DNA.wengi kusambaratisha mahusiano na ndoa zao

Chum Chang

JF-Expert Member
Apr 2, 2012
999
265
Baada ya Frederica kukilalamikia kipimo cha kinasaba DNA kusambaratisha ndoa yake baada ya ugomvi mkubwa na mumewe kuhisi mtoto aliezaliwa kuonekana mwenye asili ya Asia toka rangi hadi nywele na kwenda kupima DNA na majibu kuonyesha mtoto huyo mtoto si wa mume usika na kusambaratisa ndoa yao

Sasa ndoa na mahusiano mengi kuwa kwenye hali ya utata baada ya watanzania wengi kuelimika na kuchukua uwamuzi mzito wa kwenda kupima..
Jamani wenye watoto kuna ulazima wa kwenda kupima na kujua uwalali wa mtoto?
Je mtoto alie patwa na ulakini nani wa kumlea?
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

0 Reactions
Reply
Top Bottom