kalendi
JF-Expert Member
- Mar 17, 2012
- 1,387
- 642
Mdogo wangu kachezea simu yake ya nokia E5 kwenye phone security code
Amesahau namba alizoingiza na simu imejifunga kila akitaka kufanya chochote simu inadai security code
Naomba msaada wanajamvi kama kuna namna ya ku-unlock bila kutumia computer naomba maelekezo