Mshana Jr ni mtaalam wa mambo ya rohoni, kuna post yake alisema Kila kitu kina roho hata simu yako. Ngoja tumuite atuelekeze namna ya kufanya rooting kwenye ulimwengu wa rohoNdg wanajamvi heshima kwenu!
Nina huawei tajwa hapo juu natamani kui root nitumie app ipi ili niweze kufanikisha kwa ufanisi?