Maajabu ya tanzania kutaka kwenda world cup na team ya ‘kuungaunga’

theHAVARD_product

theHAVARD_product

JF-Expert Member
Joined
May 4, 2012
Messages
290
Likes
133
Points
60
theHAVARD_product

theHAVARD_product

JF-Expert Member
Joined May 4, 2012
290 133 60
Kwanza nasikitika kwa Team yetu pendwa ya Taifa Stars kukatishwa Rasmi Matumaini ya kwenda WORLD CUP mwaka 2014 na timu ya IVORY COAST. Ni hudhuni kweli.
Katika kipindi hichi ambacho Watanzania tulikuwa na MORALE isiyo na Mfano. It was a Great Moment.

Kwanza nianze kusema,TANZANIA tunakosa mbinu,we have no plans. Kwanini?? Ni ukweli uliodhahiri,tumekuwa Washabiki tusiokuwa na mipango. Na hili nalaumu sana TFF na serikali. Ila hasa TFF ambao inabidi wapange mbinu za Kui’forward kwa serikali ‘Labda’ iwasaidie.

Binafsi sijawahi kuona Nchi inashiriki WORLD CUP kwa wachezaji wa ‘KUUNGAUNGA’ wanaocheza nchini Tu. That’s a pathetic dream,Realy pathetic.

Huwezi kutegemea wachezaji wanaocheza SIMBA,YANGA ,AZAM na TP-MAZEMBE kuQualify WORLD CUP!!! Labda turudi nyuma kidogo,Watu wengi walishangaa sana KUFUZU kwa SENEGAL WORLD CUP 2002. But it was not a just IBAHAT,Waliwekeza na walikuwa na Wachezaji professionals. Akina Diouf, Diop, H&S camara,O.Daf nk walikuwa professionals wanaocheza team nzuri tu ulaya.

Tena Togo na Angola, Ivory coast walipofuzu 2006 walikuwa na Proffesionals!!
mfano:Togo(Adebayor,M.kader, Kossi Agassa, Mamam Cherif Touré nk
Ivory Coast(Drogba, Zakora,Toure, Aruna Dindane , Yaya Touré, nk
Angola(André Macanga, Paulo Figueiredo, Marco Airosa, Kali nk

Ukweli ni kuwa Sijawahi kuona timu Afrika inafuzu WORLD CUP kwa kutumia Wachezaji wa Ndani tu,na professionals wa kubahatisha. SIJAWAHI!
Mipira ni mipango wenzetu walifanikiwa kuwekeza vijana wao Ulaya kwanini na sisi tushindwe?!

Togo(France), Ivory Coast(France), Angola(Portugal).

Ajabu TFF wameshindwa hata kulea kituo cha Tanzania Soccer Academy! Hawa watu wanawaza kula tu.

Ukiwa na Mipango,ukiikosa WORLD CUP unaweza hata kudondokea AFCON.

Labda niwasaidie TFF mipango.

Hakuna mipango mingi zaidi ya kuwa na Proffesionals. Wachezaji wa uwakika na kujiamini pia. Kuwekeza wachezaji nje ya nchi inawezekana,na nchi nyingi zinafanya.
TFF iwekeze wachezaji nje ambao itakuwa inawagharamia kwa mikataba maalumu, kwa ku’share gharama na Timu husika au kituo husika.
Unaweza hata kuwekeza wachezaji zaidi ISHIRINI ulaya . TFF ikitoa Nia na kusadiwa na Serikali pia.

Lets say,Unaenda Sunderland(Marafiki wa simba) unawekeza wanne.

Unaenda Germany unawekeza wanne kwa clubs na vituo tofauti.

Unaenda France unawekeza wanne kwa clubs na vituo tofauti.

Unaenda Russia unawekeza wanne kwa clubs na vituo tofauti.

Unaenda Italy unawekeza wanne kwa clubs na vituo tofauti.

Na hili nimeliona na linafanyika sana kwa nchi zenye kiu kabisa ya maendeleo.
Sidhani kama itakua gharama kubwa sana,na sidhani kama nchi inashindwa kwa kupitia Friendship policies ambazo tunazo na nchi nyingi.
Kiukweli hatuwezi kusonga kwa namna hii, inabidi tujitoe kweli.

Kwa namna hii hatutafika daima na kama tutafika tutachukua miaka NENDA RUDI.

wakuu NAWASILISHA.
 
Sabayi

Sabayi

JF-Expert Member
Joined
Dec 4, 2010
Messages
2,321
Likes
83
Points
145
Sabayi

Sabayi

JF-Expert Member
Joined Dec 4, 2010
2,321 83 145
Huna jipya kalale Taifa stars ilicheza vizuri kuliko hata hiyo ivory cost yenye profesionals wengi tulizidiwa vitu vichache tu sio mpira
 
faby

faby

JF-Expert Member
Joined
Feb 18, 2011
Messages
2,227
Likes
26
Points
145
faby

faby

JF-Expert Member
Joined Feb 18, 2011
2,227 26 145
Huna jipya kalale Taifa stars ilicheza vizuri kuliko hata hiyo ivory cost yenye profesionals wengi tulizidiwa vitu vichache tu sio mpira
Kabisaaaa. Tulipoteza clear chances nyingi.
 
Mauza uza

Mauza uza

JF-Expert Member
Joined
Jul 24, 2008
Messages
2,108
Likes
839
Points
280
Mauza uza

Mauza uza

JF-Expert Member
Joined Jul 24, 2008
2,108 839 280
Huna jipya kalale Taifa stars ilicheza vizuri kuliko hata hiyo ivory cost yenye profesionals wengi tulizidiwa vitu vichache tu sio mpira
ww ndo huujui mpira..hivyo vichache ndo wenzako wamefundishwa kushindia game la ugenini..jamaa kaongea ukweli huwezi qualify world cup kwa wachezaji hawa local tulionao...tutabaki hivyo hivyo kufungwa twafungwa lakini chenga twawala!!!!
 
J

JIWEGANGI

JF-Expert Member
Joined
Jan 25, 2013
Messages
951
Likes
142
Points
60
J

JIWEGANGI

JF-Expert Member
Joined Jan 25, 2013
951 142 60
mmmh,napita.:kev:
 
Mauza uza

Mauza uza

JF-Expert Member
Joined
Jul 24, 2008
Messages
2,108
Likes
839
Points
280
Mauza uza

Mauza uza

JF-Expert Member
Joined Jul 24, 2008
2,108 839 280
kwa mpira huu huu wa kuleta akina mbuyu,niyonzima,kiiza,cjui okwi na kuwalipa pesa mingi badala ya kukuza vipaji vya vijana wetu..kwenda kombe la dunia ni ndoto za mwendawazimu....bongo tunapenda kuigiza sana hivi kwa mpira gani tunaleta wachezaji wageni kibao na kuacha vijana wetu???hapo hatuendelezi bali tunaua mpira...uliona wapi nchi ikapanda juu kimpira kwa kuokoteza wachezaji wageni kwenye vilabu vyake???angalia Uingereza wachezaji wengi kwenye PL wanaiua timu yao ya taifa inastruggle kwenye internationals....ukitaka kujua naongea nn angalia mpira wa spain na germany....vilabu vyao 95% ni wazawa tofauti na Uingereza..
 
Sabayi

Sabayi

JF-Expert Member
Joined
Dec 4, 2010
Messages
2,321
Likes
83
Points
145
Sabayi

Sabayi

JF-Expert Member
Joined Dec 4, 2010
2,321 83 145
ww ndo huujui mpira..hivyo vichache ndo wenzako wamefundishwa kushindia game la ugenini..jamaa kaongea ukweli huwezi qualify world cup kwa wachezaji hawa local tulionao...tutabaki hivyo hivyo kufungwa twafungwa lakini chenga twawala!!!!
Ni sheria gani hiyo ya Fifa inayosema lazima uwe na professional players ndo ufuzu? acha kukariri unajua kikosi cha naigeria sasahivi kina professional players wangapi?
 
theHAVARD_product

theHAVARD_product

JF-Expert Member
Joined
May 4, 2012
Messages
290
Likes
133
Points
60
theHAVARD_product

theHAVARD_product

JF-Expert Member
Joined May 4, 2012
290 133 60
Ni sheria gani hiyo ya Fifa inayosema lazima uwe na professional players ndo ufuzu? acha kukariri unajua kikosi cha naigeria sasahivi kina professional players wangapi?
Suala si sheria,nimeongelea mikakati na mipango kazi. Haya Tegemea kama tutakwenda WORLD CUP na hawa wachezaji wa Azam,Yanga na Simba pekee.
 
theHAVARD_product

theHAVARD_product

JF-Expert Member
Joined
May 4, 2012
Messages
290
Likes
133
Points
60
theHAVARD_product

theHAVARD_product

JF-Expert Member
Joined May 4, 2012
290 133 60
theHAVARD_product

theHAVARD_product

JF-Expert Member
Joined
May 4, 2012
Messages
290
Likes
133
Points
60
theHAVARD_product

theHAVARD_product

JF-Expert Member
Joined May 4, 2012
290 133 60
Huna jipya kalale Taifa stars ilicheza vizuri kuliko hata hiyo ivory cost yenye profesionals wengi tulizidiwa vitu vichache tu sio mpira
Ulitaka tufungwe Ishirini ndo uamini kama tumezidiwa!!!??mpira hauko hivyo..few Mistakes ndio huzaa goals.
Ila mwisho wa siku watu wanangalia nani ameshinda.
Japan kafungwa 3-0 juzi na Brazil,Ila hawawezi kutoa statement ya kijinga kwamba tumezidiwa kidogo. Football its all about winning,hata Goli moja.
 
Msarendo

Msarendo

JF-Expert Member
Joined
Jan 29, 2011
Messages
9,507
Likes
3,773
Points
280
Msarendo

Msarendo

JF-Expert Member
Joined Jan 29, 2011
9,507 3,773 280
wanaumwa Kagame Cup inawashinda, sasa wanataka kupiga hatua Millioni moja hadi worldcup.
 
KakaJambazi

KakaJambazi

JF-Expert Member
Joined
Jun 5, 2009
Messages
16,228
Likes
4,625
Points
280
KakaJambazi

KakaJambazi

JF-Expert Member
Joined Jun 5, 2009
16,228 4,625 280
Huwa wanatulazimisha tupige mayowe uwanjani eti ndo tutaonyesha sappoti wakati wanacheza kisharobaro.
 
Sabayi

Sabayi

JF-Expert Member
Joined
Dec 4, 2010
Messages
2,321
Likes
83
Points
145
Sabayi

Sabayi

JF-Expert Member
Joined Dec 4, 2010
2,321 83 145
Ulitaka tufungwe Ishirini ndo uamini kama tumezidiwa!!!??mpira hauko hivyo..few Mistakes ndio huzaa goals.
Ila mwisho wa siku watu wanangalia nani ameshinda.
Japan kafungwa 3-0 juzi na Brazil,Ila hawawezi kutoa statement ya kijinga kwamba tumezidiwa kidogo. Football its all about winning,hata Goli moja.
Waliosema ambaye hajui alikotoka hawezi jua aendako walikuwa sahihi kabisa kumbuka miaka michache iliyopita hatukuweza kucheza kwa kiwango tulichocheza jana so pamoja na kupoteza mchezo hatujapoteza mwelekeo that's more important than winning yesterday's game timu haijengwi kwa siku moja tu hakuna muujiza it takes time and we are on the right truck unless otherwise
 
INGENJA

INGENJA

JF-Expert Member
Joined
Sep 11, 2012
Messages
4,985
Likes
3,585
Points
280
INGENJA

INGENJA

JF-Expert Member
Joined Sep 11, 2012
4,985 3,585 280
Kwanza nasikitika kwa Team yetu pendwa ya Taifa Stars kukatishwa Rasmi Matumaini ya kwenda WORLD CUP mwaka 2014 na timu ya IVORY COAST. Ni hudhuni kweli.
Katika kipindi hichi ambacho Watanzania tulikuwa na MORALE isiyo na Mfano. It was a Great Moment.

Kwanza nianze kusema,TANZANIA tunakosa mbinu,we have no plans. Kwanini?? Ni ukweli uliodhahiri,tumekuwa Washabiki tusiokuwa na mipango. Na hili nalaumu sana TFF na serikali. Ila hasa TFF ambao inabidi wapange mbinu za Kui'forward kwa serikali ‘Labda' iwasaidie.

Binafsi sijawahi kuona Nchi inashiriki WORLD CUP kwa wachezaji wa ‘KUUNGAUNGA' wanaocheza nchini Tu. That's a pathetic dream,Realy pathetic.

Huwezi kutegemea wachezaji wanaocheza SIMBA,YANGA ,AZAM na TP-MAZEMBE kuQualify WORLD CUP!!! Labda turudi nyuma kidogo,Watu wengi walishangaa sana KUFUZU kwa SENEGAL WORLD CUP 2002. But it was not a just IBAHAT,Waliwekeza na walikuwa na Wachezaji professionals. Akina Diouf, Diop, H&S camara,O.Daf nk walikuwa professionals wanaocheza team nzuri tu ulaya.

Tena Togo na Angola, Ivory coast walipofuzu 2006 walikuwa na Proffesionals!!
mfano:Togo(Adebayor,M.kader, Kossi Agassa, Mamam Cherif Touré nk
Ivory Coast(Drogba, Zakora,Toure, Aruna Dindane , Yaya Touré, nk
Angola(André Macanga, Paulo Figueiredo, Marco Airosa, Kali nk

Ukweli ni kuwa Sijawahi kuona timu Afrika inafuzu WORLD CUP kwa kutumia Wachezaji wa Ndani tu,na professionals wa kubahatisha. SIJAWAHI!
Mipira ni mipango wenzetu walifanikiwa kuwekeza vijana wao Ulaya kwanini na sisi tushindwe?!

Togo(France), Ivory Coast(France), Angola(Portugal).

Ajabu TFF wameshindwa hata kulea kituo cha Tanzania Soccer Academy! Hawa watu wanawaza kula tu.

Ukiwa na Mipango,ukiikosa WORLD CUP unaweza hata kudondokea AFCON.

Labda niwasaidie TFF mipango.

Hakuna mipango mingi zaidi ya kuwa na Proffesionals. Wachezaji wa uwakika na kujiamini pia. Kuwekeza wachezaji nje ya nchi inawezekana,na nchi nyingi zinafanya.
TFF iwekeze wachezaji nje ambao itakuwa inawagharamia kwa mikataba maalumu, kwa ku'share gharama na Timu husika au kituo husika.
Unaweza hata kuwekeza wachezaji zaidi ISHIRINI ulaya . TFF ikitoa Nia na kusadiwa na Serikali pia.

Lets say,Unaenda Sunderland(Marafiki wa simba) unawekeza wanne.

Unaenda Germany unawekeza wanne kwa clubs na vituo tofauti.

Unaenda France unawekeza wanne kwa clubs na vituo tofauti.

Unaenda Russia unawekeza wanne kwa clubs na vituo tofauti.

Unaenda Italy unawekeza wanne kwa clubs na vituo tofauti.

Na hili nimeliona na linafanyika sana kwa nchi zenye kiu kabisa ya maendeleo.
Sidhani kama itakua gharama kubwa sana,na sidhani kama nchi inashindwa kwa kupitia Friendship policies ambazo tunazo na nchi nyingi.
Kiukweli hatuwezi kusonga kwa namna hii, inabidi tujitoe kweli.

Kwa namna hii hatutafika daima na kama tutafika tutachukua miaka NENDA RUDI.

wakuu NAWASILISHA.
issue sio kuwana professional player kwenye kikosi ilikushiriki World cup,kuna vingi vya kujifunza ikiwsamo hata ligi yetu kutoka kwenye ridhaa na kuwa ya kiprofessional zaid,pia cha kuzingatia nikuijenga team ambayo itaundwa kwa vijana wengi kama hawa wasasa ambao watakaa muda mrefu kwapamoja na wakapata mechi za kimataifa nyingi kuwajengea confidence,kumbka taifa stars iliyo cheza na ivory coast inautofauti mkubwa na taifa stars iliyo cheza na cameroon au senegal.Nahis mipango ya mwalim ni kuiandaa compete taifa stars ya world cup 2018 na African Cup of nations kingine ni sisi kama wadau na mashabiki wa taifa stars kuipa team na mwalim hali zaid na nafasi ya kiutendaji..hii team ni bora na ilistahili kucheza World cup ya 2014 tulizidiwa mbinu na ufundi ilatulicheza vizuri kuanzia mechi ya Gambia mpaka ya jana...Tunaitaji muda zaid wakujenga team yenye ushindani zaid
 
theHAVARD_product

theHAVARD_product

JF-Expert Member
Joined
May 4, 2012
Messages
290
Likes
133
Points
60
theHAVARD_product

theHAVARD_product

JF-Expert Member
Joined May 4, 2012
290 133 60
wanaumwa Kagame Cup inawashinda, sasa wanataka kupiga hatua Millioni moja hadi worldcup.
Ni kweli,Tunaweza kufika kama tukifanikiwa kuwekeza wachezaji nnje. Na pia hadi leo sijaona nia ya dhati ya TFF. Kama walishindwa kulea TSA tu!
 
theHAVARD_product

theHAVARD_product

JF-Expert Member
Joined
May 4, 2012
Messages
290
Likes
133
Points
60
theHAVARD_product

theHAVARD_product

JF-Expert Member
Joined May 4, 2012
290 133 60
Waliosema ambaye hajui alikotoka hawezi jua aendako walikuwa sahihi kabisa kumbuka miaka michache iliyopita hatukuweza kucheza kwa kiwango tulichocheza jana so pamoja na kupoteza mchezo hatujapoteza mwelekeo that's more important than winning yesterday's game timu haijengwi kwa siku moja tu hakuna muujiza it takes time and we are on the right truck unless otherwise
Tutafikaje sasa kama TFF wameshindwa kuwekeza tu ligi ya ndani kuwa na Ushindani?? na bila ya kuwekeza wachezaji?
Hujui kama hawa watu wameshindwa tu hata kulea TSA(Tanzania Soccer Academy)!
 
