Ukweli kuhusu CCTV Tanzania

Ukweli kuhusu CCTV Tanzania

Rolandi

JF-Expert Member
Joined
Mar 8, 2006
Posts
920
Reaction score
491
Kufuatia sakata la kutekwa MO labda niwafahishe kuhusu matumizi ya CCTV kwa wafanyabiashara wa hapa kwetu.
Wafanyabiashara wa TZ kamera wanazitumia kuangalia movement ya wateja. Kwa hotels wanaangalia nani kaingia chumba kipi ili asipoteze mapato, yaani akijua jana waliingia watu 30 asiletewe hela chini ya hapo. Kwenye godowns wanaangalia mzigo uliotoka na uliolipiwa. Wafanyabiashara wengi hawajali sura ionekane vizuri so as long as mtu kaingia chumba x lazima pesa aione.
Kwa hiyo hawaweki kamera zinazichukua sura vizuri ambazo ni expensive. Hawana interest na security, its all about controlling what is going on on their business not who was there.
Ndii maana camera za sehemu ya tukio la MO hazikuleta picha za kufaa kiuchunguzi
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom