Nokla
JF-Expert Member
- Aug 12, 2012
- 3,190
- 1,780
Kwa wakazi wa mbagala na maeneo ya jirani karibu mpate huduma ya barbershop, ni ya ukweli na ya kijanja sana kwa mbagala yote. Saluni ipo njia kuu ya kuelekea kongowe, ukitoka stand ya rangi 3 kwa magari yanayoelekea kongowe na charambe ni kama mita 50 au 60. Karibuni sanaa
unaweza mtafuta huyu akakupa malekezo ukifika jirani 0653458101
Asante sana na karibuni
unaweza mtafuta huyu akakupa malekezo ukifika jirani 0653458101
Asante sana na karibuni