Msaada manunuzi google play store

Msaada manunuzi google play store

kalendi

JF-Expert Member
Joined
Mar 17, 2012
Posts
1,385
Reaction score
642
Heshima kwenu wanajamvi!

Nilitaka ku-unlock app ya fotmob ili kuwa premier.
Nimeclick hatua za mwanzo mpaka ilipofikia ikaniomba namba zangu za credit card nikaweka.

Baada ya zoezi hilo ikaweka vitu kama hivi nikashindwa kuelewa " MM/YY CVC" ni kitu gani.

Naomba kuwasilisha!
 
mm/yy hio ni expire date kwenye credit card kwa mbele kuna tarehe ya card kuexpire na cvc ni namba tatu za nyuma ya card

na kwa kuongezea ukiambiwa ueke namba ya card sio acount no zinakuwa ni zile namba nyingi za mbele ya kadi.

manunuzi mema.
 
Kama account ni ya Tsh inakuaje?Wataka kiasi cha pesa Tsh. kinachoendana na gharama ya hiyo app kwa dollar,au ni lazima uwe na Account ya dollar?
 
siku hizi playstore wanaeka bei kwa shilingi hivyo usijali.

na hata ikitokea wakieka kwa dola basi utakatwa kwa rate ya bank yako.

mfano crdb dola 1 ni shilingi 1700 basi kama app inauzwa dola 1 utakatwa shilingi 1700 kwenye acount yako
 
Shukrani mkuu
Na vipi kwa upande wa eBay na Amazon?
 
same hivyo hivyo ni bank ndio watakao convert.

ni vyema kama ni manunuz makubwa ukashauriana na bank kwanza

Siku hizi sijui PayPal wanakua na conversion rate za bank husika au niaje maana ukinunua kitu wanakwambia Today"s paypal conversion rate ni value fulani na total amount in TZS ni kiasi fulani
Hicho kiasi utakikuta hivo hivo kwenye bank statement yako
 
sina uhakika inakuaje ila jamaa wanajulikana kwenye financial institution nyingi huenda wanapewa api za hizo rates
 
Je ni salama kiasi gan kuusu ac yang manake isijekuwa km mitandao yetu ya cm kuktata ela bila taarifa, na je naweza kutumia ata kad ya nmb au posta?
 
Card zenye uwezo huo ni VISA/MASTER CARD tukiongelea mazingira ya Bongo
 
mm/yy hio ni expire date kwenye credit card kwa mbele kuna tarehe ya card kuexpire na cvc ni namba tatu za nyuma ya card

na kwa kuongezea ukiambiwa ueke namba ya card sio acount no zinakuwa ni zile namba nyingi za mbele ya kadi.

manunuzi mema.

Asante mkuu nimefanikiwa!
 
Back
Top Bottom