British say no to racism (ni domo si vitendo)

Chum Chang

JF-Expert Member
Apr 2, 2012
999
272
Wa laaniwe wanaowabagua wenzao.Wanaongoza kupinga vitendo vya kibaguzi duniani.Tukubari tukatae hilo ni domo lao tuu vitendo vyao SAY YES TO RACISM angalia kwenye uwanja huu ni British tuu ndege za nchi nyengine ziko kwengine

IMG_9726.jpg
 
Attachments

  • IMG_9752.jpg
    IMG_9752.jpg
    234.9 KB · Views: 100
say no to racism.jpg all we are human
 
Attachments

  • ZIMMERMAN_WANTED_POSTER2.jpg
    ZIMMERMAN_WANTED_POSTER2.jpg
    15.1 KB · Views: 49
Hujaeleweka, na inabidi ufahamu kuwa katika viwanja vyote vya ndege duniani national airline ina exclusive rights za viwanja vya nchini mwake.
Nenda popote utakuta hilo.
 
umekurupuka hata mswaki hujapiga unataka kuwazuga watu na post zako bubu.
 
Tembea uone uncle, hiyo ni kawaida nchi zilizoendelea kunakuna na designated terminal or airports for their own flights and there racism does not apply.

Racism ni pale watakapotemteshwa wabritish kwanza before anybody!
 
Sasa niko SWISS oneni jamaa na uwanja wao ndege zote zinatua sehemu mmoja na hata hao mabwana wakubwa zenu nao wanatua hapo hapo hakuna mwenyeji wala nini,Hata kule Tza hakuna sehemu maalum ya AIR TANZANIA.tatizo mmekuwa kama tv mpaka when Britsh ...........

IMG_3064.jpg
nazani mtoa mada hajajua maana ya neno racism,
naamin ndege hazihusiki kwenye swala la racism
 
Sasa niko SWISS oneni jamaa na uwanja wao ndege zote zinatua sehemu mmoja na hata hao mabwana wakubwa zenu nao wanatua hapo hapo hakuna mwenyeji wala nini,Hata kule Tza hakuna sehemu maalum ya AIR TANZANIA.tatizo mmekuwa kama tv mpaka when Britsh ...........

View attachment 51767

serkali ya tz haihitaji sehem maalum maana hawana ndege inayoruka,na hizo zilizopaki nyingne zipo kigoma na mwanza,zimekuwa grounded kwa sababu za kifundi-kwa zile zilizoanguka naamini bado zpo eneo la ajali hadi leo
 
Ubaguzi upo hatukataii ila sio kwa mada aliyoileta.Huo ni utaratibu wa viwanja vikubwa uatakuta kila shirika la ndege hasahasa hya makubwa yana maeneo yake aende frankfurt mbona atafikili shilika moja la ndege ndo linaruhusiwa kutua
Mnampinga kwa mfano alioutoa ila ubaguzi upo ingawa si kiviiile
 
Ubaguzi upo hatukataii ila sio kwa mada aliyoileta.Huo ni utaratibu wa viwanja vikubwa uatakuta kila shirika la ndege hasahasa hya makubwa yana maeneo yake aende frankfurt mbona atafikili shilika moja la ndege ndo linaruhusiwa kutua

Je SWISS ni kiwanja kidogo cha ndege?wacha ujinga huo wa kuwapamba hayo mabaguzi
 
Tembea uone uncle, hiyo ni kawaida nchi zilizoendelea kunakuna na designated terminal or airports for their own flights and there racism does not apply.

Racism ni pale watakapotemteshwa wabritish kwanza before anybody!

Uncle ndio natembea ili nijionee mapana na marefu ya ubaguzi mambo leo
 
Back
Top Bottom