Kwa wale wapenzi wa mbio za magari

Kwa wale wapenzi wa mbio za magari

Chum Chang

JF-Expert Member
Joined
Apr 2, 2012
Posts
999
Reaction score
272
dakar-rally-death-toll-3147_4.jpg
Mchezo unaozidi kupoteza mvuto wa mashabiki nchini Tanzania lakini kwa mataifa mengine ni mchezo unaowavutia wengi na kwa kila dereva anataka kushinda nakuonyesha uwezo wake...Una picha iliyokuvutia Dakar 2013 Argentina
 
mwaka huu ni mashindano ya magari tu,kwa wale wenye magari makukuu na mabovu,awayelete tuya-pimp kwa kazi hiyo
 
images.jpg
Hii ni moja kati ya ajali zinazojiri kila na baada ya mashindano ya Dakar rally..Haimanishi kuogopa kwa wale madereva na wapenda mashindano ya magari,
Asili ya Dakar rally ni Africa eneo ya Sahara yaliamishwa kutoka na mizozo pamoja na mapigano kwenye baadhi ya nchi na kuamua kuyaamishia bara la America
Madereva wengi waliojiwa wanasema hayana mvuta kama ule wa Sahara kumekuwa na unafuu mkubwa wa ghalama baada ya kuamishwa lakini wanapendekeza kurudi Africa kwenye mvuto na msisimko wa aina yake toka kwetu sisi na mashabiki wetu na kuomba mizozo na migongano imalizike ili bara la Africa liendelee na kujipatia umarufu wake kwa kupitia Dakar na mambo mengine
 
dakar 3.jpg
Unaruka ukitua unamuliza msoma ramani kwako vp akijibu kwangu poa unavuta mafuta kuliko mwanzo
 
wizi dakar.jpg
Tabia ya kuwaibia waliopata ajali si Tanzania tuu hata Argentina iko..Dogo yuko chini ya ulinzi baada ya arobaini yake kutimia
 
Bonzon.jpg
Hii ni Tanzania dereva Bonzon akichanja mbuga akitokea Arusha na kuitafuta milima ya Usambara
 
Dakar-rally-jpg.jpg
Upande mwengine mambo hayaendi kama wengi tunavyotarajia..Pichani gari likiwaka moto na lingine likimwaga vumbi
 
dakar 2013.jpg
Mshiriki wa Dakar amabe ni mlemavu dereva na msoma ramani akishuka baada kumalizka kwa mbio leo hii
 
Dakar  6.jpg
Dada akimpa msaada dereva wa pikipiki alietereza,,Zimebaki siku 6 kumalizika kwa mashindano ya Dakary rally
 
dakar 6.jpg
Hii ndio Dakar mbwembwe na michejo kila kukicha
 
Back
Top Bottom