Search results

  1. Rolandi

    Msaada: Kuhamisha nyimbo toka PC kwenda iPhone 7

    Nashindwa kufanya hivyo, sio kwa cable wala bluetooth. Any suggestion?
  2. Rolandi

    Ukweli kuhusu CCTV Tanzania

    Kufuatia sakata la kutekwa MO labda niwafahishe kuhusu matumizi ya CCTV kwa wafanyabiashara wa hapa kwetu. Wafanyabiashara wa TZ kamera wanazitumia kuangalia movement ya wateja. Kwa hotels wanaangalia nani kaingia chumba kipi ili asipoteze mapato, yaani akijua jana waliingia watu 30 asiletewe...
  3. Rolandi

    Natafuta zabibu kavu na almonds toka Zanzibar

    Natafuta muuzaji wa jumla wa zabibu kavu pamoja na almond (ulozi) aliye Zanzibar. kwa sasa ninapata kwa mtu anayenunua toka huko sasa nataka nimtoe mtu wa kati niagizie moja kwa moja. PM kama unamfahamu mtu au wewe unafanya kazi hiyo
  4. Rolandi

    Website ya UTT iko suspended

    Account Suspended Kampuni yenyewe bado ipo, au?
  5. Rolandi

    Kwanini Pele hajawa kocha

    Pele ni mchzaji mzuri wa zamani lakini hakuna historia ya yeye kua kocha kama akina Zizo na wengine
  6. Rolandi

    Kifusi cha bure Tabata

    Nina kifusi cha nyumba iliyobomolewa nakitoa bure, yaani Free. No strings attached. We njoo na gari na wapakiaji chukua tani yako. Kinajaza lori kubwa nne au tano. Kiko tabata madonna kiwanja cha pili kabla ya hospitali ya madonna kama unatokea mjini. Pamezungushiwa uzio wa mabati. Onana na...
  7. Rolandi

    Natoa Skrepa za bure

    Nna bajaj mbili mbovu zimelala bila kutumika kwa muda mrefu. Zipo maeneo ya Tabata Dar es salaam Anayehitaji kama skrepa au vyovyote vile ani PM nimwelekeze zilipo akachukue. Ni bure kabisa, halipi hata senti moja Picha zake hap chini
  8. Rolandi

    Tgif !!

  9. Rolandi

    Wamependeza

  10. Rolandi

    Namna ya ku-limit WIFI users

    Ofisini tuna wifi kwa ajili ya wateja, iko password protected lakini akija mteja tunampa. Tatizo kuna vijana wawili hivi wana vilaptop vyao ngambo ya barabara wanapewa password na mmojawapo wa staff hapa ofisini. kazi yao ni kudownload movies na nyimbo na kutia nyimbo kwenye simu. Wanafanya wifi...
  11. Rolandi

    The best way to ditch drugs

    Source: The Nairobian
  12. Rolandi

    Cheki hii

  13. Rolandi

    Railway to pass through Kenya national parks

    Kenya wildlife services has granted a right of way to kenya railways to develop the std gauge railway through the parks (Daily nation kenya 15 October 2014) Ya Serengeti wanaipigia kelele!
  14. Rolandi

    Words of Wisdom

  15. Rolandi

    Daraja la kinyerezi halipitiki

    Pitia tabata Sina picha lakini source ya kuaminika,wife Limefungwa Ni lile jipya la diversion sio la karibu na jela
  16. Rolandi

    Raw foods

    Kuna raw foods "movement" duniani, yaani jamaa wanaokula vyakula visivyopikwa. Kuna mwenye experience hiyo humu jf atielezee faida zake?
  17. Rolandi

    Mtaa wa Libya Dar es Salaam si salama kupita!

    Jengo lililokua hoteli ya Jambo Inn linabomolewa kwa sasa. Hakuja wekwa uzio wowote utakaozuia vipande vya mawe na vumbi kuingia barabarani. Wameweka kamba tu, hakuna mabati wala nini! Viongozi wa manispaa ya Ilala ambayo iko mita chache toka hapo wafanye kazi yao sio kusubiri mpaka aumie mtu
  18. Rolandi

    Katiba ya tanganyika kuridhia muungano?

    Inavyoelekea katiba ya tanzania itakamilika kabla ya ya tanganyika. Si ilibidi katiba ya tanganyika na zanzibar ziwe na vipengele vya kuukubali muungano kwanza halafu muungano ndio ufuate.? Au?
Back
Top Bottom