Watumiaji wa iPhone acheni ushamba na ulimbukeni

Status
Not open for further replies.
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ Acha tu ni huzuni, eti ina camera kali iwe bhojoo mkazi wange
πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜† Mnafika mbali hadi kihaya isee . Uzi ufungwe wa oppo abaki na oppo na iPhone 15 pro max abaki na 15
 
Kwahiyo mkuu wewe unadanga kisirisiri? Achana na hawa wanaojionesha nitunuku mimi Kwa siri basi na vile natumia itel wala sina ma haifoni yao hayo yananikera sana
Bora akudangie umnunulie hiyo simu ya ndoto zake apunguze makasiriko..!! Kaona yy anadanga anapewa oppo anafikiri na wengine wote wadangaji, aje nimpe iphone ya bure kenge mabaka huyo
 
Hayo mambo ya brands za simu hata siyaelewagi kitu ambacho ninaelewana nacho ni kuona msg ya maokoto imeingia hata kama ni Nokia.
 
πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜† Mnafika mbali hadi kihaya isee . Uzi ufungwe wa oppo abaki na oppo na iPhone 15 pro max abaki na 15
Anajishtukia na kopo lake, anaforce kila mtu atumie kopo hilo. Wengine tumezoea brand bana πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚

Kimemuuma harusini kushushuliwa akae chonjo na kopo lake, wenye iphone watambe
 
Ni Kweli, Mimi nina One Plus 11 ni kiboko, hata Hiyo Iphone 15 haiingii ila nashangaa watu wakiona kile ki Apple tu wa

Ni Kweli, Mimi nina One Plus 11 ni kiboko, hata Hiyo Iphone 15 haiingii ila nashangaa watu wakiona kile ki Apple tu wanapagawaπŸ˜‚
One Plus wanatoa simu za moto Sana sema ndo hivyo hazitangazwi sana, kwangu mimi One Plus ndiyo brand yangu bora ya muda wote iPhone wanauzia jina tu ..
 
Mimi binafsi si mpenzi wa iphone kabisa ni mpenzi wa samsung ila hii ya kusema kwamba wanaotumia iphone ni mashoga sijui wadangaji sioni kama imekaa sawa, mambo ya kusema kuna vitu kama simu au magari vya kiume na vya kike ni dalili ya kuwa na stress na roho za kimasikini, hao watengenezaji wenyewe sidhani kama huwa wanasema kwamba hizi wanatengenezea jinsia fulani au fulani
Nakazia
 
Mimi binafsi si mpenzi wa iphone kabisa ni mpenzi wa samsung ila hii ya kusema kwamba wanaotumia iphone ni mashoga sijui wadangaji sioni kama imekaa sawa, mambo ya kusema kuna vitu kama simu au magari vya kiume na vya kike ni dalili ya kuwa na stress na roho za kimasikini, hao watengenezaji wenyewe sidhani kama huwa wanasema kwamba hizi wanatengenezea jinsia fulani au fulani
ni tz tu utaona mtu anakwazika kwa jambo ambalo hata hajachangia senti tano..... mimi nisichokipenda basi nitakikataza ndani ya familia yangu mke na watoto wangu tu ila nione ndugu jirani au rafiki ana kitu ambacho kwangu naona ni ushamba basi namuacha na ushamba wake.....
 
Ezo dualis ni viberiti, unaeza paki ukaingia bar unatoka kimekuwa mkaa
mbona huko japan haziwaki.... tatizo bongo tunafanya ujanja ujanja alafu tunasingizia ubovu wa kitu umaskini wetu tusitafute pa kuupoozea hakuna gari kiberiti ila umaskini wa kutaka mziki kwa waya za bei nafuu au alam system ya bei nafuu ndio mwiba huo
 
Una hasira sana maskini...hebu tulia kwanza na oppo lako....mimi sina iPhone ila league ya simu nishatoka huko mwenzio hizo sio league zangu
Huyu maskini wa roho mpk mwili analia kisa iphone 🀣🀣🀣🀣
 
Sherehe ipi hiyoπŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
Soma huko juu wii ujionee wanawake wajinga wanavyojizalilisha yani miaka hii ya kuzamia sherehe na kuomba kupiga picha na oppo?? Halafu wanamkataza kanuna hasira anamalizia JF na huku wamemchunia πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Ukitaka kujua iphone ni nini itokee shida ya pesa halafu nyie wenye oppo na wa iphone nani atafanya biashara fasta na kuchukua mpunga. Acha kufananisha iphone na vitu vya kijinga
Mimi nina yangu kuna mtu kanambia tumia ukichoka naomba niuzie kwa bei unayotaka nguvu ya IphoneπŸ™ŒπŸ»πŸ˜πŸ˜πŸ˜
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom