Teknolojia ni Yetu sote
JF-Expert Member
- Apr 28, 2020
- 1,378
- 2,819
Tahadhari ya utapeli kupitia mtandao wa Whatsapp kupitia picha, watumiaji wa mtandao wa Whatsapp wanapaswa kuwa makini Kuna ulaghai mpya umeibuka kupitia Whatsapp.
Wahalifu wa Mitandao sasa wanatumia Whatsapp kuiba na kuchukua taarifa zako kupitia picha ambapo anakutumia Picha ambayo Ina kirusi kisha utakapo download basi utasababisha simu yako kuibiwa taarifa zako muhimu.
Kirusi icho baada ya kuidownload na kuifungua kupitia picha yoyote unayotumiwa kwenye Whatsapp haswa kwenye group au chati za kawaida kupitia namba ngeni utaweza kuathirika.
Kumbuka kufanya mambo yafuatayo
⚡Zima Auto download ya Picha kwenye Whatsapp
⚡ Usipendele kufungua picha unazotumiwa kwenye namba ngeni
⚡ Hakikisha unafanya update ya Simu na Whatsapp yako kuwa salama.
Tags washikaji tujifunze sote si unajua Teknolojia ni Yetu sote