Abiria (kutoka neno la Kiarabu عبر ˁabara kwa maana ya kuabiri, kuvuka eneo la maji) ni watu wanaosafiri kwa kupanda meli, ndege, gari, basi, pikipiki au treni.
Abiria hutumia vyombo hivyo vya usafiri kama njia ni mbali, au kama hawana usafiri wa binafsi au kama wanapendelea matumizi ya usafiri wa umma kuliko usafiri wao binafsi.
Kwa kawaida wakipanda wanalipia kiasi fulani kama nauli ili mwenye chombo hicho aweze kuwalipa dereva na wahudumu wengine pamoja na gharama za chombo chenyewe na matumizi yake.
Shirika la Ndege la Southwest Airlines Nchini Marekani, limetangaza sera mpya ambayo itawaathiri moja kwa moja Wasafiri wenye miili mikubwa ambao kuanzia Januari 27 2026 watalazimika kulipia siti mbili badala ya moja iwapo miili yao haitoenea vizuri ndani ya siti moja.
Kabla ya sera hii mpya...
Nauli za usafiri wa anga wa kimataifa huenda zikapanda kwa dola 45 kwa tiketi ya safari ya njia moja na dola 90 kwa safari ya kwenda na kurudi endapo ada mpya itaanza kutekelezwa kama ilivyopangwa.
Serikali inapanga kuanzisha ada ya urahisishaji wa abiria kwa wasafiri wote wa kimataifa kuanzia...
Mimi naishi Mvuti, ni mbali kidogo mpaka kufika mjini ila barabara yote ni mkeka mpaka mjini ninakofanyia kazi.
Barabarani nimeona sana damu za bodaboda na abiria wao.
Ukiona watu wamezunguka na mtu kafunikwa mtandio tayari aidha bodaboda au abiria wake hana uhai.
Siku moja niliona utumbo wa...
Mwenye uelewa na haya mambo, nakumbuka zamani haikuwa issue kubadili lori na kuwa basi la abiria kwa kuunda na kuvisha bodi.
Je hili linawezekana leo? manake unaweza kubadilisha alafu ukaambiwa haijakidhi viwango. Mwenye taarifa sahihi weka mezani. Asante
Usafiri wa gari za kutoka Jiji la Mbeya kuelekea Wilayani Kyela uliyumba kwa saa kadhaa jana Agosti 7, 2025 baada ya madereva wa magari ya abiria kugoma, wakilalamikia kero, usumbufu na faini kubwa zisizoendana na uhalisia na hali ya kipato chao kutoka kwa Mamlaka ya Udhibiti Usafiri Ardhini...
Siku hizi ukitaja jina la Allah sehemu yenye watu lazima ukimbiwe, aisei hizi nyakati ni mbovu sana na zilitabiriwa kwenye Biblia na tunazishudia, tutaishi kwa hofu sana.
Jamaa amesababisha kizaazaa kwenye ndege baada ya kubweka Allah Akbar!!!
Ikabidi ndege itue.
-------------
Ndege ya easyJet...
Huu ni Ujumbe wa Msanii wa Bongo Fleva, Afande Sele kuhusu huduma ya Kituo cha Treni ya Mwendokasi (SGR) Mkoani Morogoro.
Afande ameandika "Time is Money. 🔨Muda ni Pesa.. Muda ni Mali.. Muda ni uchumi✊🏽Jamii ambayo haiwezi kuheshimu muda,isahau kupata maendeleo yoyote ya kijamii ukitoa...
Watu ambao idadi yao haijafahamika wanahofiwa kufariki dunia baada ya meli ya abiria ya KM Barcelona VA, kuwaka moto karibu na kisiwa cha Talise nchini Indonesia leo Julai 20,2025.
Video hii inaonesha baadhi ya Abiria wakiendelea kuruka kutoka kwenye meli inayoungua na kurukia kwenye maji ili...
Naangalia movie inaitwa “delta force” ni tamu sana ngoja tuone kama atapelekwa wapi huyu abiria!!
Tuone kama akina chuck norris watawahi kumuokoa…
Ni movie ya mwaka 1986 ila haichoshi…
Historia ya Joseph Philippe Lemercier Laroche (1886–1912)
Joseph Philippe Lemercier Laroche alikuwa mhandisi kutoka Haiti, anayejulikana sana kwa kuwa mtu pekee mwenye asili ya Kiafrika aliyesafiri kwenye meli ya kifahari RMS Titanic ambayo ilizama Aprili 1912.
🧑🎓 Maisha ya Awali
Joseph...
Habari za muda huu wakuu??
Jumamosi ya tarehe 5/7/2025 nilisafiri kuelekea mkoa wa Kilimanjaro, wilaya ya Hai mjini wa Bomang'ombe. Nilifika Moshi mjini majira ya saa Moja usiku.
Pale stendi ndogo nilikuta magari machache ya abiria yanayoelekea maeneo mbalimbali ya jirani. Gari za kuelekea...
Jeshi la Polisi kupitia Makao Makuu ya Kikosi cha Usalama barabarani Tanzania limewaonya Madereva na Makondakta wa vyombo vya moto mikoa yote nchini kuacha kuzidisha abiria wanapokuwa safarini na kuzingatia kanuni za Mamlaka ya Udhibiti usafiri Ardhini (LATRA) kwani jeshi halitosita kuchukua...
Nakumbuka Mkuu wa mkoa na waziri Mchengerwa alishawahi kulalamika uzembe wa kupangilia abiria sehemu ya kusubiri kuingia kwenye treni ya SGR
Inaonekana meneja wa SGR dodoma ana kiburi au uwezo mdogo
Treni imeshakaa.mkao wa.kuondoka, bado abiria wanazuiwa kuingia mpaka zinabaki dk 10 ndio...
Nilifika Babati kusubiri basi kwa ajili ya kuelekea mkoa fulani, wakati nipo pale nilihisi njaa, niliamua kutafuta sehemu mojawapo wanaopika pale hususan wanaokaanga chipsi ili nile.
Nilipokelewa vizuri na kuoneshwa sehemu ya kukaa, niliagiza chipsi, nikaletewa lakini zilikuwa za baridi sana...
Anonymous
Thread
abiria
afya
babati
chakula
chipsi
hatarini
huduma
mabasi
stendi
stendi ya mabasi
usafi
Kama nilivyoanza story yangu leo tarehe 17/06/2025 nimefikisha miaka miwili kabisa yakutumia usafiri wa mwendokasi( BRT ) kama usafiri wangu kwenda na kurudi kazini kila iitwapo leo.
Sasa basi nikaona ndani ya siku hii ya maadhimisho hayo nijaribu kuzungumzia yale...
Hakupanda ndege wala hakuwa abiria kwenye ndege.
Kuna video footage ina trend now inaonyesha angle nyingine kwenye eneo la tukio, inamuonesha jamaa akitembea calmly kutoka ulipo upande ndege ilipo lipukia huku akiongea na simu...
Kuna taarifa zinasema jamaa amekuwa arrested, atoe maelezo...
Nilidhani Msemaji wako (wa Serikali) Gerson Msigwa angekuwa busy kutueleza Watanzania kwanini EU wamezuia Ndege zako Unazozifaragua nazo kila Siku za ATCL kutua nchi zote za Ulaya kutokana na kutokuwa salama kabisa kwa Abiria na badala yake yuko busy kutishia Watanzania wanaoandika Mitandaoni NO...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.