ambao walikuwa kwenye usafiri wa daladala Eicher T 798 EDZ walijikuta katika taharuki baada ya gari hilo ambayo walikuwa wanasafiria kutoka Masaki kwenda Gongolamboto kuwaka moto kwa chini. Moto huyo uligundulika na Wananchi ambao wapo nje ya gari hiyo na kusaidia gari hiyo kusimama na...
  2. The Watchman

    JamiiForums Tanzania Abiria warukia madirishani baada ya basi la mwendokasi kukamatwa na polisi kisa kuzidisha abiria

    Abiria wanaotumia usafiri wa Mwendokasi wameshuka kupitia madirishani katika Kituo cha Magomeni Mwembechai, jijini Dar es Salaam, baada ya basi walilokuwa wakisafiria kusimamishwa na polisi kwa madai ya kuzidisha abiria kupita kiasi. Tukio hilo lilitokea leo asubuhi, majira ya 08:25, ambapo...
  3. A

    JamiiForums Tanzania KERO Abiria wenye Tiketi nao wanatoza ushuru wa kuingia Stendi ya NaneNane Dodoma

    Nimefika Stendi ya Nanenane Dodoma, watu wote wanakatishwa tiketi ya ushuru wa kuingia stendi hata kama tayari unatiketi ya safari. Hii ni sawa kweli?
  4. and 998 others

    JamiiForums Tanzania SGR anzisheni kodi kwa abiria na Wasindikizaji

    Katika kuongeza mapato nchini na ukizingatia SGR inajaza siku 5 kabla ya safari. Inafaa sasa SGR kwa kushirikiana na TRA waaanzishe Kodi kwa abiria na Wasindikizaji wote angalau 20,000/= kila trip.
  5. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania Tunduma: Watu watano wafariki katika ajali baada ya Hiace ya abiria kuangukiwa na Lori, leo Agosti 27, 2025

    Kamanda wa Polisi Mkoa, Augustino Senga amesema Watu 5 wamefariki Dunia na wengine wanne kujeruhiwa baada ya basi dogo la abiria aina ya Hiace yenye Namba za usajili T476 DHL lililokuwa likitokea eneo la Chipaka lililopo Halmashauri ya Mji wa Tunduma Wilayani Momba Mkoani Songwe, kuelekea Mpemba...
  6. DuaZaMama

    JamiiForums Tanzania Abiria wanene Kulipishwa siti 2 badala ya moja

    Shirika la Ndege la Southwest Airlines Nchini Marekani, limetangaza sera mpya ambayo itawaathiri moja kwa moja Wasafiri wenye miili mikubwa ambao kuanzia Januari 27 2026 watalazimika kulipia siti mbili badala ya moja iwapo miili yao haitoenea vizuri ndani ya siti moja. Kabla ya sera hii mpya...
  7. Mkalukungone Mwamba

    JamiiForums Tanzania Nauli za ndege kupanda baada ya Tanzania kuanzisha ada ya abiria ya dola 90 kwa wasafiri wa kimataifa

    Nauli za usafiri wa anga wa kimataifa huenda zikapanda kwa dola 45 kwa tiketi ya safari ya njia moja na dola 90 kwa safari ya kwenda na kurudi endapo ada mpya itaanza kutekelezwa kama ilivyopangwa. Serikali inapanga kuanzisha ada ya urahisishaji wa abiria kwa wasafiri wote wa kimataifa kuanzia...
  8. Samia atosha tukutane2030

    JamiiForums Tanzania Ninaungana na mwana JamiiForums aliyesema anayeendesha bodaboda na abiria wake wote hawana akili timamu

    Mimi naishi Mvuti, ni mbali kidogo mpaka kufika mjini ila barabara yote ni mkeka mpaka mjini ninakofanyia kazi. Barabarani nimeona sana damu za bodaboda na abiria wao. Ukiona watu wamezunguka na mtu kafunikwa mtandio tayari aidha bodaboda au abiria wake hana uhai. Siku moja niliona utumbo wa...
  9. Doto12

    JamiiForums Tanzania Unaendesha gari Lina abiria 20, kituo cha kwanza wakashuka abiria 10, kituo cha pili wakashuka abiria watano. Nitajie umri wa Dereva

    Naomba jibu ukiweza nitakupa like kama zote
  10. H

    JamiiForums Tanzania LATRA Wanaruhusu kubadilisha lori kuwa basi la abiria?

