Natoa Skrepa za bure

Natoa Skrepa za bure

Rolandi

JF-Expert Member
Joined
Mar 8, 2006
Posts
920
Reaction score
491
Nna bajaj mbili mbovu zimelala bila kutumika kwa muda mrefu. Zipo maeneo ya Tabata Dar es salaam
Anayehitaji kama skrepa au vyovyote vile ani PM nimwelekeze zilipo akachukue. Ni bure kabisa, halipi hata senti moja

Picha zake hap chini

DSC_0008.JPG

DSC_0008.JPG
 
Attachments

  • DSC_0010.JPG
    DSC_0010.JPG
    165.1 KB · Views: 201
Mmmh mashaka yamenijaa cha bure mjini hapa?
 
Mkuu inawezekana usihofu,hahahahah

Wapo watu wana mpaka magari mabovu wanatafuta pa kuyatupa ila inakuwa gharama kuyabeba,sasa hapo jamaa anataka ku clear mazingira yake yawe safi kuliko kufuga Tandu na mbu.

We nenda ukiona kuna charges lete mrejesho tumchane humu
 
ikifika zamu ya kutoa MASABURI nijulishe
 
Asante sana Bwana roland nimefanikiwa kuchukua SKREPA hizo. Nashukuru sana
 
Last edited by a moderator:
Asante ndugu yangu roland zile skrepa bado zinafaa nataka nitengeneze zirudi road
 
Poa mkuu. Wasioamini kuna vya bure waache wapige kelele. Samahani sikueeza kukujibu on time
 
Mkuu inawezekana usihofu,hahahahah

Wapo watu wana mpaka magari mabovu wanatafuta pa kuyatupa ila inakuwa gharama kuyabeba,sasa hapo jamaa anataka ku clear mazingira yake yawe safi kuliko kufuga Tandu na mbu.

We nenda ukiona kuna charges lete mrejesho tumchane humu

Mrejesho ushaupata mkuu
 
Nna bajaj mbili mbovu zimelala bila kutumika kwa muda mrefu. Zipo maeneo ya Tabata Dar es salaam
Anayehitaji kama skrepa au vyovyote vile ani PM nimwelekeze zilipo akachukue. Ni bure kabisa, halipi hata senti moja

Picha zake hap chini

View attachment 295599

View attachment 295599

Poa mkuu. Wasioamini kuna vya bure waache wapige kelele. Samahani sikueeza kukujibu on time

Mimi ndo nimezichukua zile skrepa jana asante sana mkuu Rolandi
 
Back
Top Bottom