Nahitaji kiwanja maeneo ya vikindu

Nokla

JF-Expert Member
Aug 12, 2012
3,190
1,770
Kama una plot kuanzia nusu eka vikiandu hadi dundani karibu na barabara na umeme na pia gari kubwa ziwe zinafika kwenye kiwanja. Kama unacho weka ukubwa na bei
 
kama una mteja mtafute huyu jamaa 0717478451au 0714074040
 
bushlawyer samahan nimekosea namba .hyo ya kwanza nilikosea na nimeshaedit.mpigie huyo wa 0717478451 kuna maswal anataka kukuhoji kuhusu kiwanja unachohitaji.au ni pm namba yako nimtumie
 
bushlawyer samahan nimekosea namba .hyo ya kwanza nilikosea na nimeshaedit.mpigie huyo wa 0717478451 kuna maswal anataka kukuhoji kuhusu kiwanja unachohitaji.au ni pm namba yako nimtumie

Asante mkuu nimeshampigia
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom