๐—ฑ๐—ฒ๐—ฟ๐—ถ๐˜ƒ๐—ฒ๐—ฟ๐˜†

Pierre Derivery (4 November 1925 โ€“ 24 November 2013) was a French sprint canoer who competed from the early 1950s to the early 1960s. Competing in two Summer Olympics, he earned his best finish of tenth in the K-1 10000 m event at Helsinki in 1952.

View More On Wikipedia.org
  1. T

    JamiiForums Tanzania ๐‘๐€๐’๐Œ๐ˆ!! ๐——๐—ฎ๐—ต๐—ฎ๐—ป๐—ฒ ๐—•๐—ฒ๐—ถ๐—ฑ๐—ฎ atua salama ๐— ๐—ฎ๐—ฟ๐—ฒ๐—ธ๐—ฎ๐—ป๐—ถ kwa ajili ya ๐—ž๐—ผ๐—บ๐—ฏ๐—ฒ ๐—น๐—ฎ ๐——๐˜‚๐—ป๐—ถ๐—ฎ ๐—น๐—ฎ ๐—ฉ๐—ถ๐—น๐—ฎ๐—ฏ๐˜‚ 2025!

    โœˆ๏ธโšฝ Aliyekosolewa sana Tanzania kwa maamuzi yaliyozigharimu klabu kongwe nchini Tanzania Simba vs Yanga sasa amepata heshima ya dunia! Dahane Beida atua Marekani kwa ajili ya Kombe la Dunia la Vilabu 2025! Je, ni refa wa kontoversi au kipaji kisichoeleweka Afrika? ๐Ÿค” ๐——๐—ฎ๐—ต๐—ฎ๐—ป๐—ฒ ๐—•๐—ฒ๐—ถ๐—ฑ๐—ฎ ๐Ÿง‘๐Ÿฝโ€โš–๏ธ kutoka...
  2. Teknolojia ni Yetu sote

    JamiiForums Tanzania ๐—ก๐—ฐ๐—ต๐—ถ๐—ป๐—ถ ๐—œ๐—ฟ๐—ฒ๐—น๐—ฎ๐—ป๐—ฑ ๐˜„๐—ฎ๐—บ๐—ฒ๐—น๐—ฒ๐˜๐—ฎ ๐˜‚๐˜€๐—ฎ๐—ณ๐—ถ๐—ฟ๐—ถ ๐˜„๐—ฎ ๐—ป๐—ฑ๐—ฒ๐—ด๐—ฒ ๐˜‡๐—ถ๐˜€๐—ถ๐˜‡๐—ผ ๐—ป๐—ฎ ๐—ฆ๐—ถ๐˜๐—ถ ๐˜‡๐—ฎ ๐—ธ๐˜‚๐—ธ๐—ฎ๐—น๐—ถ๐—ฎ ๐˜‚๐—ป๐—ฎ๐˜€๐—ถ๐—บ๐—ฎ๐—บ๐—ฎ

    Hivi utajisikiaje ukiwa umepanda Ndege halafu unasimama kama kwenye mwendokasi freshi sio!! Shirika moja nchini Ireland linaitwa Rynair limeleta safari za ndege za gharama nafuu kwa kuweza kupunguza nauli za ndege na kuondoa viti kwenye baadhi ya safari zake. Mpango huu ni kuwezesha abiria...
  3. Sdebaseboy

    JamiiForums Tanzania Nina tafuta blower fan anayeuza tuongee

    ๐‡๐š๐›๐š๐ซ๐ข ๐ณ๐š ๐ก๐ฎ๐ฆ๐ฎ ๐‰๐Ÿ, ๐ง๐ข๐ง๐š๐ฌ๐ก๐ข๐๐š ๐ง๐š ๐ก๐ข๐ค๐ข ๐ค๐ข๐Ÿ๐š๐š ๐ก๐ข๐ฏ๐ฒ๐จ ๐ค๐š๐ฆ๐š ๐ค๐ฎ๐ง๐š ๐š๐ง๐š๐ฒ๐ž๐ฏ๐ข๐ฎ๐ณ๐š ๐ญ๐ฎ๐ฐ๐š๐ฌ๐ข๐ฅ๐ข๐š๐ง๐ž ๐ง๐š๐ก๐ข๐ญ๐š๐ฃ๐ข
  4. Teknolojia ni Yetu sote

    JamiiForums Tanzania M๐—ถ๐—ณ๐˜‚๐—บ๐—ผ ๐˜†๐—ฎ ๐—บ๐—ถ๐˜๐—ฎ๐—ป๐—ฑ๐—ฎ๐—ผ๐—ป๐—ถ ๐—ง๐—ฎ๐—ป๐˜‡๐—ฎ๐—ป๐—ถ๐—ฎ ๐—ถ๐—ธ๐—ผ ๐˜€๐—ฎ๐—น๐—ฎ๐—บ๐—ฎ ๐—ธ๐—ฎ๐—ฏ๐—ถ๐˜€๐—ฎ!!

    Baada ya vuguvugu la mitandao mbalimbali ya kijamii kuvambiwa na wadukuzi (wahalifu wa mitandao), ambao waliweza kudukua mitandao ya kijamii ya taasisi za serikali na ambazo zisizo za kiserikali. Serikali ya jamhuri ya muungano wa Tanzania kupitia katibu mkuu wa Wizara ya Habari, Utamaduni...
  5. President of China

    JamiiForums Tanzania ๐—š๐—”๐—ญ๐—˜๐—ง๐—œ ๐—Ÿ๐—” ๐— ๐—ช๐—”๐—ก๐—š๐—”๐—ญ๐—”: CHADEMA yafa kifo cha Mende!

    Mwenye macho haambiwi tazama
  6. Teknolojia ni Yetu sote

    JamiiForums Tanzania GTA 6 graphics yake ni yakuvutia mno!

    Kampuni ya rockstargames imetoa Tarehe Rasmi ya kuachiwa kwa game mpya aina ya grand theft auto GTA 6 ambapo itaachiwa 26 Mei 2026 Mwakani. Wengi walitegemea itaachiwa mwaka huu lakini kampuni hiyo imesogeza mbele. Game hii kwa upande wa graphics wametisha sana Iko poa balaa, GTA 6 franchise...
  7. Teknolojia ni Yetu sote

    JamiiForums Tanzania ๐—ช๐—ต๐—ฎ๐˜๐˜€๐—ฎ๐—ฝ๐—ฝ ๐—ถ๐—บ๐—ฒ๐˜ƒ๐˜‚๐—ป๐—ท๐—ฎ ๐—ฟ๐—ฒ๐—ธ๐—ผ๐—ฑ๐—ถ ๐—บ๐˜„๐—ฎ๐—ธ๐—ฎ ๐Ÿฎ๐Ÿฌ๐Ÿฎ๐Ÿฑ

    ๐Ÿ’ก Whatsapp imefanikiwa kuweka rekodi kwa kuwa mtandao wa kwanza wa kijamii kuwa na watumiaji wengi kila mwezi zaidi ya watumiaji bilioni 3. ๐Ÿ’ก Siku ya jumatano mkurugenzi mkuu mtendaji wa meta Tajiri Mark Zuckerberg Aliweza kutangaza kupitia mkutano wa matokeo ya kifedha ya robo kwanza Q1, kwa...
  8. Teknolojia ni Yetu sote

    JamiiForums Tanzania Wizi mpya kwa kutumia picha kupitia WhatsApp

    Tahadhari ya utapeli kupitia mtandao wa Whatsapp kupitia picha, watumiaji wa mtandao wa Whatsapp wanapaswa kuwa makini Kuna ulaghai mpya umeibuka kupitia Whatsapp. Wahalifu wa Mitandao sasa wanatumia Whatsapp kuiba na kuchukua taarifa zako kupitia picha ambapo anakutumia Picha ambayo Ina kirusi...
  9. The redemeer

    JamiiForums Tanzania Kuvunjwa vifungo vya kizazi: Safari yako ya uhuru na urejesho

    KAMA HAIKUHUSU ACHANA NAYO โ€œKwa maana Kristo alitufungua ili tuwe huru. Simameni basi msiweke tena shingo zenu chini ya nira ya utumwa.โ€ โ€” Wagalatia 5:1 ๐—ง๐—”๐—™๐—”๐—ž๐—”๐—ฅ๐—œ ๐—•๐—œ๐—ก๐—”๐—™๐—ฆ๐—œ โ€” ๐—›๐—”๐—Ÿ๐—œ ๐—ฌ๐—”๐—ž๐—ข ๐—Ÿ๐—˜๐—ข Ndugu yangu mpendwa, kabla hatujapokea ushindi wetu leo, tafakari hali yako kwa uaminifu mbele za Mungu...
  10. Ojuolegbha

    JamiiForums Tanzania ๐—ก๐—ฎ๐—ป๐—ถ ๐—”๐—น๐—ถ๐˜†๐—ฒ๐—ฝ๐—ถ๐—ด๐˜„๐—ฎ? Ni dhahiri kwamba CHADEMA imejikita katika propaganda, si hoja za kisheria