MKATA KIU

MKATA KIU

JF-Expert Member
Joined
Nov 22, 2010
Messages
2,161
Likes
1,011
Points
280
MKATA KIU

MKATA KIU

JF-Expert Member
Joined Nov 22, 2010
2,161 1,011 280
Tatizo watanzania hatutaki kukubali ukweli na tunabisha hata tusichokijua..

Jamaa ameongea ukweli mtupu safari ya world cup ni ngumu sana zaidi ya tunavyofikiria.. Na bila kua na proffessional player wanaocheza ulaya ( kwenye mpira wa kiwango cha juu) haiwezekani kupata chance ya world cup..

Africa kuna nchi 61 kwa ujumla lakini chance ya world cup ni nchi 5 tu.. Sasa wewe upate chance 5 katika 61 kwa kutegemea wachezaji wa yanga, simba, mazembe na azam thubutuuuuuu..

Huyo ivory coast mwenyewe anaongoza kundi lakini unaweza kukuta nae ashindwe kwa qualify maana baada ya hapo kitachofata ni play offs za group winners kutafuta team 5 za mwisho zitazoiwakilisha Africa kwenye world cup.. So safari ni ngumu sana
 
NullPointer

NullPointer

JF-Expert Member
Joined
Feb 7, 2011
Messages
3,480
Likes
731
Points
280
NullPointer

NullPointer

JF-Expert Member
Joined Feb 7, 2011
3,480 731 280
Sasa ndugu unategemea utapata mtu anayechezea timu za nje kama hajafikia kiwango cha kuchaguliwa? Au unadhani hao unaowaita 'professionals' walikua wanababaisha wakachukuliwa? We unataka tuchukue professionals wanaotoka nje, haya tuambie nani na nani awekwe kwenye hiyo timu, jina hamna kwa nini tusitumie hawa waliopo.
 
theHAVARD_product

theHAVARD_product

JF-Expert Member
Joined
May 4, 2012
Messages
290
Likes
133
Points
60
theHAVARD_product

theHAVARD_product

JF-Expert Member
Joined May 4, 2012
290 133 60
issue sio kuwana professional player kwenye kikosi ilikushiriki World cup,kuna vingi vya kujifunza ikiwsamo hata ligi yetu kutoka kwenye ridhaa na kuwa ya kiprofessional zaid,pia cha kuzingatia nikuijenga team ambayo itaundwa kwa vijana wengi kama hawa wasasa ambao watakaa muda mrefu kwapamoja na wakapata mechi za kimataifa nyingi kuwajengea confidence,kumbka taifa stars iliyo cheza na ivory coast inautofauti mkubwa na taifa stars iliyo cheza na cameroon au senegal.Nahis mipango ya mwalim ni kuiandaa compete taifa stars ya world cup 2018 na African Cup of nations kingine ni sisi kama wadau na mashabiki wa taifa stars kuipa team na mwalim hali zaid na nafasi ya kiutendaji..hii team ni bora na ilistahili kucheza World cup ya 2014 tulizidiwa mbinu na ufundi ilatulicheza vizuri kuanzia mechi ya Gambia mpaka ya jana...Tunaitaji muda zaid wakujenga team yenye ushindani zaid
NITAJIE nchi iliyowahi Fuzu WORLD CUP kutoka Africa kwa Home players tu?!
 
theHAVARD_product

theHAVARD_product

JF-Expert Member
Joined
May 4, 2012
Messages
290
Likes
133
Points
60
theHAVARD_product

theHAVARD_product

JF-Expert Member
Joined May 4, 2012
290 133 60
Sasa ndugu unategemea utapata mtu anayechezea timu za nje kama hajafikia kiwango cha kuchaguliwa? Au unadhani hao unaowaita 'professionals' walikua wanababaisha wakachukuliwa? We unataka tuchukue professionals wanaotoka nje, haya tuambie nani na nani awekwe kwenye hiyo timu, jina hamna kwa nini tusitumie hawa waliopo.
Nimezungumzia kuhusu kuwekeza wachezaji(Vijana wadogo) ulaya,soma vizuri nlichokiandika. Na hilo linawezekana. Wenzetu walifanya na wakafanikiwa.
Hata kama tukianza na hawa COPA COCACOLA wa mwaka huu.
 
Forum statistics

Threads 1,275,113
Members 490,908
Posts 30,532,960