Search results

  1. Chum Chang

    Nje ndani sheria ya ndoa kwa mabint

    Kifungu cha 13 (1) cha Sheria ya Ndoa sura ya 29, kinasema kuwa mwanamume mwenye umri wa chini ya miaka 18 na mwanamke mwenye umri wa chini ya miaka 15 hawaruhusiwi kufunga ndoa na mtu yeyote lakini kifungu cha 13 (2) kinaipa Mahakama mamlaka ya kufungisha ndoa baada ya maombi maalumu. Mahakama...
  2. Chum Chang

    Nje ndani sheria ya ndoa kwa mabint

    Kifungu cha 13 (1) cha Sheria ya Ndoa sura ya 29, kinasema kuwa mwanamume mwenye umri wa chini ya miaka 18 na mwanamke mwenye umri wa chini ya miaka 15 hawaruhusiwi kufunga ndoa na mtu yeyote lakini kifungu cha 13 (2) kinaipa Mahakama mamlaka ya kufungisha ndoa baada ya maombi maalumu...
  3. Chum Chang

    Kwa wale wapenzi wa mbio za magari

    Mchezo unaozidi kupoteza mvuto wa mashabiki nchini Tanzania lakini kwa mataifa mengine ni mchezo unaowavutia wengi na kwa kila dereva anataka kushinda nakuonyesha uwezo wake...Una picha iliyokuvutia Dakar 2013 Argentina
  4. Chum Chang

    Sio uongozi tuu hata uganga nauweza

    Nitakapo staff hii ndio itakuwa kazi yangu ya kutibu na kuwatibua wenye matatizo kwa msaada mkubwa wa muumba mbingu na ardhi
  5. Chum Chang

    DNA.wengi kusambaratisha mahusiano na ndoa zao

    Baada ya Frederica kukilalamikia kipimo cha kinasaba DNA kusambaratisha ndoa yake baada ya ugomvi mkubwa na mumewe kuhisi mtoto aliezaliwa kuonekana mwenye asili ya Asia toka rangi hadi nywele na kwenda kupima DNA na majibu kuonyesha mtoto huyo mtoto si wa mume usika na kusambaratisa ndoa yao...
  6. Chum Chang

    Unafiki-ri wa waandishi

    Walitoa kauri ya kuwasusa maafande kwa kuto toa habari zinazowahusu Leo Mjengwa blog,Michuzi pamoja na Jiachie wamewaweka maasimu wao Je ni unafiki-ri au ndio sitaki nataka yao? R I P Mwangosi Waandishi wachemsha tena kila news ni mauaji ya Kamanda wa Polis auwawa mjini Mwanza,Jamani vp zile...
  7. Chum Chang

    ujenzi kwenye ardhi ya udongo mfinyanzi

    Msaada au maoni ya kitaalam kuh ujenzi wa nyumba kwenye ardhi ya udongo mfinyanzi.Nimeamua kutafakari nanyi wenzangu wa JAMII INTELLIGENCE kwa maana ukitaka kwenda mbio lazima uagane na nyonga.Dunia hii si ya kukurupuka tuu kama kuna wasaa kwa anaehitaji ana budi kuwauliza wenzie nami sina...
  8. Chum Chang

    Ofa maalum,Kwa wagonjwa tuu

    WEWE ULIE MZIMA UKICHEKA JF TUNAKUPIMA AKILI FROM KUDADADEKII CAMP
  9. Chum Chang

    Apanda mlima kilimanjaro kwa mikono

    Ni Spencer West.Licha ya kutokuwa na miguu lakini amefanikiwa kupanda Mlima Knjaro Spencer ni mfano hai ndani ya maisha yetu ya kila siku... Tukiwa na dhamila tutafanikiwa haswa kwa jambo jema why not chanzo mpituli.blogspot.com
  10. Chum Chang

    Sinzia tamu kuliko?

    Sanaa na wasanii
  11. Chum Chang

    Baby boy born with qur an

    MTOTO AZALIWA AKIWA NA QUR AN MKONONI Allah akbar Allah akbar ilisikika mjini Lagos Nigeria mara baada ya kubaini kilichoshikiriwa mkononi ilikuwa Qur an tukufu kitabu kinachobainisha haki na batri kwa mujibu wa iman ya dini ya kiislam,Bibi na Mama mzazi wa mtoto huyo wote wamebadili dini na...
  12. Chum Chang

    Alivyosahaulika Masha ndivyo itakavyo kuwa kwako Maige

    Hii ndio Bongo the land of chukua chako uwende zako.Raia wake ni mabingwa wa kusahau japo si wote na ni mashabiki wa jambo jipya,Asikwambie mtu eti siasa ni mchezo mchafu!La hasha.Ni mchezo mchafu ndio siasa Mh na nihii alikuwepo sasa chali
  13. Chum Chang

    Chekeche jipya la mawaziri lanunikia muda si mrefu

    NANI AWEPO NANI ASIWEPO NA KWA NINI? Hii ilikuwa baada ya Lowasa kuachia ngazi...chanzo african magic Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Utawala Bora - Mathias Chikawe Waziri wa Nchi, Oisi ya Rais, Mahusiano na Uratibu - Steven Wassira Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa...
  14. Chum Chang

    Toka lini kesi ya nyani akapekewa ngedele

    Eti wote si wale wale......Nani wa kumpa hii kesi? Na nini dawa ya huyu nyenze mwenye mapengo? Ni makauzu zaidi ya dagaa na hawafai kulumagia wala kula umo umo Hakika wahenga walisema kesi ya nyani asipewe ngedele
  15. Chum Chang

    British say no to racism (ni domo si vitendo)

    Wa laaniwe wanaowabagua wenzao.Wanaongoza kupinga vitendo vya kibaguzi duniani.Tukubari tukatae hilo ni domo lao tuu vitendo vyao SAY YES TO RACISM angalia kwenye uwanja huu ni British tuu ndege za nchi nyengine ziko kwengine
  16. Chum Chang

    Jinsia mbili za kike

    Rafiki yangu wa zamani ambae sasa ni mpenzi wangu ana jinsia mbili za kike.siku kadhaa kabla hatujakuta faragha na huyu msichana aliniambia kuwa yeye ana jinsia mbili za kike kwa kweli sikuamini lakini sasa nimejionea na nampongeza muumba kwa usanifu wake mkubwa....ANADAI ANAPOKUWA KWENYE SIKU...
  17. Chum Chang

    Makonda na lugha usizo zitalajia

    Nilikuwa kwenye daladala Ubungo Posta kuna mama mmoja mjamzito ana muomba konda Yule mama alisikika..Gari limejaa ondoeni gari joto limezidi Konda..inayo jaa chupa ya bia mama wala sio gari alafu kama kuna joto nenda kapande friji likupeleke unakokwenda Yule mama akasema..Ahsante kwa majibu...
Back
Top Bottom