Search results

  1. kalendi

    Msaada: Nahitaji kuingiza WhatsApp kwenye Ipad yangu

    Wasaalamu wandugu! Jamaa yangu kaniletea iPad sijui hata model haina WhatsApp. Nahangaika namna ya kuingiza yangu jana bado inanizingua. Msaada wandugu nifanyeje ili niweke WhatsApp?
  2. kalendi

    Msaada Tafadhali!

    Wakuu Wasalaam? Naomba kujua historia ya hii picha maana nimekuwa naona tu mitandai naomba kujua;- 1. Huyu mtoto anaitwa nani? 2. Na kwanini anaonekana kafungwa minyororo? 3. Alikuwa raia wa taifa gani? 4. Na wakina nani walimfunga hiyo minyororo?
  3. kalendi

    Ujio wa kiongozi mwandamizi Halima Mdee kibaigwa, kibaigwa

    Salama wajumbe? Tukiwa ukumbi wa Winome Watu wanazidi kuingia ukumbini Mgeni bado hajawasili Katibu mwenezi anajaribu kuuliza makundi mbalimbali nini changamoto ya vijana, wakinamama, wanaume kushindwa kutetea nafasi mbalimbali za uongozi wa ngazi mbalimbali kwenye jamii. Baadhi ya...
  4. kalendi

    MKUTANO WA WADAU WA HUDUMA ZA MAJI KIBAIGWA

    Wakuu wasaalamu? Katika mkutano wa ukusanyaji maoni kuhusu ombi la KIBAWASA kuomba kupandisha bei ya maji
  5. kalendi

    MSAADA TAFADHALI

    Heshima kwenu wadau! Naomba kujua historia ya mwanamke aliyetekwa kipindi cha ukoloni kule kusini mwa afrika na kupelekwa nchini Ufaransa kutumikishwa ngono mpaka kupelekea kifo chake. Nimesahau jina lake. Naomba kuwasilisha!
  6. kalendi

    Namna ya kufungua akaunti ya MI

    Ndugu wanajamvi in matumaini yangu mu wazima wa nje! Nina simu aina ya xiaomi redmi 4a kila nikijaribu kutafuta namna ya kufungua akaunti ya MI sipaoni. Bahati mbaya hii simu nimenunua kwa mtu haina mfuma wa google. Naomba msaada namna ya kufungua basi hata kwa huo mfumo wao wa MI. Kila...
  7. kalendi

    Huawei y360-u82

    Ndg wanajamvi heshima kwenu! Nina huawei tajwa hapo juu natamani kui root nitumie app ipi ili niweze kufanikisha kwa ufanisi?
  8. kalendi

    Msaada: Simu yangu nikitumiwa SMS inajirudiarudia

    Habari wakuu? Naomba kujuzwa wanajf simu yangu ni galaxy trend gt-s7392. Siku hizi imekuwa na tatizo la mtu akikutumia sms basi hiyo sms itakuwa inajirudiarudia mara kwa mara kuingia na inaweza kuwa kutwa nzima kila baada ya dakika kadhaa inaingia. Hivi hili tatizo linasababishwa na nini?
  9. kalendi

    Msaada wa jinsi ya "configurate" modemu kwenye kompyuta

    Heshima kwenu wanajamvi! Naomba msaada wa maelekezo jinsi ya "configurate" modemu kwenye kompyuta. Maana nimezoea kwenye simu. Natanguliza shukurani zangu za dhati!
  10. kalendi

    Wana Kibaigwa, mnaonaje hili tukio lililotokea kwa kuchinjwa kwa mwenzetu?

    Ni imani yangu mu wazima wanajamvi wenzangu! Ndugu zangu Wanakibaigwa wenzangu mnaonaje kwa hili tukio lililotokea kwa kuchinjwa kwa Mwanakibaigwa mwenzetu usiku wa kuamkia leo (14/01/2017)? Hebu naomba tujuzane habari zozote kama kuna yeyeto anayefahamu kuhusiana na huu unyama uliofanyika...
  11. kalendi

    Screenshoot Nokia E5

    Habari wakuu? Naomba link za kuweza kupakua app ya screenshoot kwenye simu yangu ya nokia e5(symbian). Kuna kipindi cha nyuma niliweka simu ikakorofisha ikaflashia kwahiyo na ile app ilifutika. Nimesahau site ya kuzipata hizo app za screenshoot naomba msaada ili niweke tena maana nilikuwa...
  12. kalendi

    Nokia E5

    Habari wanajamvi? Naomba msaada simu yangu tajwa hapo juu imekuwa na tatizo la kujiwasha programu ya headset nashindwa kuelewa sijui ni tatizo gani? Nimejaribu kuwapelekea baadhi ya mafundi wameshindwa kujua ni tatizo gani? Naomba kwa yeyote aliyewahi kutumia simu aina hii anisaidie...
  13. kalendi

    3G kwenye Moto E

    Heshima kwenu wanajf! Nimepata moto e iliyotumika kaniletea jamaa. Haisomi 3G nipo maeneo ya Kibaigwa Dodoma. Nifanyeje ili isome naomba msaada kwenu wakuu.
  14. kalendi

    Playstore kwenye tecno m7

    Habari wanajf! Kuna jamaa yangu kafuta playstore kwenye simu yake tajwa hapo juu. Naomba msaada kwa wataalamu na mambo hayo ili nipate maelekezo nifanyeje ili kupata kuirejesha? Natanguliza shukrani za dhati!
  15. kalendi

    Screenshot nokia e5

    Habari wanajamvi! Naomba msaada wa kujua namna ya kupiga picha ya screenshot kwenye simu ya nokia e5 Naomba kuwasilisha!
  16. kalendi

    Nokia E5 inadai security code naomba msaada

    Mdogo wangu kachezea simu yake ya nokia E5 kwenye phone security code Amesahau namba alizoingiza na simu imejifunga kila akitaka kufanya chochote simu inadai security code Naomba msaada wanajamvi kama kuna namna ya ku-unlock bila kutumia computer naomba maelekezo
  17. kalendi

    Nitapataje Skull mp3 music dowloader Application ?

    Habari wanajamvi? Hii app niliipenda na naendelea kuipenda, lakini kila nikienda playstore siipati. Msaada wenu wakuu naipata wapi?
  18. kalendi

    Naomba kufahamu mambo haya kuhusu GSMArena

    Bwana awe nanyi wanajamvi! Bado mpaka sasa nashindwa kuelewa maana ya vitu hivi, utakuta simu ikishatangazwa hasa kule gsmarena kwa pale pembeni vimeandikwa;- 96% popurality, 4.9 design, 4.8 feature na 4.1 perfomance vina maanisha nini? Asanteni sana naomba kuwasilisha!
  19. kalendi

    Msaada manunuzi google play store

    Heshima kwenu wanajamvi! Nilitaka ku-unlock app ya fotmob ili kuwa premier. Nimeclick hatua za mwanzo mpaka ilipofikia ikaniomba namba zangu za credit card nikaweka. Baada ya zoezi hilo ikaweka vitu kama hivi nikashindwa kuelewa " MM/YY CVC" ni kitu gani. Naomba kuwasilisha!
  20. kalendi

    Basi la Bestline ni janga kwa wasafiri

    Basi linasafiri toka Mwanza kwenda halina hata spea tairi, likipata pacha mpaka msubiri wazipe kwanza kama mnavyoona hapo
Back
Top Bottom