Unafiki-ri wa waandishi | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Unafiki-ri wa waandishi

Discussion in 'Jamii Photos' started by Chum Chang, Sep 23, 2012.

 1. Chum Chang

  Chum Chang JF-Expert Member

  #1
  Sep 23, 2012
  Joined: Apr 2, 2012
  Messages: 1,001
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 0
  [SUP] Kamanda+Liberatus+Bar;ow.jpg mjadala.JPG
  Walitoa kauri ya kuwasusa maafande kwa kuto toa habari zinazowahusu
  Leo Mjengwa blog,Michuzi pamoja na Jiachie wamewaweka maasimu wao
  Je ni unafiki-ri au ndio sitaki nataka yao?
  R I P Mwangosi
  Waandishi wachemsha tena kila news ni mauaji ya Kamanda wa Polis auwawa mjini Mwanza,Jamani vp zile kauli zao washa zisahau?Maneno yawe na vitendo [/SUP]
   
 2. Ndibalema

  Ndibalema JF-Expert Member

  #2
  Sep 23, 2012
  Joined: Apr 26, 2008
  Messages: 10,916
  Likes Received: 131
  Trophy Points: 160
  Hivi Michuzi ni mwandishi wa habari au mpiga picha tuu?
   
 3. Mohamedi Mtoi

  Mohamedi Mtoi R I P

  #3
  Sep 23, 2012
  Joined: Dec 11, 2010
  Messages: 3,326
  Likes Received: 44
  Trophy Points: 0
  Wote wanafikiri kwa kutumia matumbo. Njaa ni kitu kibaya kuliko unacho ogopa.

  Sent from BlackBerry 8520 authorized by JamiiForums.
   
 4. tatanyengo

  tatanyengo JF-Expert Member

  #4
  Sep 23, 2012
  Joined: Mar 30, 2011
  Messages: 1,140
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 135
  Kuna baadhi ya waandishi wanatumiwa, wengine wanawinda vyeo serikalini.
   
 5. Cheche Mtungi

  Cheche Mtungi JF-Expert Member

  #5
  Sep 23, 2012
  Joined: Nov 14, 2010
  Messages: 2,487
  Likes Received: 148
  Trophy Points: 160
  Njaa tu hizo,wako kwenye payroll za wtu fulani unafikiri wanaweza kukgoma wakti wenyewe ni makanjanja?
   
 6. Royals

  Royals JF-Expert Member

  #6
  Sep 23, 2012
  Joined: Nov 19, 2011
  Messages: 1,430
  Likes Received: 32
  Trophy Points: 145
  Hao si waandishi habari bali ni viandishi habari.
   
 7. Chum Chang

  Chum Chang JF-Expert Member

  #7
  Sep 23, 2012
  Joined: Apr 2, 2012
  Messages: 1,001
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 0
  Mpiga picha na muandishi
   
 8. Chum Chang

  Chum Chang JF-Expert Member

  #8
  Sep 23, 2012
  Joined: Apr 2, 2012
  Messages: 1,001
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 0
   
 9. Chum Chang

  Chum Chang JF-Expert Member

  #9
  Sep 23, 2012
  Joined: Apr 2, 2012
  Messages: 1,001
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 0
  Hatayyi kweli kweli

  Kwa hiyo yanayofanyika wanapendezwa nayo

  Kweli makanjanja
   
 10. Tram Almasi

  Tram Almasi JF-Expert Member

  #10
  Sep 23, 2012
  Joined: Feb 26, 2009
  Messages: 755
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 35
  He is a Photo-journalist.
   
 11. Njowepo

  Njowepo JF-Expert Member

  #11
  Sep 23, 2012
  Joined: Feb 26, 2008
  Messages: 9,297
  Likes Received: 381
  Trophy Points: 180
  Njaa mbaya
   
 12. Daudi Mchambuzi

  Daudi Mchambuzi JF-Expert Member

  #12
  Sep 23, 2012
  Joined: Nov 25, 2010
  Messages: 31,789
  Likes Received: 36,800
  Trophy Points: 280
  Nani kakuambia kuwa maggid na michuzi ni waandishi wa habari??

  Sent from my BlackBerry 9700 using JamiiForums
   
 13. Chum Chang

  Chum Chang JF-Expert Member

  #13
  Sep 23, 2012
  Joined: Apr 2, 2012
  Messages: 1,001
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 0
   
 14. marejesho

  marejesho JF-Expert Member

  #14
  Sep 23, 2012
  Joined: Jan 6, 2011
  Messages: 6,539
  Likes Received: 830
  Trophy Points: 280
  Njaa sio kitu cha kuchezea!!
   
 15. Philipo Kidwanga

  Philipo Kidwanga Verified User

  #15
  Sep 24, 2012
  Joined: Jul 12, 2012
  Messages: 2,063
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  na hasa njaa hiyo ukiibebea kiroba.
   
 16. Chum Chang

  Chum Chang JF-Expert Member

  #16
  Sep 24, 2012
  Joined: Apr 2, 2012
  Messages: 1,001
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 0
  swedish-journalists.jpg
  Mpiga picha na muandishi wa Kiswidi waliokutwa na makosa nchini Ethiopia na kufungwa jela
  Kwa ushirikiano wa waandishi wa habari na serikali yao ya uko Uswidi waliweza kuwapigania na kuwatoa jela
  kilicho watoa ni ushirikiano sio kingine
  MKIWA WA MOJA MSISALITIANE LEO YEYE KESHO WEWE
   
 17. Mulhat Mpunga

  Mulhat Mpunga JF-Expert Member

  #17
  Sep 24, 2012
  Joined: Oct 28, 2010
  Messages: 25,481
  Likes Received: 12,756
  Trophy Points: 280
  photo me hahahaha
   
 18. Facilitator

  Facilitator JF-Expert Member

  #18
  Sep 24, 2012
  Joined: Oct 30, 2010
  Messages: 2,288
  Likes Received: 802
  Trophy Points: 280
  Ni photojournalist
   
Loading...