๐๐๐ง. ๐ ๐ช๐๐๐จ๐๐จ ๐๐๐๐๐จ๐ ๐จ๐๐๐ฅ๐๐๐๐๐จ ๐ช๐ ๐๐๐ง๐จ๐ข ๐๐๐ ๐ฃ๐ข๐๐๐ฆ๐ ๐๐๐๐๐ง๐๐ง๐
WAZIRI MKUU, Dkt. Mwigulu Nchemba, leo Novemba 30, 2025, amekagua Kituo cha Polisi Kikatiti ambacho kiliharibiwa kutokana na vurugu zilizotokea Oktoba 29, 2025, mkoani Arusha.
Akizungumza na wakazi wa eneo hilo, Mheshimiwa Dkt. Mwigulu...