Search results

  1. Nokla

    Kariakoo derby kupigwa April 20

    Bodi ya Ligi Kuu Tanzania (TPLB) imeupangia tarehe mchezo namba 180 wa Ligi Kuu msimu wa 2023/2024 kati ya Club ya Yanga na Club ya Simba maarufu kama ‘Kariakoo Derby’, baada ya Club hizo kuondolewa kwenye michuano ya CAF Champions League. “Mchezo huo ambao haukupangiwa tarehe kwenye ratiba...
  2. Nokla

    Car4Sale Harrier 2006 model for sale

    Nauza gari tajwa hapo juu. Gari bado ipo vizuri sana maana haijatumika muda mwingi ipo kama ilivyo ilivyotoka japani. Bei mil 24.8 maongezi kidogo yapo pia natoa laki5 kwa dalali atakayeleta mteja. Karibuni sana
  3. Nokla

    Vitamax double shot energy honey

    Habari. Kuna ndugu ameniomba nimpostie tangazo lake. Product tajwa hapo juu inauzwa.. Vitamax double shot. Ni product kutoka Malaysia imetengenezwa kwa asali na mizizi, Haina kemikali hata kidogo. Asali hii inasaidi kabsa kuondoa tatizo la nguvu za kiume ni nzuri pia hata kwa wenye kisukari...
  4. Nokla

    Nahitaji wachimba visima virefu

    Husika na kichwa cha habari hapo juu. Nahitaji wachimbaji wa visima virefu. Site: Mwavi Bagamoyo...kijiji kimoja kabla hujafika kiwangwa ukitokea Dar Urefu: 140m-150m Ofa: Milioni 5 Cash Note: mchimbaji lazima anihakikishe maji baridi yasio na chumvi hata chembe lengo ni kupata maji ya...
  5. Nokla

    Naomba ushauri wa tiba ya Heartburn/Gerd sugu

    Habari zenu wandugu, Direct to the point. Mimi ni mgonjwa wa heartburn/ gerd kwa jina lingine ambayo imeshakuwa sugu. Kiukweli nasumbuliwa sana ni muda sasa wa miaka takriban 6 hivi nimejaribu tiba za aina tofauti hospitali na kienyeji lakini tatizo liko palepale. Mwaka 2015 nilienda regency...
  6. Nokla

    Nahitaji nguo hizi kwa bei ya jumla

    Wadau wa nguo popote mlipo nahitaji nguo hizi kwa bei ya jumla. Kama unazo au unafahamu wapi naweza pata nitashukuru ila zile original cotton angalau 90%, kama una fake usihangaike sitanunua, je kwa Dar wapi naweza pata kwa bei nzuri? Asanteni.
  7. Nokla

    Nokia E72 inauzwa

    Kwa wale wa penzi wa oldies pata nokia e72 original but refurbished, ni imported haijatumika bongo na vifaa vyajke vyote including user manual, charger, ear phones, usb cable etc. Kama unaipenda nicheki bei ni 180k tu. Ina 3g pia
  8. Nokla

    Tabia mbaya uchagani

    Heshima kwenu wandugu, Thadhari: Sina chuki binafsi Kwa kuanzia tu mkoa wote wa kilimanjaro ni mkoa ambao kweli maendelea yapo, wilaya zote zimeunganishwa na miundombinu yote muhimu, maji umeme, barabara n.k Tabia yao mbaya ni tabia ya kuomba lift hasa kwenye private cars, yaani si kwamba...
  9. Nokla

    Diamond hana washauri?

    Katika hili la mzazi wake wa kiume mimi binafsi limenigusa hasa kwa imani yangu ya dini. Siwezi kuhukumu moja kwa moja kwa maana sijui chanzo cha ugomvi wao wala status yao kwa sasa na pia MIMI SI HAKIMU, lakini nina haki ya kutoa maoni yangu hasa kumsaidia pia diamond ajitambue. Katika hali ya...
  10. Nokla

    Nahitaji kiwanja maeneo ya vikindu

    Kama una plot kuanzia nusu eka vikiandu hadi dundani karibu na barabara na umeme na pia gari kubwa ziwe zinafika kwenye kiwanja. Kama unacho weka ukubwa na bei
  11. Nokla

    Natafuta kampuni inayotengeneza U-PVC windows

    Kichwa cha habari kinajieleza, nitashukuru nikipata na ushauri zaidi....nataka kukamilisha project yangu ipo DAR. Karibuni..
  12. Nokla

    Natafuta kampuni inayotengeneza U-PVC windows

    Habari wakuu, nahitaji kampuni unayo-deal na hayo mambo ili nikamilishe mradi wangu. wazoefu naombeni msaada. asanteni
  13. Nokla

    Natafuta dawa ya kung'arisha ndevu pamoja na kuzifanya zisijikunje

    Mwanaume ndevu, kidevu bulb tupa kule. Mimi nina ndevu nyingi tatizo ni kipilipili alafu hazina mvuto. Kama kuna mtu anauza dawa ya kuzifanya ndevu zangu ziwe kama za rick Ross aje PM. Asantenii
  14. Nokla

    Taratibu za kuanzisha RANCH

    Wakuu, hivi kuna utaratibu wowote wa kuanzisha ranch kisheria? Na vp vitu muhimu vinahitajika kwa ajili ya kuanzisha ranch binafsi, je kuna changamoto zozote katika huo mradi? Ushauri wenu muhimu sana
  15. Nokla

    Karibuni Smart Barbershop Mbagala Rangi 3

    Kwa wakazi wa mbagala na maeneo ya jirani karibu mpate huduma ya barbershop, ni ya ukweli na ya kijanja sana kwa mbagala yote. Saluni ipo njia kuu ya kuelekea kongowe, ukitoka stand ya rangi 3 kwa magari yanayoelekea kongowe na charambe ni kama mita 50 au 60. Karibuni sanaa unaweza mtafuta...
  16. Nokla

    Huyu Gabriel Zakharia wa TBCM swaga zake za kizee sana

    Huyu jamaa kwa Muonekano ni kama kijana, lakini ongea ongea yake na anavyovaa kama mzee, yaani anaboa sana! Wewe mtu ni kijana acha hizo
  17. Nokla

    Muhongo lazima atakuwa waziri katika serikali ya Magufuli

    Amini usiamini, kwa kuwa Magufuli anapenda wachapa kazi basi Muhongo ananafasi kubwa sana ya kuwa waziri katika serikali ya Magufuli ijayo, kwa hiyo Bwana Mengi andaa povu tu!
  18. Nokla

    Inahitajika Liteace au Townace Toyota haraka

    Gari tajwa hapo juu nahitajika iwe number dd..au haijawahi tumika Bongo. Iwe truck, cc isizidi 1500, mwaka kuanzia 1990, bajeti milion 8. kama unayo nicheki 0763364459 Asanteni
  19. Nokla

    Kiwanja kinauzwa Kibamba mwisho maeneo ya Kibelege

    Wadau, Nauza kiwanja changu maeneo tajwa hapo juu, bei rahisi ya shilingi milioni 7.5, ukubwa wa kiwanja ni sqm 800(20*40) maeneo yamejengeka sana. Umeme na maji vipo. Karibuni sana 0763364459
  20. Nokla

    Hivi haya maelezo ya "Cabin crew" kwenye ndege yana msaada kipindi cha dharura?

    Nimekuwa nikishuhudia maelezo "instructions" za ujanja ujanja zitolewazo na wahudu wa ndege eti sijui ndege ikitua kwa dhararu boya lipo chini ya kiti chako puliza hivi na vile blah blah kibao, je ni kweli zinasaidia au?
Back
Top Bottom