Sio uongozi tuu hata uganga nauweza

Sio uongozi tuu hata uganga nauweza

Chum Chang

JF-Expert Member
Joined
Apr 2, 2012
Posts
999
Reaction score
272
wanga na uchawi B.O.jpg
Nitakapo staff hii ndio itakuwa kazi yangu ya kutibu na kuwatibua wenye matatizo kwa msaada mkubwa wa muumba mbingu na ardhi​
 
picha duka, hawezi fanya hivyo filimason huyo
 
Mpango mzima usione noma unaweza kuni pm hata sasa​
mpango zma.jpg
 
​
witch dr 2.jpg
Kwenye shida utakiwi kuchagua dawa​
 
Wajinga ndio waliwao...... hapo chini hapo, nooooumer

Na waliowao ndio wajinga hahahaha

hawa watu huwa wanafaidi sana maana huwezi kukataa

Ndio maana nimeamua nikistaff najiunga na uganga wa jadi ili niwatibu zaidi

kamati ya ufundi.mwafrika haachi asili bhana

Si unajua tena Africa is bara likuchungwaaaa

Hii haihitaji mitoko upate totoz zenyewe zinajileta, unatafuna utakavyo!!!

Umeona na wengi wao wanataka dawa za kutuzibiti matokeo wanazibitiwa


Ndio vizuri umbea umwishe mwanamke huyu...kenge kabisa tena jamaa angesokomeza hadi
nanihiii

Hahahah wewe Elli unafaa kuwa kwenye kamati ya ufundi benchi la msaidizi
 
Babu akilishangaa tangazo Je unajua alichokuwa akikiwaza moyoni mwake?​
DAWA.JPG
 
Back
Top Bottom