๐—ฑ๐—ฒ๐—ฟ๐—ถ๐˜ƒ๐—ฒ๐—ฟ๐˜†

Pierre Derivery (4 November 1925 โ€“ 24 November 2013) was a French sprint canoer who competed from the early 1950s to the early 1960s. Competing in two Summer Olympics, he earned his best finish of tenth in the K-1 10000 m event at Helsinki in 1952.

View More On Wikipedia.org
  1. H

    JamiiForums Tanzania ๐—”๐—บ๐—ฏ๐—ฎ๐˜€๐˜€๐—ฎ๐—ฑ๐—ผ๐—ฟ ๐—ฆ๐˜๐—ฒ๐—ฝ๐—ต๐—ฒ๐—ป ๐—ฃ๐—ฎ๐˜๐—ฟ๐—ถ๐—ฐ๐—ธ ๐— ๐—ฏ๐˜‚๐—ป๐—ฑ๐—ถ ๐—ก๐—ฒ๐˜„ ๐—ฆ๐—ฒ๐—ฐ๐—ฟ๐—ฒ๐˜๐—ฎ๐—ฟ๐˜† ๐—š๐—ฒ๐—ป๐—ฒ๐—ฟ๐—ฎ๐—น ๐—ผ๐—ณ ๐˜๐—ต๐—ฒ ๐—˜๐—”๐—–

    ๐—•๐—ฅ๐—˜๐—”๐—ž๐—œ๐—ก๐—š ๐—ก๐—˜๐—ช๐—ฆ: ๐—”๐—บ๐—ฏ๐—ฎ๐˜€๐˜€๐—ฎ๐—ฑ๐—ผ๐—ฟ ๐—ฆ๐˜๐—ฒ๐—ฝ๐—ต๐—ฒ๐—ป ๐—ฃ๐—ฎ๐˜๐—ฟ๐—ถ๐—ฐ๐—ธ ๐— ๐—ฏ๐˜‚๐—ป๐—ฑ๐—ถ ๐—ก๐—ฒ๐˜„ ๐—ฆ๐—ฒ๐—ฐ๐—ฟ๐—ฒ๐˜๐—ฎ๐—ฟ๐˜† ๐—š๐—ฒ๐—ป๐—ฒ๐—ฟ๐—ฎ๐—น ๐—ผ๐—ณ ๐˜๐—ต๐—ฒ ๐—˜๐—”๐—–. Ambassador Stephen Patrick Mbundi is a senior Tanzanian diplomat and government official with over 28 years of professional experience Prior to his appointment as Secretary General of the East African Community...
  2. H

    JamiiForums Tanzania Tanzanian Embassy and SLU in dialogue on agricultural development

    Representatives from the Embassy of the United Republic of Tanzania in Sweden visited SLU to exchange experiences and ideas in agricultural research, education and capacity development. The delegation included H.E. Ambassador Mobhare Matinyi (appointed Ambassador in June 2025), and Counselor...
  3. Da Dona

    JamiiForums Tanzania, JamiiForums Uganda โ€œ๐–๐ข๐ญ๐ก๐จ๐ฎ๐ญ ๐‚๐ก๐ž๐š๐ญ๐ข๐ง๐ , ๐˜๐จ๐ฎ ๐–๐จ๐ฎ๐ฅ๐๐งโ€™๐ญ ๐„๐ฑ๐ข๐ฌ๐ญ."- Museveni's condolence message to the Opposition.

    President Yoweri Museveni sends a pointed message to Ugandaโ€™s opposition, saying that without irregularities, they would have no foothold in the country. In his post Election Speech yesterday, Museveni highlighted that of the 21 million registered NRM voters, 18.5 million were of voting age...
  4. Da Dona

    JamiiForums Tanzania, JamiiForums Uganda Ugandaโ€™s Stadium Saga: Extravagance, Delays, and the Question of AFCON Readiness

    ...as Uganda edges closer to co- hosting AFCON 2027, there's an- unanswered question: is the country really ready? The main stadium- Mandela National Stadium, recently underwent renovations at a controversial UGX 94 billion (about $25.5 million) - according to The UG Nile post , interesting to...
  5. Da Dona

    JamiiForums Tanzania, JamiiForums Uganda Uganda Airlines CEO Exit: A Tenure Defined by Loyalty Over Competence

    Kampala, Uganda โ€“ Democratic Party (DP) President Norbert Mao has signaled interest in the Speaker of Parliament position in the incoming legislature. Speaking at a press conference yesterday, Mao said he has received encouragement from various MPs and political leaders to consider the role. โ€œI...
  6. Da Dona

