kampuni- Star win
walipo- shekilango road mkabala na GBP petroleum station
aina za UPVC- white na brown
grade- single na double
bei ya white single 240,000 kwa sqm
bei ya white double 290,000 kwa sqm
bei ya brown single 340,000 kwa sqm
bei ya brown double 400,000 kwa sqm
kampuni- MARK KIM UNiPLAST CO LTD
walipo- mbezi beach after shamo park bagamoyo road
aina na grade ni kama hapo juu.
bei ya white single 230,000 kwa sqm
bei ya white double 285,000 kwa sqm
bei ya brown single 320,000 kwa sqm
bei ya brown double 380,000 kwa sqm
pia ipo kampuni nyengine ya kituruki inaitwa Baotec nasikia wanatengeza hapa hapa, ila kwa taarifa ambazo sijazihakiki bei zao zimeenda shule kidogo na target customer wao ni wale wanaojiweza.
nilikuwa nafanya research ya haya makampuni ya UPVC incase kama utapata data zaidi na wewe usisite kunijulisha na mimi.
Mkuu asante sanaa. dah hii kitu ni gari sana maana nina sqm 62 nitakomaje??
ya bei rahisi zaidi ni 14.26m
ya bei ghali zaidi ni 24.8m
madirisha tu hayo. angalia maeneo mengine maybe kuna sehemu sijapita unaweza pata bei rahisi zaidi.
inategemeana na mfuko wako, kama Unaweza kukomaa na upvc go for it. pia Kuna option ya kuchanganya, madirisha ya mbele sebuleni na master bedroom ukiweka upvc the rest yakawa aluminium. hii ya kuchanganya inakua Poa kama Haya utakayoweka aluminum yanakua nyuma/ sehemu ambayo hayata haribu muonekano wa Nyumba.ya bei rahisi zaidi ni 14.26m
ya bei ghali zaidi ni 24.8m
madirisha tu hayo. angalia maeneo mengine maybe kuna sehemu sijapita unaweza pata bei rahisi zaidi.