Rolandi
JF-Expert Member
- Mar 8, 2006
- 919
- 489
Nina kifusi cha nyumba iliyobomolewa nakitoa bure, yaani Free. No strings attached. We njoo na gari na wapakiaji chukua tani yako. Kinajaza lori kubwa nne au tano.
Kiko tabata madonna kiwanja cha pili kabla ya hospitali ya madonna kama unatokea mjini. Pamezungushiwa uzio wa mabati. Onana na kijana anaitwa Mustafa. Ni PM kama hujaelewa nilivyoelekeza
Nilishawahi kutoa bure bajaji kama screpa watu wakabeza. Aliyekua serious akaja akachukua na akatoa mrejesho humu. Soma https://www.jamiiforums.com/threads/natoa-skrepa-za-bure.948506/#post-14296912
Karibuni