Rolandi
JF-Expert Member
- Mar 8, 2006
- 920
- 491
Ofisini tuna wifi kwa ajili ya wateja, iko password protected lakini akija mteja tunampa. Tatizo kuna vijana wawili hivi wana vilaptop vyao ngambo ya barabara wanapewa password na mmojawapo wa staff hapa ofisini. kazi yao ni kudownload movies na nyimbo na kutia nyimbo kwenye simu. Wanafanya wifi iwe very slow
Hata kama hakuna wateja ukicheki usage utaona kuna watu wako connected. Ikifika usiku wakifunga vilaptop vyao wifi inakua poa mpaka kesho yake saa nne hivi wakifungua
Swala la kuwanyima password limeshindikana maana hata tukibadili after few hrs wanakua washapewa. sasa nauliza kuna software gani nzuri itakayotusaidia kuweza kuwablock hawa watu, maana tumetrace IP and Mac address zao tunazijua. Tumejaribu Who'sonmyWifi lakini hii ni ya kulipia kila mwezi na ina limitations nyingi
shukrani wakuu