kalendi
JF-Expert Member
- Mar 17, 2012
- 1,327
- 524
Ni imani yangu mu wazima wanajamvi wenzangu!
Ndugu zangu Wanakibaigwa wenzangu mnaonaje kwa hili tukio lililotokea kwa kuchinjwa kwa Mwanakibaigwa mwenzetu usiku wa kuamkia leo (14/01/2017)?
Hebu naomba tujuzane habari zozote kama kuna yeyeto anayefahamu kuhusiana na huu unyama uliofanyika kwenye mji wetu mdogo kwa mji umezizima kwa hili tukio.
Hasa kwa wakazi wa Kibaigwa mliomo humu jf nawasilisha na kusema karibuni sana tujuzane!