Search results

  1. Black bear

    Watumiaji wa iPhone acheni ushamba na ulimbukeni

    One Plus wanatoa simu za moto Sana sema ndo hivyo hazitangazwi sana, kwangu mimi One Plus ndiyo brand yangu bora ya muda wote iPhone wanauzia jina tu ..
  2. Black bear

    Watumiaji wa iPhone acheni ushamba na ulimbukeni

    Kila mtu na anachokipenda,Mimi I phone hainishawishi kabisa,ila kuna simu inaitwa One Plus 9 Pro 5G naikubali balaa soon naichukua ndiyo simu ya ndoto zangu
  3. Black bear

    Wajuvi wa lugha anaejua Visawe vya haya maneno anisaidie..

    Wasaalam wajuvi wa lugha anaejua Visawe vya maneno naomba kusaidiwa -Paka -Dawati Visawe ni maneno yenye maana sawa Neno=Kisawe 1. Ardhi=Dunia 2.Ari=Nia 3.Aibu=Soni
  4. Black bear

    Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Itakuwa kuna tatizo la kiufundi kwangu pia inazingua..
  5. Black bear

    Rais Samia amvua hadhi ya Ubalozi Dkt. Slaa

    Mchezo wa akili tu huu,watu wako kwenye mission..
  6. Black bear

    Musukuma adai yeye ni bilionea

    Inferiority complex ndiyo inamsumbua huyu jamaa siyo kingine..
  7. Black bear

    Mwenye uzoefu na hili linalo tokea anisaidie

    Haya yote itakuwa yana chanzo,chanzo ni nini?..
  8. Black bear

    Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Wapigie huduma kwa wateja waeleze tatizo hilo watakutatulia..
  9. Black bear

    Ni kazi gani uliwahi kuifanya ukiwa umefulia ambayo leo ukiikumbuka unacheka tu?

    Ilikuwa mjini kabisa yani na mitaani pia nazungusha na baiskeli nakutana na wana wananishangaa tu hata sina habari,ila tunashukuru Mungu saa hivi siyo haba maisha yanasonga,maisha haya yana magumu Sana asee..
  10. Black bear

    Ni kazi gani uliwahi kuifanya ukiwa umefulia ambayo leo ukiikumbuka unacheka tu?

    Kuuza nyanya kwa baiskeli, hiyo baada ya ku graduate,maisha haya acheni tu
  11. Black bear

    Lema: January Makamba, Wewe ni waziri siyo first born wa Rais Samia

    Hii vita ya Anuary na bwana fedha ngoja tuone yetu macho..
  12. Black bear

    FT: Simba 2-0 Yanga | NBC PL | Benjamin Mkapa Stadium | 16.04.2023

    Waliopo uwanjani huko vipi matokeo..
  13. Black bear

    Nauza laini za Uwakala wa mitandao yote

    Bado una laini za uwakala? nahitaji laini za tigopesa,M-pesa na hallotel money..
  14. Black bear

    Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Sporting cp youth ameshinda 1-0
  15. Black bear

    Natafuta namna nzuri ya kuachana na mpenzi wangu aliyenifungulia kesi ya ubakaji

    Hasira napata Mimi,ngoja ninyamaze tu.. Sent from my CPH2083 using JamiiForums mobile app
  16. Black bear

    Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Kumbe kesho kuna derby na hatuju![emoji1787] Sent from my CPH2083 using JamiiForums mobile app
  17. Black bear

    Shomary Kapombe ndiyo Mchezaji Bora Simba kwa sasa

    Yani hili silipingi Kapombe amekuwa na muendelezo mzuri tangu atoke majeruhi, hata game na Raja jamaa alionekana Ni threat Sana ule upande wake Hata game ya Jana jamaa alipiga kazi Sana na hashuki kiwango,siku zinavyozidi kwenda anazidi kuwa bora zaidi namuona akizidi kuwa hatari zaidi,kwa sasa...
  18. Black bear

    Diamond asema yeye na Zuchu ni dada na kaka

    Toeni tu huo wimbo acheni kusumbua vichwa vya watu.. Sent from my CPH2083 using JamiiForums mobile app
  19. Black bear

    Rais Samia Ondoa hiki kikokotoo kinawaumiza wastaafu

    Hii ndiyo dawa,labda watashtuka.. Sent from my CPH2083 using JamiiForums mobile app
Back
Top Bottom