kalendi
JF-Expert Member
- Mar 17, 2012
- 1,385
- 642
Ndugu wanajamvi in matumaini yangu mu wazima wa nje!
Nina simu aina ya xiaomi redmi 4a kila nikijaribu kutafuta namna ya kufungua akaunti ya MI sipaoni. Bahati mbaya hii simu nimenunua kwa mtu haina mfuma wa google.
Naomba msaada namna ya kufungua basi hata kwa huo mfumo wao wa MI.
Kila nikijaribu kufungua sipaoni sehemu ya kusign up kama hivi;-