    Mwenye uelewa na haya mambo, nakumbuka zamani haikuwa issue kubadili lori na kuwa basi la abiria kwa kuunda na kuvisha bodi. Je hili linawezekana leo? manake unaweza kubadilisha alafu ukaambiwa haijakidhi viwango. Mwenye taarifa sahihi weka mezani. Asante
  11. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania KERO Madereva wa gari za Abiria Mbeya - Kyela wadai Maafisa wa LATRA wamekuwa kero kubwa kwao

    Usafiri wa gari za kutoka Jiji la Mbeya kuelekea Wilayani Kyela uliyumba kwa saa kadhaa jana Agosti 7, 2025 baada ya madereva wa magari ya abiria kugoma, wakilalamikia kero, usumbufu na faini kubwa zisizoendana na uhalisia na hali ya kipato chao kutoka kwa Mamlaka ya Udhibiti Usafiri Ardhini...
  12. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania VIDEO: Yadaiwa abiria alizimia ndani ya Mwendokasi, Gerezani kutokana na msongamano mkubwa

    Yadaiwa kuwa abiria mmoja alizimia ndani ya basi la mwendokasi eneo la Gerezani kutokana na msongamano mkubwa.
  13. MK254

    JamiiForums Tanzania Ndege yatua kwa dharula baada ya mtu mmoja kusema 'Allahu Akbar'

    Siku hizi ukitaja jina la Allah sehemu yenye watu lazima ukimbiwe, aisei hizi nyakati ni mbovu sana na zilitabiriwa kwenye Biblia na tunazishudia, tutaishi kwa hofu sana. Jamaa amesababisha kizaazaa kwenye ndege baada ya kubweka Allah Akbar!!! Ikabidi ndege itue. ------------- Ndege ya easyJet...
  14. BigTall

    JamiiForums Tanzania KERO Responded Afande Sele: Utaratibu wa kutoka Kituo cha SGR - Morogoro haufai, unachelewesha Watu na unachosha abiria

    Huu ni Ujumbe wa Msanii wa Bongo Fleva, Afande Sele kuhusu huduma ya Kituo cha Treni ya Mwendokasi (SGR) Mkoani Morogoro. Afande ameandika "Time is Money. 🔨Muda ni Pesa.. Muda ni Mali.. Muda ni uchumi✊🏽Jamii ambayo haiwezi kuheshimu muda,isahau kupata maendeleo yoyote ya kijamii ukitoa...
  15. The Watchman

    JamiiForums Tanzania Indonesia: Meli ya abiria yashika moto katikati ya safari

    Watu ambao idadi yao haijafahamika wanahofiwa kufariki dunia baada ya meli ya abiria ya KM Barcelona VA, kuwaka moto karibu na kisiwa cha Talise nchini Indonesia leo Julai 20,2025. Video hii inaonesha baadhi ya Abiria wakiendelea kuruka kutoka kwenye meli inayoungua na kurukia kwenye maji ili...
  16. ESCORT 1

    JamiiForums Tanzania Katika hali isiyo ya kawaida ameonekana akipanda ndege ya abiria kurejea kwao dharura

    Naangalia movie inaitwa “delta force” ni tamu sana ngoja tuone kama atapelekwa wapi huyu abiria!! Tuone kama akina chuck norris watawahi kumuokoa… Ni movie ya mwaka 1986 ila haichoshi…
  17. Manyanza

    JamiiForums Tanzania Joseph Philippe Lemercier: Abiria pekee mwenye asili ya Afrika aliyekuwa ndani ya meli ya Titanic

    Historia ya Joseph Philippe Lemercier Laroche (1886–1912) Joseph Philippe Lemercier Laroche alikuwa mhandisi kutoka Haiti, anayejulikana sana kwa kuwa mtu pekee mwenye asili ya Kiafrika aliyesafiri kwenye meli ya kifahari RMS Titanic ambayo ilizama Aprili 1912. 🧑‍🎓 Maisha ya Awali Joseph...
  18. shamzugi

    JamiiForums Tanzania Mamlaka za usimamizi wa usafiri wa abiria kutoka Moshi mjini kwenda wilaya jirani mko wapi abiria wananyanyasika

    Habari za muda huu wakuu?? Jumamosi ya tarehe 5/7/2025 nilisafiri kuelekea mkoa wa Kilimanjaro, wilaya ya Hai mjini wa Bomang'ombe. Nilifika Moshi mjini majira ya saa Moja usiku. Pale stendi ndogo nilikuta magari machache ya abiria yanayoelekea maeneo mbalimbali ya jirani. Gari za kuelekea...
  19. Zamaulid

    JamiiForums Tanzania Bodaboda anaswa akiendesha basi la abiria

    Polisi mkoani Morogoro wamemnasa dereva mwenye leseni ya kuendesha bodaboda akiendesha basi la abiria!!!
  20. Mkalukungone Mwamba

    JamiiForums Tanzania Abiria amchongea dereva kwa polisi, basi zima lakamatwa kwa kuzidisha abiria

    Jeshi la Polisi kupitia Makao Makuu ya Kikosi cha Usalama barabarani Tanzania limewaonya Madereva na Makondakta wa vyombo vya moto mikoa yote nchini kuacha kuzidisha abiria wanapokuwa safarini na kuzingatia kanuni za Mamlaka ya Udhibiti usafiri Ardhini (LATRA) kwani jeshi halitosita kuchukua...
Back
Top Bottom