Baby boy born with qur an | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Baby boy born with qur an

Discussion in 'Jamii Photos' started by Chum Chang, May 18, 2012.

Thread Status:
Not open for further replies.
 1. Chum Chang

  Chum Chang JF-Expert Member

  #1
  May 18, 2012
  Joined: Apr 2, 2012
  Messages: 1,001
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 0
  Mtoto azaliwa kashika Qur an mkononi.jpg MTOTO AZALIWA AKIWA NA QUR AN MKONONI


  Allah akbar Allah akbar ilisikika mjini Lagos Nigeria mara baada ya kubaini kilichoshikiriwa mkononi ilikuwa Qur an tukufu kitabu kinachobainisha haki na batri kwa mujibu wa iman ya dini ya kiislam,Bibi na Mama mzazi wa mtoto huyo wote wamebadili dini na kuwa waislam mara baada ya maajabu hayo.
  Mtoto amepewa jina Abdulwahab Olarewaju Babatunde
  Amesikika akisema Alhaji Ahmaad Olarewaju, who quoted the Holy Qura'n (Q41;53), “Allah said: “Soon will show them our signs in farthest part of the earth and among their own people until it become manifest to them that it is truth. It is not enough that the Lord is witness over all things.” ,
  Sos
  mpituli.blogspot.com
   
 2. SIMBA WA TARANGA

  SIMBA WA TARANGA JF-Expert Member

  #2
  May 19, 2012
  Joined: Feb 14, 2012
  Messages: 992
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Basi atakuwa kazaliwa na hizo nguo pia.
   
 3. Mwazange

  Mwazange JF-Expert Member

  #3
  May 19, 2012
  Joined: Nov 16, 2007
  Messages: 1,051
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 135
  Mbona naona kuna kibakuli cha sadaka kwa kando, au macho yangu nini?
   
 4. mnyongeni

  mnyongeni Senior Member

  #4
  May 20, 2012
  Joined: Dec 6, 2011
  Messages: 137
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  jamani ncheleleeeeeeeeeeee mie, duh, quran, nguo na kibakuli cha sadaka vyote kazaliwa navyo.
   
 5. Mchaka Mchaka

  Mchaka Mchaka JF Bronze Member

  #5
  May 20, 2012
  Joined: Jul 20, 2010
  Messages: 4,530
  Likes Received: 41
  Trophy Points: 0
  Yule kondoo "yassin" aliishia wapi?
   
 6. Erotica

  Erotica JF-Expert Member

  #6
  May 20, 2012
  Joined: Apr 24, 2012
  Messages: 2,514
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 0
  mmmh. napenda niamini, sasa nitajuaje hakijapachikwa mkononi mwake?

  mana kavishwa hadi nguo, hakikupokonyoka?
   
 7. Michael Amon

  Michael Amon Verified User

  #7
  May 20, 2012
  Joined: Dec 22, 2008
  Messages: 8,741
  Likes Received: 707
  Trophy Points: 280
  Aisee hiyo mimi napinga kabisa. Inamaana Tumbo la uzazi la mwanamke linaweza kuumba Quraan? Aisee haya ni maajabu ya mwaka.
   
 8. GITWA

  GITWA JF-Expert Member

  #8
  May 21, 2012
  Joined: Apr 1, 2012
  Messages: 699
  Likes Received: 276
  Trophy Points: 80
  Hongereni kwa ubunifu!!!!!!!!!!
   
 9. Brakelyn

  Brakelyn JF-Expert Member

  #9
  May 21, 2012
  Joined: Oct 6, 2009
  Messages: 1,236
  Likes Received: 64
  Trophy Points: 145
  Baba mzazi itakuwa alikuwa ana uwezo wa ajabu,,,
   
 10. Bufa

  Bufa JF-Expert Member

  #10
  May 21, 2012
  Joined: Mar 31, 2012
  Messages: 4,182
  Likes Received: 3,404
  Trophy Points: 280
  Nilisikia kuhusu hii habari ila hamna kitu kama hicho huyo mtoto alipewa tu Quran ili wapate habari.. Nimependa wadau waliotangua walivyoulizwa kama na hizo nguo alizaliwa nazo au niaje....
   
 11. by default

  by default JF-Expert Member

  #11
  May 21, 2012
  Joined: Jul 11, 2011
  Messages: 843
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 0
  kashaliwa mboga ya pasaka.
   
 12. RGforever

  RGforever JF-Expert Member

  #12
  May 21, 2012
  Joined: Apr 3, 2011
  Messages: 6,186
  Likes Received: 1,905
  Trophy Points: 280
  Nimeipenda hii! Ni ujinga wanataka kuleta hawa! Wangeonyesha akiwa ndo anatoka Kwenye uzazi amekishika.

  Wanadhani watu wote ni wa wakati wa Muhammad.. Unadanganywa unameza.. Huna pesa za kujikidhi kimaisha unaambiwa Ongeza Mke
   
 13. K

  Kintiku JF-Expert Member

  #13
  May 21, 2012
  Joined: Feb 3, 2011
  Messages: 611
  Likes Received: 72
  Trophy Points: 45
  Wapi papaa Salman Rushdie......
   
 14. Butola

  Butola JF-Expert Member

  #14
  May 21, 2012
  Joined: Jan 19, 2010
  Messages: 2,222
  Likes Received: 90
  Trophy Points: 145
  ...Hao ndio Wanaija aka Wapopo, akili kichwani...
   
 15. Kinyungu

  Kinyungu JF-Expert Member

  #15
  May 21, 2012
  Joined: Apr 6, 2008
  Messages: 4,381
  Likes Received: 3,341
  Trophy Points: 280
  Itabidi wamzungushe ulimwenguni kote kuonesha Maajabu ya Allah (SW).
   
 16. patience96

  patience96 JF-Expert Member

  #16
  May 21, 2012
  Joined: Aug 19, 2011
  Messages: 1,187
  Likes Received: 32
  Trophy Points: 145
  Duniani Kuna mambo! Uko wapi Ally Kombo?
   
 17. Mzizi wa Mbuyu

  Mzizi wa Mbuyu JF-Expert Member

  #17
  May 21, 2012
  Joined: May 15, 2009
  Messages: 5,499
  Likes Received: 1,078
  Trophy Points: 280
  Utetezi mwingine wa dini unatia mashaka mno!! kuliko hata .........., sasa kama ni hivyo mbona ... alikuwa na ... duh.
  Na kule .... ni...........?
  Ah tusiseme mengi bwana tusije hukumiwa mwaka humu!!!
   
 18. Utingo

  Utingo JF-Expert Member

  #18
  May 21, 2012
  Joined: Dec 15, 2009
  Messages: 7,121
  Likes Received: 184
  Trophy Points: 160
  The bigger the lie, many people will believe
   
 19. t

  thesolomon Member

  #19
  May 22, 2012
  Joined: Oct 25, 2011
  Messages: 35
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  sikio la kufa halisikii dawa, ukishabandikwa muhuri hata ufanyeje kamwe hutotoka katika imani potofu
   
 20. cacico

  cacico JF-Expert Member

  #20
  May 22, 2012
  Joined: Mar 27, 2012
  Messages: 8,392
  Likes Received: 130
  Trophy Points: 160
  kila kitu ni usanii, akipima DNA anaweza kuta hawana hata ukoo na huyo mtoto.
   
Thread Status:
Not open for further replies.
Loading...