Search results

  1. theHAVARD_product

    Chuo cha IFM na ufisadi kwa vijana wetu

    Wakuu nina mdogo wangu anasoma chuo cha Usimamizi wa Fedha (IFM) ,mambo aliyonileza kwanza yalinisisimua..SIKUAMINI! Anasoma Computer Science(BSC) ila kero zilizopo hapo kutokana na ufisadi wa uongozi wa chuo hicho sidhani kama ni nia nzuri kwa maendeleo ya masomo ya vijana wetu hasa katika...
  2. theHAVARD_product

    Ku'mbrand msanii wa kibongo na kufanikwa

    Kuna Wasanii nimekaa chini na kufikiri labda wanakosa Management nzuri ndio maana labda hawa'shine sasa. Ila ni Wazuri kiukweli,wanaweza ,wanajua nk. Wasanii wa Bongo wengi bila Management nzuri kusurvive ni kazi na sio Tanzania tu na hata huko duniani. Bila kuwa na Record deal nzuri na...
  3. theHAVARD_product

    Kesi Hii ilishia Wapi.??!!

    Niliwahi kusikia hii kesi, But sijawahi kusikia kama huyu Binti wa Liyumba alifungwa au hata Liyumba. JE, ilizimwa , inaendelea, iliishaje, Mahakama ipi ilihusika, watuhumiwa Wengine ?? nk. MADAWA yalikuwa na Thamani Billions 3++. Tuambiane.
  4. theHAVARD_product

    Maajabu ya tanzania kutaka kwenda world cup na team ya ‘kuungaunga’

    Kwanza nasikitika kwa Team yetu pendwa ya Taifa Stars kukatishwa Rasmi Matumaini ya kwenda WORLD CUP mwaka 2014 na timu ya IVORY COAST. Ni hudhuni kweli. Katika kipindi hichi ambacho Watanzania tulikuwa na MORALE isiyo na Mfano. It was a Great Moment. Kwanza nianze kusema,TANZANIA tunakosa...
  5. theHAVARD_product

    Urasimu wa basata na tuzo za muziki

    Nasikiliza Radio DIAMOND,anaongea kuhusu kushindwa kuwekwa katika Categories zingine amabazo yeye alidhani anastahili kuwekwa,Mfano VIDEO BORA YA MWAKA. so anadhani kama hakuwekwa huko bora wasingemuweka katika categories zingine. Ni kweli BASATA wamekuwa wakilalamikiwa kuhusu Urasimu wa tuzo...
  6. theHAVARD_product

    Hamasa ya zitto na taifa stars!

    Binafsi napendezwa na UZALENDO wa ZZK katika TAIFA STARS amekuwa na morale ya aina yake katika Timu yetu!!Nakiri kupendezwa nalo,Amekuwa Mmoja wa WANAHARAKATI wa kutetea HAKIMILIKI za Wasanii kupitia Ringtones yaani kupitia Mrabaha wa #RTB na kwingineko. This guy amejipambanua VILIVYO katika...
  7. theHAVARD_product

    Ubalozi wa tanzania sauzi mtendeeni haki ngwair

    Jana nilikuwa Natweet na ndugu yangu Chahali,Kuhusu Ubalozi wa Tanzania RSA,na kuniambia Urasimu wa ubalozi huo sikuamini! Na Ubalozi unasema haumjui Msanii NGWAIR(jana)!! LEO, Unashindwa hata kusaidia taratibu za kumsafirisha!! Msanii kama huyu 4MIL Ubalozi unashindwa kutoa!! Mpaka watu...
  8. theHAVARD_product

    P-Funk naye aishukia Clouds FM

    Kwa Mujibu wa Dj.CHOKA P-funk naye Ametoa DUKUDUKU lake la Moyoni kuhusuu kifo cha ALBERT MANGWEA! WANAJAMVI MNA MAONI GANI??
  9. theHAVARD_product

    Nas escobar,still an expensive rapper!

    Kwa wale,wapenzi wa muziki wa ukweli,Real Music watakuwa wanamfahamu Nguli huyu wa Rapper. Hasa wale Vijana wa 1990'S,the boy Made it world to be around kwa hits kalii. Though Modern hiphop imeshika KASI sana miaka hii,na Jamaa ni Real so Ngoma anatoa NADRAA sana. Shows zake ni kuanzia...
  10. theHAVARD_product

    CHADEMA NA m4c na PROJECTORS..KAMPENI HALISIA KABISA

    ​Nadhani imefika mahala CHADEMA ikatumia njia nyigine kufikia watu..Walianza na Choper,na walifanikiwa sana katika hili mwaka 2005,2010 na hata 2015 itazidi kuwasaidia,na hasa baada ya sasa kumiliki Choper NNE! Katika SIASA za Afrika ambapo JAMII kubwa ni UNEDUCATED kufikia watu wengi na...
  11. theHAVARD_product

    CCM, misifa kwa Kikwete na deni la taifa!

    Wana JF nimekuja hapa tena baada kusikitishwa na Jinsi Nyerere na Ukiachilia mbali wailomtangulia wanavyobezwa katika Majukwaa ya 'Kisiasa' ya Serikali hii katika kuzindua Miradi ya TAIFA ! Iwe katika Barabara,Hospitali au pengine pale! Ni MISIFAAAAA tuuuuuu! kana kwamba R.I.P Nyerere hakufanya...
  12. theHAVARD_product

    LIKE NEW hp NOTEBOOK

    Niko na Hp NoteBook nimeitumia kidogo baada ya Ku-upgrade,iko poa sana bei laki5 FEAUTURES!AMD C-50 processor,2gb RAM,2ghz250 gb HD,WEBcam,CARD Reader n0-0764920175
  13. theHAVARD_product

    Propaganda ya mauaji imefanikiwa... CHADEMA fanyeni hiki!

    Kwanza nianze kusema mimi ni NAM person..sifungumani na Upande wowote Hasa katika Maslahi na matakwa ya wananchi,,im free opened MIND! Ndo maana naweza kusema kuwa CCM sasa kuna baadhi ya Mawaziri wanafanya Vizuri mfano,Kagasheki na Mwakyembe! Si hata vibaya CDM wakawa wanawapongeza Mawaziri...
  14. theHAVARD_product

    Nauza refurbished samsung impression

    ZINAKUJA NJIANI,ziko nyingi..specificationz zake hizi hapa GENERAL 2G Network GSM 850 / 900 / 1800 / 1900 3G Network HSDPA 850 / 1900 BODY Dimensions 114 x 58 x 15 mm Weight 150 g Keyboard QWERTY DISPLAY Type AMOLED resistive touchscreen, 256K colors Size 240 x 400 pixels...
  15. theHAVARD_product

    NATAFUTA PALM PRE 2 au HP PALM 3

    WAkuu napenda sana hizi simu, i love WebOS...ambaye anayo kati ya hizi nayo aniPM
  16. theHAVARD_product

    WAZIRI MASELE ananikosha..

    Wakuu nimekuwa nikifuatilia mtiririko wa huyu jamaa ,na siku hadi siku anzidi kuonesha Kile kitu ambacho hakijafanywa miaka mini cheki hii ya KARIBUNI. NAIBU Waziri wa Nishati na Madini,Stephen Masele ameiamuru kampuni ya TanzaniteOne kuacha kumwaga maji kwenye migodi ya wachimbaji wadogo wa...
Back
Top Bottom