Natafuta kampuni inayotengeneza U-PVC windows

Nokla

JF-Expert Member
Aug 12, 2012
3,190
1,770
Habari wakuu, nahitaji kampuni unayo-deal na hayo mambo ili nikamilishe mradi wangu. wazoefu naombeni msaada.
asanteni
 
mkuu napatikana dar-es-salaam, na project ipo kigamboni
 
Zipo profile nzur white aluminium inafanana sana na hiyo pvc kama hauto jar nichek +255 654 069 041 npo dar es salaam WhatsApp pia no hyo nitakutumia sample ya dirsha 1
 
Pvc ni nzur ata bei yake ipo juu sana ila yenyewe inataka sehem ya barid sana co kwa dar es salaam
 
Back
Top Bottom