    JamiiForums Tanzania, JamiiForums Uganda Uganda Airlines CEO Exit: A Tenure Defined by Loyalty Over Competence

    The decision by Uganda Airlines to re-advertise the position of Chief Executive Officer marks the end of Jenifer Bamuturakiโ€™s controversial leadership. Bamuturaki was appointed CEO in July 2022 after an ongoing competitive recruitment process was abruptly halted. Parliamentโ€™s Committee on...
  7. H

    JamiiForums Tanzania Tanzania yaongeza ushirikiano wa kimkakati na Umoja wa Ulaya katika mwelekeo mpya

    ๐—ง๐—”๐—ก๐—ญ๐—”๐—ก๐—œ๐—” ๐—ฌ๐—”๐—ข๐—ก๐—š๐—˜๐—ญ๐—” ๐—จ๐—ฆ๐—›๐—œ๐—ฅ๐—œ๐—ž๐—œ๐—”๐—ก๐—ข ๐—ช๐—” ๐—ž๐—œ๐— ๐—ž๐—”๐—ž๐—”๐—ง๐—œ ๐—ก๐—” ๐—จ๐— ๐—ข๐—๐—” ๐—ช๐—” ๐—จ๐—Ÿ๐—”๐—ฌ๐—” ๐—ž๐—”๐—ง๐—œ๐—ž๐—” ๐— ๐—ช๐—˜๐—Ÿ๐—˜๐—ž๐—˜๐—ข ๐— ๐—ฃ๐—ฌ๐—” ๐—ช๐—” ๐——๐—œ๐—ฃ๐—Ÿ๐—ข๐— ๐—”๐—ฆ๐—œ๐—” ๐—œ๐—ก๐—”๐—ฌ๐—ข๐—ญ๐—œ๐—ก๐—š๐—”๐—ง๐—œ๐—” ๐— ๐—”๐—ง๐—ข๐—ž๐—˜๐—ข
  8. MLIMAWANYOKA

    JamiiForums Tanzania Maagizo katika Kanisa Katoliki yanatoka chini

    ๐‘ต๐’‚. ๐‘ฑ๐’๐’‰๐’-๐‘ฉ๐’‚๐’‘๐’•๐’Š๐’”๐’• ๐‘ด. ๐‘ต๐’ˆ๐’‚๐’•๐’–๐’๐’ˆ๐’‚ ____________________________ Kanisa Katoliki, tofauti na Taasis au Mamlaka nyingi, ambazo Maagizo na maelekezo mengi yanatoka Juu kwenda chini. Mfumo wa Kanisa Katoliki kwa kiwango kikubwa sana kiutendaji Maagizo mengi huanzia Chini kwenda Juu. Kanisa Katoliki halina...
  9. H

    JamiiForums Tanzania Tanzania kuendelea kushirikiana na nchi za Nodiki katika sekta ya afya

    Ubalozi wa Tanzania nchini Sweden umeratibu ushiriki wa Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania katika uzinduzi wa Mkutano wa Afya kati ya nchi za Nodiki na Afrika uliofanyika tarehe 22 Januari, 2026, jijini Stockholm, Sweden, ili kujadiliana masuala ya afya ya uzazi na mtoto na mapambano...
  10. Bwege2030

    JamiiForums Tanzania ๐—e, sera za uchumi za Tanzania zimeleta mageuzi ya kiuchumi?

    ๐—๐—˜, ๐—ฆ๐—˜๐—ฅ๐—” ๐—ญ๐—” ๐—จ๐—–๐—›๐—จ๐— ๐—œ ๐—ญ๐—” ๐—ง๐—”๐—ก๐—ญ๐—”๐—ก๐—œ๐—” ๐—ญ๐—œ๐— ๐—˜๐—Ÿ๐—˜๐—ง๐—” ๐— ๐—”๐—š๐—˜๐—จ๐—ญ๐—œ ๐—ฌ๐—” ๐—ž๐—œ๐—จ๐—–๐—›๐—จ๐— ๐—œ? Tangu kupata uhuru, sera za uchumi za Tanzania zimepitia mabadiliko makubwaโ€”kutoka mfumo wa ujamaa wa ๐—จ๐—ท๐—ฎ๐—บ๐—ฎ๐—ฎ, hadi uliberali wa soko chini ya ๐—ฃ๐—ฟ๐—ผ๐—ด๐—ฟ๐—ฎ๐—บ๐˜‚ ๐˜‡๐—ฎ ๐— ๐—ฎ๐—ฟ๐—ฒ๐—ธ๐—ฒ๐—ฏ๐—ถ๐˜€๐—ต๐—ผ ๐˜†๐—ฎ ๐—ž๐—ถ๐—บ๐˜‚๐˜‚๐—ป๐—ฑ๐—ผ, na baadaye mipango iliyoratibiwa kama ๐——๐—ถ๐—ฟ๐—ฎ ๐˜†๐—ฎ ๐— ๐—ฎ๐—ฒ๐—ป๐—ฑ๐—ฒ๐—น๐—ฒ๐—ผ...
  11. DuaZaMama

    JamiiForums Tanzania Nchemba: Kazi za serikali zifanyike Dodoma ili kuwasogezea wananchi huduma

    Waziri Mkuu, Mwigulu Nchemba amesema kazi za serikali zifanyike makao makuu ya nchi, Dodoma, ili kuwasogezea Watanzania huduma. โ€œMheshimiwa Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu mwelekeze Katibu Mkuu atengeneze timu ifanye tathmini ya majengo yote ya Serikali yaliyoko Dar es Salaam ambayo hayana...
  12. H

    JamiiForums Tanzania Waziri Mkuu aongoza mkutano kazi wa Mawaziri, Manaibu Mawaziri

    ๐—ช๐—”๐—ญ๐—œ๐—ฅ๐—œ ๐— ๐—ž๐—จ๐—จ ๐—”๐—ข๐—ก๐—š๐—ข๐—ญ๐—” ๐— ๐—ž๐—จ๐—ง๐—”๐—ก๐—ข ๐—ž๐—”๐—ญ๐—œ ๐—ช๐—” ๐— ๐—”๐—ช๐—”๐—ญ๐—œ๐—ฅ๐—œ, ๐— ๐—”๐—ก๐—”๐—œ๐—•๐—จ ๐— ๐—”๐—ช๐—”๐—ญ๐—œ๐—ฅ๐—œ WAZIRI MKUU, Dkt. Mwigulu Nchemba, ameongoza mkutano kazi wa Mawaziri, Makatibu Wakuu na Viongozi Waandamizi wa Serikali uliofanyika leo Januari 21, 2026, katika Ukumbi wa Kambarage, Hazina, jijini Dodoma. Katika mkutano huo...
  13. H

    JamiiForums Tanzania Dkt. Mwigulu afanya mazungumzo na Mhandisi Hamadi Masauni

    ๐——๐—ž๐—ง. ๐— ๐—ช๐—œ๐—š๐—จ๐—Ÿ๐—จ ๐—”๐—™๐—”๐—ก๐—ฌ๐—” ๐— ๐—”๐—ญ๐—จ๐—ก๐—š๐—จ๐— ๐—ญ๐—ข ๐—ก๐—” ๐— ๐—›๐—”๐—ก๐——๐—œ๐—ฆ๐—œ ๐— ๐—”๐—ฆ๐—”๐—จ๐—ก๐—œ Waziri Mkuu, Dkt. Mwigulu Nchemba leo Januari 20, 2026 amefanya mazungumzo na Waziri wa Nchi, Ofisi ya Makamu wa Rais - Muungano na Mazingira, Mhandisi Hamadi Masauni, ofisini kwa Waziri Mkuu, Mlimwa jijini Dodoma. Viongozi wengine...
  14. H

    JamiiForums Tanzania Dkt. Mwigulu: Serikali itaendelea kushirikiana na viongozi wa Dini

    Asema lengo ni kujenga Taifa lenye hofu ya Mungu, upendo, haki na uwajibikaji WAZIRI MKUU, Dkt. Mwigulu Nchemba leo Januari 18, 2026 ameshiriki Ibada ya Jumapili katika Kanisa Kuu Anglikana la Roho Mtakatifu Dodoma na amesisitiza kwamba Serikali itaendelea kushirikiana na viongozi wa dini...
  15. hamis77

    JamiiForums Tanzania Kanisa la Siri la Iran: Imani inayokua chini ya mateso

    ๐Š๐€๐๐ˆ๐’๐€ ๐‹๐€ ๐’๐ˆ๐‘๐ˆ ๐‹๐€ ๐ˆ๐‘๐€๐: ๐ˆ๐Œ๐€๐๐ˆ ๐ˆ๐๐€๐˜๐Ž๐Š๐”๐€ ๐‚๐‡๐ˆ๐๐ˆ ๐˜๐€ ๐Œ๐€๐“๐„๐’๐Ž Tangu Mapinduzi ya Kiislamu ya mwaka 1979, Iran imekuwa moja ya nchi zinazodhibiti kwa ukali sana uhuru wa dini, hasa kwa wale wanaoacha Uislamu na kuifuata imani ya Kikristo. Hata hivyo, kinyume na matarajio ya wengi, Ukristo nchini Iran...
  16. H

    JamiiForums Tanzania Dkt. Mwigulu Aongoza kikao cha kujadili changamoto za kibiashara kati ya Tanzania na Zambia

    ๐——๐—ž๐—ง. ๐— ๐—ช๐—œ๐—š๐—จ๐—Ÿ๐—จ ๐—”๐—ข๐—ก๐—š๐—ข๐—ญ๐—” ๐—ž๐—œ๐—ž๐—”๐—ข ๐—–๐—›๐—” ๐—ž๐—จ๐—๐—”๐——๐—œ๐—Ÿ๐—œ ๐—–๐—›๐—”๐—ก๐—š๐—”๐— ๐—ข๐—ง๐—ข ๐—ญ๐—” ๐—ž๐—œ๐—•๐—œ๐—”๐—ฆ๐—›๐—”๐—ฅ๐—” ๐—ž๐—”๐—ง๐—œ ๐—ฌ๐—” ๐—ง๐—”๐—ก๐—ญ๐—”๐—ก๐—œ๐—” ๐—ก๐—” ๐—ญ๐—”๐— ๐—•๐—œ๐—” Waziri Mkuu, Dkt. Mwigulu Nchemba leo Januari 16, 2026 ameongoza kikao cha kimkakati na Mawaziri, Naibu Mawaziri, Makatibu Wakuu wa kisekta, Ofisini kwake, Mlimwa Jijini Dodoma. Katika kikao hicho...
  17. H

    JamiiForums Tanzania Dar: Nchimbi azindua jengo la viongozi mashuhuri Terminal 3

    Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Balozi Dkt. Emmanuel Nchimbi amesema Serikali imejizatiti kuhakikisha Sekta ya Uchukuzi inaimarika ili kuliweka Taifa kwenye nafasi nzuri ya ushindani wa kibiashara, kuongeza mapato ya fedha za kigeni na kukuza mchango wa sekta hiyo katika...
  18. H

    JamiiForums Tanzania Waziri Mkuu aongoza mkutano kazi na Mawaziri

    ๐—ช๐—”๐—ญ๐—œ๐—ฅ๐—œ ๐— ๐—ž๐—จ๐—จ ๐—”๐—ข๐—ก๐—š๐—ข๐—ญ๐—” ๐— ๐—ž๐—จ๐—ง๐—”๐—ก๐—ข ๐—ž๐—”๐—ญ๐—œ ๐—ช๐—” ๐— ๐—”๐—ช๐—”๐—ญ๐—œ๐—ฅ๐—œ. WAZIRI MKUU, Dkt. Mwigulu Nchemba, ameongoza mkutano kazi wa Mawaziri, Makatibu Wakuu na Viongozi Waandamizi wa Serikali uliofanyika, Januari 12, 2026, katika Ukumbi wa Kambarage, Hazina, jijini Dodoma. Katika mkutano huo, viongozi hao wamejadili...
  19. hamis77

    JamiiForums Tanzania Katika zama hizi za kidijitali, teknolojia na sayansi zimeanza kufungua macho ya wanadamu kuhusu dini na madai yake ya kihistoria

    Katika zama hizi za kidijitali, teknolojia na sayansi zimeanza kufungua macho ya wanadamu kuhusu dini na madai yake ya kihistoria. Mabadiliko haya hayajakuja tu kuharakisha mawasiliano, bali yameongeza uwazi katika maandiko, historia, na hoja za kidini. Leo, hakuna tena nafasi ya kuficha taarifa...
  20. H

    JamiiForums Tanzania Dkt. Mwigulu akutana na Katibu Mkuu Kiongozi Balozi Dkt. Moses Kusiluka

    ๐——๐—ž๐—ง. ๐— ๐—ช๐—œ๐—š๐—จ๐—Ÿ๐—จ ๐—”๐—ž๐—จ๐—ง๐—”๐—ก๐—” ๐—ก๐—” ๐—ž๐—”๐—ง๐—œ๐—•๐—จ ๐— ๐—ž๐—จ๐—จ ๐—ž๐—œ๐—ข๐—ก๐—š๐—ข๐—ญ๐—œ Waziri Mkuu, Dkt. Mwigulu Nchemba leo Januari 09, 2026 amekutana na Katibu Mkuu Kiongozi, Balozi Dkt. Moses Kusiluka kwenye Ofisi Ndogo ya Waziri Mkuu, Magogoni jijini Dar es salam.
Back
Top Bottom