    ๐—ก๐—ฎ๐—ป๐—ถ ๐—”๐—น๐—ถ๐˜†๐—ฒ๐—ฝ๐—ถ๐—ด๐˜„๐—ฎ? ๐—–๐—›๐—”๐——๐—˜๐— ๐—” ๐—ช๐—ฎ๐—ฐ๐—ต๐—ฎ๐—ป๐—ด๐—ฎ๐—ป๐˜†๐—ถ๐—ธ๐—ถ๐˜„๐—ฎ ๐—•๐—ฎ๐—ฎ๐—ฑ๐—ฎ ๐˜†๐—ฎ ๐—Ÿ๐—ถ๐˜€๐˜€๐˜‚ ๐—ž๐˜‚๐—ด๐—ผ๐—บ๐—ฒ๐—ฎ ๐— ๐—ฎ๐—ต๐—ฎ๐—ธ๐—ฎ๐—บ๐—ฎ, ๐—ช๐—ฎ๐—ฏ๐˜‚๐—ป๐—ถ ๐—ฃ๐—ฟ๐—ผ๐—ฝ๐—ฎ๐—ด๐—ฎ๐—ป๐—ฑ๐—ฎ ๐— ๐—ฝ๐˜†๐—ฎ! Dar es Salaam, Aprili 24, 2025 Katika kile kinachoonekana kuwa ni juhudi za makusudi za kupindisha ukweli na kulazimisha huruma ya kisiasa, Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kimeibuka...
  11. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Emmanuel Nchimbi: Msiwalazimishe CHADEMA kushiriki Uchaguzi Mkuu wa 2025

    Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Emmanuel Nchimbi amesema hakuna mtu anayeweza kuzuia Uchaguzi Mkuu bila kujali nafasi yake, na kuongeza kuwa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kina haki ya kutoshiriki Uchaguzi Mkuu 2025 kwa kuwa suala hilo ni hiyari kwao na hakuna haja ya...
  12. Pascal Mayalla

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Bombambili Songea: Mkutano Mkuu Maalum wa Jukwaa la Wahariri Tanzania(TEF). Mgeni Rasmi ni KM wa CCM Taifa, Dkt. Emmanuel Nchimbi

    Wanabodi Mimi mwanabodi mwenze ambaye ni mwandishi wa habari wa kujitegemea kwa kujitolea, pia ni mhariri na mwanachama wa Jukwaa la Wahariri, TEF, niko hapa ukumbi wa Bombambili Songea, mkoani Ruvuma, kuwaletea live ya Mkutano Mkuu Maalum wa Jukwaa la Wahariri Tanzania, TEF...
  13. Teknolojia ni Yetu sote

    JamiiForums Tanzania AI kweli tishio Ulimwenguni sasa imegeuza WiFi kuwa Kamera

    Teknolojia ya AI kiboko sasa wifi inaweza kuwaona watu mpaka waliojificha kwenye Kuta Teknolojia ya Akili bandia (Mnemba) inazidi kushika Kasi na kuwa Tishio Duniani, Baada ya Watafiti kutoka Carnegie Mellon wamefanikiwa kuunda mfumo unaotegemea wifi ambayo unaweza kuona kitu kwenye ukuta...
  14. Ojuolegbha

    JamiiForums Tanzania ๐—š๐—”๐—ญ๐—˜๐—ง๐—œ ๐—Ÿ๐—” ๐— ๐—ช๐—”๐—ก๐—š๐—”๐—ญ๐—” ๐—Ÿ๐—œ๐— ๐—˜๐—”๐—ก๐—š๐—”๐—ญ๐—” ๐—ง๐—˜๐—ก๐—” 4R zaamsha mikutano ya kisiasa! Wasira awapa somo kubwa wanaohoji deni la Taifa 2024

    ๐—š๐—”๐—ญ๐—˜๐—ง๐—œ ๐—Ÿ๐—” ๐— ๐—ช๐—”๐—ก๐—š๐—”๐—ญ๐—” ๐—Ÿ๐—œ๐— ๐—˜๐—”๐—ก๐—š๐—”๐—ญ๐—” ๐—ง๐—˜๐—ก๐—” 4R zaamsha mikutano ya kisiasa! Wasira awapa somo kubwa wanaohoji deni la Taifa 2024! Kipigo cha Mwenezi aibu kubwa CHADEMA ! Karibu usome Gazeti zima Bureee!!โฌ https://www.rifaly.com/newspaper/204023/mwangaza #๐‘ด๐’˜๐’‚๐’๐’ˆ๐’‚๐’›๐’‚๐‘ผ๐’‘๐’‚๐’…๐’‚๐’•๐’†๐’”
  15. Teknolojia ni Yetu sote

