Nahitaji wachimba visima virefu

Nokla

JF-Expert Member
Aug 12, 2012
3,167
1,708
Husika na kichwa cha habari hapo juu.

Nahitaji wachimbaji wa visima virefu.

Site: Mwavi Bagamoyo...kijiji kimoja kabla hujafika kiwangwa ukitokea Dar
Urefu: 140m-150m
Ofa: Milioni 5 Cash

Note: mchimbaji lazima anihakikishe maji baridi yasio na chumvi hata chembe lengo ni kupata maji ya kumwagilia kwa ajili ya kilimo.

Karibuni
 
Inategemea na ardhi iko vipi, na kwabahati mbaya ukikuta kuna chumvi itakuwaje hasa eneo lako la kiwanja?. Mara nyingi huwa ni kubahatisha.
 
Inategemea na ardhi iko vipi, na kwabahati mbaya ukikuta kuna chumvi itakuwaje hasa eneo lako la kiwanja?. Mara nyingi huwa ni kubahatisha.

Ardhi juu kichanga huko chini sijui, kuhusu chumvi ni mtihani ila niliwasiliana na idara ya maji wakasema pakichimbwa mita 140 au zaidi basi maji 90% ni ya baridi
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom