Nokia E5

Nokia E5

kalendi

JF-Expert Member
Joined
Mar 17, 2012
Posts
1,361
Reaction score
605
Habari wanajamvi?

Naomba msaada simu yangu tajwa hapo juu imekuwa na tatizo la kujiwasha programu ya headset nashindwa kuelewa sijui ni tatizo gani?

Nimejaribu kuwapelekea baadhi ya mafundi wameshindwa kujua ni tatizo gani?

Naomba kwa yeyote aliyewahi kutumia simu aina hii anisaidie nawezaje tatua tatizo hili bado naipenda sana simu yangu hii ya nokia e5?


Naomba kuwasilisha!
 

Attachments

  • Scr000075.jpg
    Scr000075.jpg
    9.3 KB · Views: 98
  • Scr000076.jpg
    Scr000076.jpg
    15.2 KB · Views: 74
  • Scr000078.jpg
    Scr000078.jpg
    9.2 KB · Views: 69
  • Scr000079.jpg
    Scr000079.jpg
    9.7 KB · Views: 64
Sehemu ya kuchomekea earphone itakuwa pini zimegusana. Jaribu kuisafisha au nenda kwa fundi aiangalie aieke sawa
 
Sehemu ya kuchomekea earphone itakuwa pini zimegusana. Jaribu kuisafisha au nenda kwa fundi aiangalie aieke sawa


Asante mkuu kwa ushauri wako nitamtafuta fundi ili jaribu kuangalia kama ulivyoshauri.
 
Back
Top Bottom