    JamiiForums Tanzania ๐—๐—ฎ๐—ฝ๐—ฎ๐—ป ๐—ธ๐˜‚๐˜๐—ฒ๐—ป๐—ด๐—ฒ๐—ป๐—ฒ๐˜‡๐—ฎ ๐—ป๐˜†๐˜‚๐—บ๐—ฏ๐—ฎ ๐˜‡๐—ถ๐—ป๐—ฎ๐˜‡๐—ผ ๐—ฝ๐—ฎ๐—ฎ ๐—ต๐—ฒ๐˜„๐—ฎ๐—ป๐—ถ ๐˜„๐—ฎ๐—ธ๐—ฎ๐˜๐—ถ ๐˜„๐—ฎ ๐˜๐—ฒ๐˜๐—ฒ๐—บ๐—ฒ๐—ธ๐—ผ ๐—น๐—ฎ ๐—”๐—ฟ๐—ฑ๐—ต๐—ถ

    JAPAN KIBOKO AISEEE ๐Ÿ‡ฏ๐Ÿ‡ต Japan ni moja ya Nchi ambayo Iko vizuri sana kwenye masuala ya Teknolojia Ulimwenguni baada ya China sema Wazungu ๐Ÿ™‚wanajifanya wanakaza mafuvu. Japan katika kupambana na Majanga ya Asilia Imeamua kuunda Nyumba zinazoweza kuelea Angani baada ya kutokea kwa Tetemeko la...
  16. peno hasegawa

    JamiiForums Tanzania ๐–๐ก๐š๐ญ๐ฌ๐š๐ฉ๐ฉ ๐ฅ๐š ๐Œ๐จ๐ฌ๐ก๐ข ๐ฒ๐ž๐ญ๐ฎ: Kuna Mjinga mmoja atishia kuwafuta wanachama wenzake kwa ujinga wake kwenye group!

    ๐Š๐ฎ๐ญ๐จ๐ค๐š๐ง๐š ๐ง๐š ๐Œ๐ฐ๐š๐ง๐š๐ง๐œ๐ก๐ข ๐ƒ๐ข๐ ๐ข๐ญ๐š๐ฅ ๐ค๐ฎ๐ญ๐จ๐š ๐ก๐š๐›๐š๐ซ๐ข ๐ณ๐ข๐ฌ๐ข๐ณ๐จ ๐ณ๐ข๐ง๐ ๐š๐ญ๐ข๐š ๐ค๐š๐ง๐ฎ๐ง๐ข ๐ณ๐š ๐ฎ๐š๐ง๐๐ข๐ฌ๐ก๐ข ๐ค๐ฐ๐š ๐ค๐ฎ๐ก๐จ๐ฃ๐ข ๐ฉ๐š๐ง๐๐ž ๐ณ๐จ๐ญ๐ž ๐ณ๐ข๐ง๐š๐ณ๐จ๐ก๐ฎ๐ฌ๐ข๐ค๐š ๐ค๐ฐ๐ž๐ง๐ฒ๐ž ๐ก๐š๐›๐š๐ซ๐ข, ๐€๐ง๐š๐ฉ๐ž๐ฐ๐š ๐š๐๐ก๐š๐›๐ฎ ๐ฒ๐š ๐ค๐ฎ๐ญ๐จ๐ค๐ฎ๐ฉ๐จ๐ฌ๐ญ ๐ก๐š๐›๐š๐ซ๐ข ๐ฒ๐จ๐ฒ๐จ๐ญ๐ž ๐ค๐š๐ญ๐ข๐ค๐š ๐ ๐ซ๐จ๐ฎ๐ฉ ๐ฅ๐š ๐–๐ก๐š๐ญ๐ฌ๐š๐ฉ๐ฉ ๐ฅ๐š ๐Œ๐จ๐ฌ๐ก๐ข ๐ฒ๐ž๐ญ๐ฎ ๐ค๐ฐ๐š ๐ค๐ข๐ฉ๐ข๐ง๐๐ข ๐œ๐ก๐š ๐ฌ๐ข๐ค๐ฎ 90 ๐ค๐ฎ๐š๐ง๐ณ๐ข๐š ๐ฅ๐ž๐จ 27/3/2025 - 26/6/2025, ๐ก๐ข๐ฏ๐ฒ๐จ ๐ฒ๐ž๐ฒ๐จ๐ญ๐ž ๐š๐ญ๐š๐ค๐š๐ฒ๐ž ๐ญ๐ฎ๐ฆ๐š...
  17. J

    JamiiForums Tanzania Wahariri na waandishi wa habari wasusia shughuli za CHADEMA

    TAARIFA HII IMEKANUSHWA NA TEF. Zaidi soma Jukwaa la Wahariri Tanzania lakanusha kutoa tamko dhidi ya CHADEMA ---- Katika hatua isiyo ya kawaida, wahariri na waandishi wa habari wamesusia shughuli zote za Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) baada ya kauli tata ya Mwenyekiti wa chama...
Back
Top Bottom